Utamwambia Vipi Mchumba Wako Ajitahidi Zaidi Kitandani?

Utamwambia Vipi Mchumba Wako Ajitahidi Zaidi Kitandani?

Mabadiliko hayata tendeka baada ya usiku mmoja. Huenda yakafanyika. Lakini, nafasi kubwa ni kuwa, hilo halita tendeka.

Kwa sababu mapenzi yana sisimua zaidi kuto pata yanayo kutosheleza!

Nani hataki kupata ngono nzuri?

kupata ngono nzuri

Ungependa kupata ngono nzuri? Tume sisitiza mara baada ya nyingine kwa nini unapaswa kuwa ukiongea kuhusu mapenzi na mchumba wako na kwa nini unapaswa kuwa na uhakika kuwa mko kwa kurasa moja inapofika kwa nyanja hii.

Lakini ikiwa una mchumba ambaye hako makini kukutosheleza kitandani, na jambo hili limekuwa likiendelea kwa muda sasa, utaanza vipi mada hii kwa njia isiyo na makali?

Kuwa wazi sana na unacho taka.

  1. Chagua wakati na mahali panapo faa

Huku kuna maana kuwa, usifanye hivi kwenye chumba cha kulala, kitandani ama katikati ya kipindi chenu cha kufanya mapenzi. La, usifanye hivi.

Wakati ambapo jambo fulani hali hisi sawa kuhusu ngono unayo kuwa nayo na mtu fulani, wakati bora wa kuwa na mazungumzo haya ni wakati ambapo hamfanyi ngono. Una shauriwa kuto fanya hivi chumbani cha kulala, ili makumbusho ya kuambiwa kuhusu kufeli kwako kingono kusi husishwe na chumba hicho.

Ikiwa mchumba wako anapaswa kujitahidi kitandani, tafuta wakati na mahali pazuri mbali na mnapo jaribu kutengeneza watoto kitandani.

2. Wape muda waelewe unacho taka

Mabadiliko hayata tendeka baada ya usiku mmoja. Huenda yakafanyika. Lakini, nafasi kubwa ni kuwa, hilo halita tendeka. Kwa hivyo, mpe mchumba wako wakati aelewe unacho taka kwa muda bila kumharakisha. Kwa mfano, mtu ambaye amezoea staili moja na kwenda kwa raundi mbili ama moja hata badilika na kuenda raundi zaidi kwa usiku mmoja.

Mambo haya yana chukua muda.

3. Waeleze kinaga ubaga wanapo kosea

kupata ngono nzuri

Kulingana na "Wanawake wengi wanataka wanaume wao wasome akili zao na wanaume wengi wanataka wanawake wao wawe hasa na wanacho jaribu kusema."

"Hii ndiyo sababu kwa nini, ni wazo nzuri, kabla ya kuwa na mazungumzo haya, uchukue wakati peke yako kufikiria kuhusu kitu hasa ambacho hakikufurahishi. Hawezi soma akili yako. Pia hawezi sema jambo ambalo haumwambii kwa uwazi."

4. Usimlinganishe

Unapo jaribu kumfanya mchumba wako afanye kitu ama aboreshe juhudi zake katika jambo fulani, hakikisha kuwa humlinganishi na mtu mwingine hasa mchumba wako wa hapo awali.

"Mchumba wangu wa hapo awali, alikuwa amezoea ku..." hii sio sentensi ambayo ungetaka kutumia unapokuwa na mazungumzo na mchumba wako.

5. Doa hilo jichoni mwako

Kujitahini kuna hitajika pia. Jiangalie kwenye kioo chako na utahini utendaji wako. Baadhi ya wakati, kuwa na hamu na kutia juhudi za kumfurahisha mchumba wako ndiyo yote unayo hitaji ili pia wao wafanye hivyo.

Ikiwa juhudi zako za kumfurahisha mpenzi wako hazitoshi, huenda ikawa unapaswa kujitengeneza kwanza kabla ya kuteta kuwahusu.

Soma PiaMwongozo Kwa Wanandoa Wanao Jaribu Kupata Mimba Haraka

Written by

Risper Nyakio