Africaparent Logo
Africaparent Logo
EnglishSwahili
  • COVID-19
  • Becoming a Mama
  • Ages & Stages
  • Parenting
  • Health
  • Feeding & Nutrition

Jinsi Ya Kupima Mimba Kwa Kutumia Dawa Ya Meno

2masomo ya dakika
Jinsi Ya Kupima Mimba Kwa Kutumia Dawa Ya MenoJinsi Ya Kupima Mimba Kwa Kutumia Dawa Ya Meno

Kutumia dawa ya meno ni mojawapo ya vipimo maarufu vya nyumbani vya kupima mimba.

Kuwa mama ni mojawapo ya vitu vya kupendeza zaidi maishani. Ni vyema kuhakikisha kuwa una mimba mapema iwezekanavyo ili uanze matayarisho yanayo faa. Kuchukua vitamini na kuanza kumtembelea daktari wako ili akushauri vitu unavyo paswa kufanya. Msingi wa safari njema ya mimba na yenye afya ni kuhakikisha kuwa una msingi dhabiti wa kufuata ushauri wa daktari wako. Kwa njia hii, utakuwa na imani kuwa mtoto aliye tumboni mwako anakua kwa njia ipasavyo. Ni vyema kwa kila mama kuhakikisha kuwa ana daktari ambaye anaweza mpigia ama kumtembelea wakati wowote iwapo ana shuhudia matatizo yoyote ya kiafya anapokuwa na mimba. Makala haya yana tufunza mojawapo ya njia ambazo unaweza tumia kupima mimba ukiwa nyumbani mwako bila kununua kitu chochote na kwa kutumia vitu unavyo kuwa navyo nyumbani mwako. Tuna angazia jinsi ya kupima mimba kwa kutumia dawa ya meno.

jinsi ya kupima mimba kwa kutumia dawa ya meno

Vitu Unavyo Hitaji Kufanya Kipimo Hiki: Jinsi Ya Kupima Mimba Kwa Kutumia Dawa Ya Meno

  • Kijiko kimoja cha dawa ya meno
  • Mkojo wako- punde tu unapo amka kabla kufanya chochote
  • Kontena safi

Utaratibu wa kufuata 

  1. Weka dawa ya meno kwenye kontena safi
  2. Ongeza kiwango kidogo cha mkojo ule
  3. Kuwa makini kuangalia iwapo rangi ya dawa itabadilika kuwa ya bluu ama inaanza kuwa nyeupe ama yenye povu.
  4. Ikiwa dawa ya meno itabadilika rangi kuwa ya bluu na kuanza kutoa povu, hii ni ishara kuwa una mimba
  5. Ikiwa rangi ya dawa ya meno haibadiliki, hauna mimba

 

jinsi ya kutumia kipimo cha mimba

Iwapo una mimba hakikisha kuwa unafuata maagizo haya

  • Wasiliana na daktari wako na uende kufanyiwa kipimo cha damu.
  • Anza kuishi maisha yenye afya- tupilia mbali unywaji wa vileo, uvutaji wa sigara ama dawa za kulevya ambazo huenda zika athiri afya ya mtoto wako.
  • Hakikisha kuwa unakula vyakula vyenye afya, kula viwango vingi vya mboga na matunda. Ni muhimu sana katika kuongeza damu mwilini mwako na kuhakikisha kuwa mtoto wako ana kua ipasavyo.
  • Anza kuchukua vitamini vya kabla ya kujifungua.
  • Itunze afya yako ili mwanao awe na afya nzuri na awe na nguvu.

kumbuka kuwa mambo unayo yafanya ukiwa na mimba yata athiri ukuaji, afya na busara ya mtoto wako.

Kumbukumbu: Webmd

img
Yaliandikwa na

Risper Nyakio

  • Nyumbani
  • /
  • Pregnancy
  • /
  • Jinsi Ya Kupima Mimba Kwa Kutumia Dawa Ya Meno
Gawa:
  • Kipimo Cha Mimba Cha Dawa Ya Meno Ni Nini Na Kinafanyika Vipi?

    Kipimo Cha Mimba Cha Dawa Ya Meno Ni Nini Na Kinafanyika Vipi?

  • Hatua 3 Rahisi Za Kupima Mimba Kwa Kutumia Sukari

    Hatua 3 Rahisi Za Kupima Mimba Kwa Kutumia Sukari

  • Vipimo Rahisi Vya Mimba Vya Kinyumbani Visivyo Hitaji Fedha

    Vipimo Rahisi Vya Mimba Vya Kinyumbani Visivyo Hitaji Fedha

  • Kupima Mimba Kwa Njia Asili Kwa Kutumia Kitunguu Maji

    Kupima Mimba Kwa Njia Asili Kwa Kutumia Kitunguu Maji

  • Kipimo Cha Mimba Cha Dawa Ya Meno Ni Nini Na Kinafanyika Vipi?

    Kipimo Cha Mimba Cha Dawa Ya Meno Ni Nini Na Kinafanyika Vipi?

  • Hatua 3 Rahisi Za Kupima Mimba Kwa Kutumia Sukari

    Hatua 3 Rahisi Za Kupima Mimba Kwa Kutumia Sukari

  • Vipimo Rahisi Vya Mimba Vya Kinyumbani Visivyo Hitaji Fedha

    Vipimo Rahisi Vya Mimba Vya Kinyumbani Visivyo Hitaji Fedha

  • Kupima Mimba Kwa Njia Asili Kwa Kutumia Kitunguu Maji

    Kupima Mimba Kwa Njia Asili Kwa Kutumia Kitunguu Maji

Pata ushauri wa mara kwa mara kuhusu ujauzito wako na mtoto wako anayekua!
  • Becoming a Mama
    • Pregnancy
    • Delivery
    • Losing a Baby
  • Ages & Stages
    • Baby
    • Toddler
    • Kids
  • Parenting
    • News
    • Relationship & Sex
    • Parent's Guide
  • Health
    • Allergies & Conditions
    • Vaccinations
    • Diseases-Injuries
  • Feeding & Nutrition
    • Breastfeeding & Formula
    • Latching & Concerns
    • Weaning
  • Zaidi
    • TAP Jamii
    • Tangaza Nasi
    • Wasiliana Nasi
    • Become a Contributor


  • Singapore flag Singapore
  • Thailand flag Thailand
  • Indonesia flag Indonesia
  • Philippines flag Philippines
  • Malaysia flag Malaysia
  • Sri-Lanka flag Sri Lanka
  • India flag India
  • Vietnam flag Vietnam
  • Australia flag Australia
  • Japan flag Japan
  • Nigeria flag Nigeria
  • Kenya flag Kenya
© Copyright Africaparent.com 2023 Tickled Media Pte Ltd. All rights reserved
Kutuhusu|Timu|Sera ya Faragha|Masharti ya kutumia |Sitemap HTML

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it