Africaparent Logo
Africaparent Logo
EnglishSwahili
  • COVID-19
  • Becoming a Mama
  • Ages & Stages
  • Parenting
  • Health
  • Feeding & Nutrition

Kipimo Cha Mimba Cha Dawa Ya Meno Ni Nini Na Kinafanyika Vipi?

2 min read
Kipimo Cha Mimba Cha Dawa Ya Meno Ni Nini Na Kinafanyika Vipi?Kipimo Cha Mimba Cha Dawa Ya Meno Ni Nini Na Kinafanyika Vipi?

Hakuna ushahidi kuwa dawa ya meno inaweza gundua kuwepo kwa homoni ya mimba katika mkojo wa mwanamke.

Unahisi kutapika baada ya kunusia harufu ambazo zili kufurahisha hapo awali, uchovu unao kufanya ujilaze kitini mapema ya saa moja usiku, na hamu isiyo isha ya kula vyakula fulani. Ishara hizi zinaweza ashiria kuwa una mimba. Na ambapo kushika kipimo cha mimba kunapatiwa kipau mbele. (Ama la, kula vibanzi huenda kukawa jambo kuu kwako katika kipindi hiki.) Inapofika kwa kufanya kipimo cha mimba kwa njia asili huenda kukawa jambo la mwisho linalo kujia akilini. Kwa hivyo huenda ikawa jambo la kushangaza kugundua kuwa, kuna wanawake ambao hutumia njia tofauti za kupima mimba kama vile kupima mimba kwa kutumia dawa ya meno.

Mbinu hii yenye bei nafuu ya kupima mimba kutumia dawa ya meno inaweza kufurahisha ikiwa hutaki kutumia pesa kununua kipimo cha mimba, ikiwa ungependa kupata matokeo ya kasi kwa kutumia bidhaa ulizo nazo nyumbani. Ama ikiwa haungependa kuonekana kwenye zahanati ukinunua kipimo cha mimba.

Je, kipimo cha mimba hufanya kazi vipi? 

Rinse your Tongue

Wazo la kutumia dawa ya meno kupima ikiwa una mimba ama la ni kasi na hali hitaji matayarisho mengi kutoka kwako. Vitu pekee ambavyo una hitaji ni dawa ya meno na sampuli ya mkojo, kontena ya kuchanganya vitu hivi viwili, na dakika chache za muda wako.

  • Chukua dawa ya meno ya kawaida, kisha umimine kiasi tosha kwenye kontena safi na iliyo wazi
  • Kojoa kwenye kontena tofauti
  • Kisha kwa upole, umwage sampuli ya mkojo wako kwenye kontena hiyo
  • Kisha uangalie kitakacho fanyika kwenye kontena hiyo

Matokeo chanya

Ikiwa una mimba, kulingana na kipimo hiki, dawa hiyo ya meno itabadili rangi ama itoe sauti ya kufizz, kufuatia homoni za mimba zilizoko kwenye mkojo wako.

Matokeo hasi

Ikiwa hauna mimba, kumaanisha kuwa homoni ya mimba - imani ni kuwa, ukichanganya mkojo wako na dawa ya meno, hakutakuwa na mabadiliko yoyote. Dawa ya meno itazidi kuwa rangi yake asili.

Je, Kipimo Hiki Ni Cha Kuaminika?

faida za manii kwa mimba

La, kupima mimba kutumia dawa ya meno hakuna matokeo sawa, wala sio njia ya kuaminika ya kupima mimba.

Hakuna ushahidi kuwa dawa ya meno inaweza gundua kuwepo kwa homoni ya mimba katika mkojo wa mwanamke.

Baada ya kufanya kipimo hiki cha nyumbani cha mimba, ni vyema kwenda kwenye hospitali kufanyiwa kipimo cha mimba kuhakikisha ikiwa kwa kweli una mimba ama la.

Soma Pia:Kwa Nini Kupima Mimba Mapema Sana Hakushauriwi?

Got a parenting concern? Read articles or ask away and get instant answers on our app. Download theAsianparent Community on iOS or Android now!

img
Written by

Risper Nyakio

  • Home
  • /
  • Pregnancy
  • /
  • Kipimo Cha Mimba Cha Dawa Ya Meno Ni Nini Na Kinafanyika Vipi?
Share:
  • Jinsi Ya Kupima Mimba Kwa Kutumia Dawa Ya Meno

    Jinsi Ya Kupima Mimba Kwa Kutumia Dawa Ya Meno

  • Jinsi Ya Kutumia Kipimo Cha Mimba Kupima Iwapo Una Mimba

    Jinsi Ya Kutumia Kipimo Cha Mimba Kupima Iwapo Una Mimba

  • Jinsi Ya Kupima Mimba Kwa Kutumia Chumvi

    Jinsi Ya Kupima Mimba Kwa Kutumia Chumvi

  • Vipimo Rahisi Vya Mimba Vya Kinyumbani Visivyo Hitaji Fedha

    Vipimo Rahisi Vya Mimba Vya Kinyumbani Visivyo Hitaji Fedha

  • Jinsi Ya Kupima Mimba Kwa Kutumia Dawa Ya Meno

    Jinsi Ya Kupima Mimba Kwa Kutumia Dawa Ya Meno

  • Jinsi Ya Kutumia Kipimo Cha Mimba Kupima Iwapo Una Mimba

    Jinsi Ya Kutumia Kipimo Cha Mimba Kupima Iwapo Una Mimba

  • Jinsi Ya Kupima Mimba Kwa Kutumia Chumvi

    Jinsi Ya Kupima Mimba Kwa Kutumia Chumvi

  • Vipimo Rahisi Vya Mimba Vya Kinyumbani Visivyo Hitaji Fedha

    Vipimo Rahisi Vya Mimba Vya Kinyumbani Visivyo Hitaji Fedha

Get advice on your pregnancy and growing baby. Sign up for our newsletter
  • Becoming a Mama
    • Pregnancy
    • Delivery
    • Losing a Baby
  • Ages & Stages
    • Baby
    • Toddler
    • Kids
  • Parenting
    • News
    • Relationship & Sex
    • Parent's Guide
  • Health
    • Allergies & Conditions
    • Vaccinations
    • Diseases-Injuries
  • Feeding & Nutrition
    • Breastfeeding & Formula
    • Latching & Concerns
    • Weaning
  • More
    • TAP Community
    • Advertise With Us
    • Contact Us
    • Become a Contributor


  • Singapore flag Singapore
  • Thailand flag Thailand
  • Indonesia flag Indonesia
  • Philippines flag Philippines
  • Malaysia flag Malaysia
  • Sri-Lanka flag Sri Lanka
  • India flag India
  • Vietnam flag Vietnam
  • Australia flag Australia
  • Japan flag Japan
  • Nigeria flag Nigeria
  • Kenya flag Kenya
© Copyright Africaparent.com 2023 Tickled Media Pte Ltd. All rights reserved
About Us|Team|Privacy Policy|Terms of Use |Sitemap HTML

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it