Sasisha Ya Covid-19 : Orodha Ya Kununua Vyakula Muhimu Vya karantini

Sasisha Ya Covid-19 : Orodha Ya Kununua Vyakula Muhimu Vya karantini

Bara la Afrika bado halija kumbwa kwa vikuu na janga la homa ya corona, ila hakuna jambo mbaya na kuwa tayari.

Katika bara la Afrika, hakuna mengi yanayo endelea kuhusishwa na homa ya corona. Katika wiki mbili zilizo pita, nchi ya Nigeria imekuwa na visa viwili tu vya maambukizi haya. Ila la kuhuzunisha ni kuwa, mambo ni tofauti katika sehemu zingine za dunia. Chifu wa Kimatibabu wa Uitaliano amefariki, na watu wengine wengi. Na visa vipya vinaibuka kwa mwendo wa kasi zaidi. Katika Umarekani, muigazija mashuhuri na mkewe wamewekwa kwenye karantini. Mashule yamefungwa na wataalum wana sema kuna mengi yata shuhudiwa. Shirika la Afya Duniani lilitangaza COVID-19 kama janga na kusema kuwa kila mtu anastahili kuwa tayari kwa kufungwa kwa kila kitu. Upande wa matayarisho haya kunahusisha kununua vyakula vya karantini. Kwa sababu utakuwa unaepuka umati wa watu sokoni. Una paswa kuwa ukifikiria utakavyo jitayarisha kununua na kuhifadhi chakula.

Japo Uitaliano unapo weka amri za kufunga kila mahali kufuatia visa vingi vya homa ya corona, mataifa mengine huenda yakafuata utaratiu huu hivi karibuni. Hii ndiyo maana kwa nini unapaswa kuwa ukifikiria kwa makini kununua vitu kwa ajili ya karantini. Angalia vidokezo hivi vya kweli kuhusu kununua na kuhifadhi chakula.

Jinsi ya kupanga kununua vyakula vya karantini

grocery shopping

Chanzo: Shutterstock

Orodhesha viungo unavyo hitaji

Je, una nini sasa hivi, una kiwango kipi cha kiungo hicho? Je, ni kiungo muhimu cha jiko lako, unataka kuwa na uhakika kuwa utakuwa na idadi tosha kutosheleza familia yako kwa wiki mbili ama mwezi mmoja. Kabla kwenye kununua vitu, orodhesha. Baada ya kujua viungo ulivyo navyo vitakaa, utajua unacho hitaji na kiwango chake. Baada ya hapo anza ununuzi wako.

Utahitaji vyakula vya kawaida: mchele, maharagwe, nafaka na vinginevyo. Vyakula hivi ndivyo vinakupatia nguvu na pia havi haribiki kwa urahisi. Unapo nunua mandizi, ni vyema kununua kitita ambacho hakijakua. Yana virutubisho na afya, na pia yataishi kwa muda mrefu kabla ya kuiva.

Tengeneza ratiba ya vyakula ya wiki 2
grocry shopping for a quarantine

Chanzo: 1QfoodPlatter.com

Jambo la busara kufanya ni kuhakikisha kuwa lishe zote kwenye ratiba yako zina viungo vya kawaida. Kwa njia hii, chungu kikubwa cha supu kwa mfano kinaweza tumika na mkate ama yams kama kifungua kinywa; na kuandamanisha eba na okro kama chamcha, wali kama chajio. Na ukweli, supu ni chakula cha lazima kwenye friji yako. Iwapo una bakuli za supu kwenye friji yako, yote unayo hitaji kufanya ni uchemsha ili kuiandamanisha na chakula chako. Hapa kuna mfano wa ratiba ya chakula cha afya Nigeria cha familia yako. Usisahau kuongeza protini na mboga kwenye lishe yako. Homa ya corona ikiwa ama la, lazima tukule vyakula vyenye afya.
Jambo lingine la maarifa la kufanya ni unapo tengeneza chakula, unatengeneza kiwango cha kukula mara 3, na kuweka hicho kingine kwenye friji cha siku ingine. Kwa njia hii, umepunguza wakati wako wa kupika lishe itakayo fuata. Unapo fanya hivi wakati tosha, utaona kuwa wakati wote, kuna chakula cha kupasha joto kutoka kwenye freezer ili upate lishe bora ambayo familia yako itafurahikia kukula.

Kununua Vyakula Vya Karantini, friji yako ni rafiki wako wa dhati. Na pia jua.

grocery shopping for a quarantine

Gundua jinsi vidokezo vya hapo awali vina zingira friji yako? Itakusaidia kutokuwa na fikira nyingi za kukukwaza kuhusu kuhifadhi chakula chako. Kwa mfano, matunda na mboga ambazo huharibika kwa urahisi havitakaa sana kwenye friji lako. Fikiria kuhusu kuhifadhi ugwu (majani ya malenge) kwa muda unaotosha kwako kupika supu kwa muda zaidi ya mwezi mmoja. Na ulijua kuwa unaweza hifadhi maziwa kwenye friji lako. Ila, wazo njema zaidi ni kununua maziwa ya unga katika hali hii.

Tusijidanganye. Sio kila mtu aliye na friji nyumbani mwake. Na baadhi ya wakati, hakuna sitima kwa muda mrefu ambao huenda ukasahau hata kuwa una friji. Ila, wa wazee wa hapo kale walisema kuwa mazingara yana fadhili. Kwa sababu kuna jua ya kuhifadhi nyama yako, samaki na mboga zenye matawi. Nyama iliyo kaushwa na samaki zinaishi kwa muda mrefu kiwango cha ugwu iliyo kaushwa. Ni wakati wa kufaidi kutoka kwa jua linalo choma sana kabla ya mvu kunyesha na kuharibu matemebezi yake ya kila siku.

Kutumia moshi ni moja wapo ya njia bora zaidi za kuhifadhi nyama na samaki. Hata kama inachukua muda, kutumia kutafanya nyama na samaki yako kuishi kwa muda mrefu.

Vidokezo vingine muhimu vya kukusaidia wakati wa karantini

kununua vyakula vya karantini

  • Weka video na vitabu vingi
  • Iwapo unafanya kazi, fanya kazi kutoka nyumbani, kadri uwezavyo
  • Epuka mahali penye watu wengi kama kanisa, msikiti na soko
  • Usisahau kuweka maji mengi zaidi
  • Nunua vyakula vilivyo hifadhiwa
  • Nunua bidhaa tosha za usafi kama vile tishu, sabuni na sanitizers za mikono na kadhalika
  • Iwapo unachukua madawa, hakikisha unapewa madawa ya kukutosha siku 30
  • Kuwa na vifaa tosha vya msaada wa kwanza
  • Hakikisha unaangazia uzito wako
  • Safisha nyumba yako

Karantini siku kwa mara ya pili, na jamii haitashuhudia kufungwa kote. Sitima, gesi na rununu bado zinafanya kazi. Hakuna haja ya kununua chakula zaidi unacho hitaji, mafuta ama pesa. Weka akili zako kuhusu wewe mwenyewe, fanya mpango wa busara wa kununua vyakula vya karantini. Na usikule vitamu tamu vyako kwa siku moja

HuffPost  WashingtonPost

Soma Pia: The World Health Organisation Calls On Countries To Prepare For A Coronavirus Pandemic

Written by

Risper Nyakio