Kunya Wakati Wa Kujifungua Na Uchungu Wa Uzazi

Kunya Wakati Wa Kujifungua Na Uchungu Wa Uzazi

kunya wakati wa uchungu wa uzazi ni mojawapo ya hofu kubwa zaidi kwa kila mama mjamzito. Tuna angazia vidokezo 6 vya kupunguza hali hiyo.

Kwa vitu vyote vinavyo weza kufanyika katika wakati wa kujifungua... kunya wakati wa uchungu wa uzazi kwenye meza ya kujifungua huenda ikawa mojawapo ya hofu kubwa zaidi kwa kila mwanamke mjamzito.. ni kinya-- ambayo haifurahishi sana. Hasa kukiwa na watu wengi kwenye chumba hicho, wengine hata hauwajui vizuri, unapo jiharibia nguo.

woman in labour

Kuna kitu kimoja tu ambacho kinafanya hali ya kunya iwe rahisi ama nguvu (bado halija tatuliwa); bila hata kujua kuwa ulifanya hivyo. Na wakati hakuna uhakika iwapo utakuwa na mwendo wa tumbo wa kutoa uchafu tumboni unapokuwa kwenye meza ya kujifungua, kuna vitu vichache ambavyo unaweza jaribu ili kupunguza nafasi za kufanyika.

Hata kama haijalishi kwenye mfumo wa mambo iwapo utapata ama hutapata hatari za ghafla unapo leta maisha kwenye dunia hii, kuna mambo machache ya kuepusha jambo hili kutendeka. Soma zaidi ufahamu vitu 6 vitakavyo saidia kuepuka kunya unapokuwa unajifungua... huenda vikawa majibu unayo tumia.

Kunya Wakati wa Uchungu wa Uzazi na Kujifungua: Vidokezo 6 Vya Kuepuka

pooping during labour Pregnant African woman in labor in wheelchair

Enema inayo hofiwa sana

Huenda ikakosa kupendeza, ila, kuuliza wauguzi kwa enema kuta kuosha kabla ya kuanza safari yako ya kujifungua kuzidi sana.

Enda msalani mapema

Unahisi kunya wakati wa uchungu wa uzazi? Kadri uwezavyo, kunya, usipigane na hamu ya kusukuma. Ni mwili wako unajaribu kukuokoa aibu ya chumba cha kujifungua.

Ichukulie kwa urahisi

Ikiwa uko karibu kufikia siku yako kuu, ama umeanza kushuhudia hatua za mapema za uchungu wa uzazi, huenda ukataka kufikiria kuhusu kusahau kuhusu lishe kubwa na kula supu na vyakula vyepesi ambavyo ni rahisi kuchakatwa.

Kiasi chako cha maji na fibre mwilini

Unapokaribia siku yako kuu (ya kujifungua), hakikisha kuwa unakunywa maji tosha na kula vyakula vilivyo na kiwango tosha cha fibre kwenye mfumo wako wa utumbo. Huku kunapaswa kuongeza nafasi zako za kwenda kabla ya kufika kwa mwanao... sio wakati anakuja.

Suppositories

Kwa hospitali zingine, wauguzi pia watakupatia suppository kukusaidia kupitisha vitu kabla uwe tayari kusukuma.

 

popping delivery

Wacha kutia shaka!

Hili ndili jambo... kunya wakati wa uchungu wa uzazi ni jambo la kawaida. Ila, ukitia shaka sana kulihusu, huenda ukakwaza kiakili kwa kiasi cha kukosa maji tosha mwilini... ambalo huenda likakufanya uende kwenye meza. Jipe nafasi kwani ni jawaida.

Makala haya yalichapishwa kwa mara ya kwanza kwenye kurasa ya CafeMom.  na kisha yakachapishwa tena na idhin kutoka kwa theAsianparent na kutafsiriwa na Risper Nyakio.

Soma pia: 6 Reasons Why The First Poop After Giving Birth Hurts More Than Labour!

Written by

Risper Nyakio