Africaparent Logo
Africaparent Logo
EnglishSwahili
  • COVID-19
  • Becoming a Mama
  • Ages & Stages
  • Parenting
  • Health
  • Feeding & Nutrition

Kunya Katika Uchungu Wa Uzazi Na Kujifungua: Vidokezo 6 Vya Kuepuka Jambo Hili

2 min read
Kunya Katika Uchungu Wa Uzazi Na Kujifungua: Vidokezo 6 Vya Kuepuka Jambo HiliKunya Katika Uchungu Wa Uzazi Na Kujifungua: Vidokezo 6 Vya Kuepuka Jambo Hili

Ukweli ni kuwa kunya katika uchungu wa uzazi ni kawaida. Lakini ukitia shaka sana kuhusu jambo hili, huenda ukajiliwaza zaidi hadi ukose maji tosha mwilini.

Mbali na mambo yote yanayo weza kutendeka katika kujifungua kwa watoto wetu... kunya katika uchungu wa uzazi kwenye meza huenda ikawa mojawapo ya uwoga mwingi zaidi wa wanawake walio na mimba. Ni.. kinya- ambacho huwa sio cha kufurahisha. Kisha uongeze watu wachache ambao huenda ukawafahamu ama la washuhudie ukifanya jambo hili - na huenda ukaona aibu.

Kuna jambo moja ambalo linaweza fanya hali hiyo ya kunya iwe nzuri zaidi ama mbaya zaidi (bado ni jambo linalo jadiliwa kulingana na unaye uliza): bila hata kufahamu kuwa ulifanya hivyo. Na wakati ambapo hakuna dhamana ya kuwa na mwendo wa tumbo ama kukosa unapokuwa kwenye meza ya kujifungua, kuna vitu vichache ambavyo unaweza jaribu kupunguza nafasi za hili kufanyika.

kunya katika uchungu wa uzazi

Hata kama haijalishi kwenye utaratibu wa mambo ikiwa unapata mshangao usio kusudia unapo leta kiumbe kwenye dunia, kuna njia chache za kupunguza hili kufanyika. Soma zaidi kuhusu vitu hivi 6 muhimu ambavyo unaweza fanya kuepuka kunya katika uchungu wa uzazi.. huenda vikakusaidia!

Kunya Katika Uchungu Wa Uzazi Na Kujifungua: Vidokezo 6 Vya Kuepuka

Kuchukua enema

Huenda ikawa haipendezi, lakini kumwitisha mwuguzi enema itasaidia kukusafisha kabla ya uchungu wa uzazi kuzidi sana.

Enda msalani mapema

Unahisi kuenda msalani unapo shuhudia uchungu wa uzazi? Kadri uwezavyo, usijikazie kwenda msalani - usikazie hisia ya kusukuma. Ni njia ya mwili wako kukuhifadhi kutokana na aibu katika chumba cha kujifungua.

 

Kunya Katika Uchungu Wa Uzazi Na Kujifungua: Vidokezo 6 Vya Kuepuka Jambo Hili

Usiwe na kasi

Ikiwa uko karibu na siku ya kujifungua ama katika hatua za mapema za uchungu wa uzazi, huenda ukataka kufikiria kuhusu kupuuza lishe kubwa na badala yake kunywa supu na chakula chepesi ambacho ni rahisi kuchakata.

Ongeza ulaji wako wa fiber na viowevu

Unapo karibia siku yako ya kujifungua, hakikisha kuwa unakunywa maji tosha, na ulenge kula vyakula vilivyo na wingi wa fibre ili mfumo wako uwe sawa. Huku kuta ongeza nafasi zako za kuenda msalani kabla ya mtoto kufika sio anapo fika.

Suppositories

Katika baadhi ya hospitali, waaguzi watakupatia hizi ili kusaidia vitu kusonga kabla ya kuwa tayari kusukuma.

Usiwe na shaka

Ukweli ni kuwa... kunya katika uchungu wa uzazi ni kawaida. Lakini ukitia shaka sana kuhusu jambo hili, huenda ukajiliwaza zaidi hadi ukose maji tosha mwilini... na kukufanya uwe na wakati mgumu katika meza ya kujifungua. Jipe wakati wa kupumzika.

Soma pia: Kushikana Mikono Kunaweza Saidia Kupunguza Uchungu Wa Uzazi Kulingana Na Utafiti

Got a parenting concern? Read articles or ask away and get instant answers on our app. Download theAsianparent Community on iOS or Android now!

img
Written by

Risper Nyakio

  • Home
  • /
  • Becoming a Mama
  • /
  • Kunya Katika Uchungu Wa Uzazi Na Kujifungua: Vidokezo 6 Vya Kuepuka Jambo Hili
Share:
  • Jinsi Tunavyo Fikiria Kuhusu Uchungu Wa Uzazi Kunaweza Badili Tunavyo Hisi

    Jinsi Tunavyo Fikiria Kuhusu Uchungu Wa Uzazi Kunaweza Badili Tunavyo Hisi

  • Ishara Za Uchungu Wa Uzazi: Jinsi Ya Kujua Kuwa Mtoto Ako Njiani

    Ishara Za Uchungu Wa Uzazi: Jinsi Ya Kujua Kuwa Mtoto Ako Njiani

  • Mbinu 5 Salama Za Kuanzisha Uchungu Wa Uzazi

    Mbinu 5 Salama Za Kuanzisha Uchungu Wa Uzazi

  • Kunya Wakati Wa Kujifungua Na Uchungu Wa Uzazi

    Kunya Wakati Wa Kujifungua Na Uchungu Wa Uzazi

  • Jinsi Tunavyo Fikiria Kuhusu Uchungu Wa Uzazi Kunaweza Badili Tunavyo Hisi

    Jinsi Tunavyo Fikiria Kuhusu Uchungu Wa Uzazi Kunaweza Badili Tunavyo Hisi

  • Ishara Za Uchungu Wa Uzazi: Jinsi Ya Kujua Kuwa Mtoto Ako Njiani

    Ishara Za Uchungu Wa Uzazi: Jinsi Ya Kujua Kuwa Mtoto Ako Njiani

  • Mbinu 5 Salama Za Kuanzisha Uchungu Wa Uzazi

    Mbinu 5 Salama Za Kuanzisha Uchungu Wa Uzazi

  • Kunya Wakati Wa Kujifungua Na Uchungu Wa Uzazi

    Kunya Wakati Wa Kujifungua Na Uchungu Wa Uzazi

Get advice on your pregnancy and growing baby. Sign up for our newsletter
  • Becoming a Mama
    • Pregnancy
    • Delivery
    • Losing a Baby
  • Ages & Stages
    • Baby
    • Toddler
    • Kids
  • Parenting
    • News
    • Relationship & Sex
    • Parent's Guide
  • Health
    • Allergies & Conditions
    • Vaccinations
    • Diseases-Injuries
  • Feeding & Nutrition
    • Breastfeeding & Formula
    • Latching & Concerns
    • Weaning
  • More
    • TAP Community
    • Advertise With Us
    • Contact Us
    • Become a Contributor


  • Singapore flag Singapore
  • Thailand flag Thailand
  • Indonesia flag Indonesia
  • Philippines flag Philippines
  • Malaysia flag Malaysia
  • Sri-Lanka flag Sri Lanka
  • India flag India
  • Vietnam flag Vietnam
  • Australia flag Australia
  • Japan flag Japan
  • Nigeria flag Nigeria
  • Kenya flag Kenya
© Copyright Africaparent.com 2023 Tickled Media Pte Ltd. All rights reserved
About Us|Team|Privacy Policy|Terms of Use |Sitemap HTML

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it