Africaparent Logo
Africaparent Logo
EnglishSwahili
  • COVID-19
  • Becoming a Mama
  • Ages & Stages
  • Parenting
  • Health
  • Feeding & Nutrition

Kupima Mimba Kwa Njia Asili Kwa Kutumia Kitunguu Maji

2masomo ya dakika
Kupima Mimba Kwa Njia Asili Kwa Kutumia Kitunguu MajiKupima Mimba Kwa Njia Asili Kwa Kutumia Kitunguu Maji

Kuna vipimo vingi vya kupima mimba. Unaweza kupima mimba hata ukiwa nyumbani.

Kuna njia nyingi za kupima mimba. Huenda ukataka kupima iwapo una mimba bila watu wengi kujua na ukiwa katika starehe za nyumba yako. Kuna baadhi ya njia ambazo unaweza tumia kufanya hivi zinazo husisha matumizi ya vitu vilivyo jikoni mwako. Kama vile jinsi ya kupima mimba kwa kutumia kitunguu maji. Katika vipimo vingine huenda ukahitajika kwenda kwa zahanati ama kufanya kazi na daktari wako kudhibitisha iwapo una mimba ama la.

Kupima Mimba Kwa Njia Asili Kwa Kutumia Kitunguu Maji

Ni vyema kutia akilini kuwa katika vipimo vyote vya nyumbani, ni vyema kuenda kwa daktar wako ama kutembelea kituo cha afya kilicho karibu zaidi nawe ili kudhibitisha bila shaka kuwa matokeo uliyo yapata baada ya kufanya kipimo chako cha nyumbani ni ya kweli. Katika makala haya, tuna angazia mojawapo ya njia asili zilizo tumika na wavyele wetu kudhibitisha iwapo mwanamke anatarajia kujifungua ama la. Kipimo hiki kilikuwa maarufu sana kwa watu wa Egypy na Greek. Ni mbio na pia hauna taabu ya kutafuta vitu usivyo navyo jikoni mwako.

Jinsi ya kupima mimba kwa kutumia kitunguu maji

Vitu vinavyo hitajika

  • Kipande cha kitunguu maji

Utaratibu wa kufuata

  1. Jambo la kwanza kufanya ni kuingiza kipande cha kitunguu maji hicho kwenye uke wako.
  2. Lala nacho ndani yako usiku.
  3. Iwapo unaamka na mdomo wako ukinuka kitunguu- hii ni ishara kuwa hauna mimba.
  4. Ukiamka bila harufu ya kitunguu, una mimba.

Watu wa Egypt waliamini kuwa unapokuwa na mimba, uterasi yako imezibwa kwa hivyo hakuna tubu ya upepo. Na iwapo ungekuwa hauna mimba, uterasi yako iko wazi na ingekubalisha hewa kubeba harufu hiyo hadi kwa mdomo wako kwa kutumia tubu ya upepo.

jinsi ya kupima mimba kwa kutumia kitunguu maji

Hakuna utafiti na ripoti zinazo dhihirisha kuwa kipimo hiki kina matokeo sawa na kinapaswa kuaminika. Utafiti zaidi bado unafanyika kudhihirisha ukweli wa kipimo hiki. Kwa hivyo baada ya kufanya kipimo hiki, hakikisha kuwa unaenda kwa zahanati kufanyiwa vipimo zaidi kudhibitisha kwa kweli matokeo uliyo yapata.

Kumbukumbu: www.mentalfloss.com/

img
Yaliandikwa na

Risper Nyakio

  • Nyumbani
  • /
  • Pregnancy
  • /
  • Kupima Mimba Kwa Njia Asili Kwa Kutumia Kitunguu Maji
Gawa:
  • Ishara 5 Kuwa Unapaswa Kufanya Kipimo Cha Mimba

    Ishara 5 Kuwa Unapaswa Kufanya Kipimo Cha Mimba

  • Jinsi Ya Kupima Mimba Kwa Kutumia Kitunguu

    Jinsi Ya Kupima Mimba Kwa Kutumia Kitunguu

  • Jinsi Ya Kupima Mimba Kwa Njia Ya Kienyeji

    Jinsi Ya Kupima Mimba Kwa Njia Ya Kienyeji

  • Hatua 3 Rahisi Za Kupima Mimba Kwa Kutumia Sukari

    Hatua 3 Rahisi Za Kupima Mimba Kwa Kutumia Sukari

  • Ishara 5 Kuwa Unapaswa Kufanya Kipimo Cha Mimba

    Ishara 5 Kuwa Unapaswa Kufanya Kipimo Cha Mimba

  • Jinsi Ya Kupima Mimba Kwa Kutumia Kitunguu

    Jinsi Ya Kupima Mimba Kwa Kutumia Kitunguu

  • Jinsi Ya Kupima Mimba Kwa Njia Ya Kienyeji

    Jinsi Ya Kupima Mimba Kwa Njia Ya Kienyeji

  • Hatua 3 Rahisi Za Kupima Mimba Kwa Kutumia Sukari

    Hatua 3 Rahisi Za Kupima Mimba Kwa Kutumia Sukari

Pata ushauri wa mara kwa mara kuhusu ujauzito wako na mtoto wako anayekua!
  • Becoming a Mama
    • Pregnancy
    • Delivery
    • Losing a Baby
  • Ages & Stages
    • Baby
    • Toddler
    • Kids
  • Parenting
    • News
    • Relationship & Sex
    • Parent's Guide
  • Health
    • Allergies & Conditions
    • Vaccinations
    • Diseases-Injuries
  • Feeding & Nutrition
    • Breastfeeding & Formula
    • Latching & Concerns
    • Weaning
  • Zaidi
    • TAP Jamii
    • Tangaza Nasi
    • Wasiliana Nasi
    • Become a Contributor


  • Singapore flag Singapore
  • Thailand flag Thailand
  • Indonesia flag Indonesia
  • Philippines flag Philippines
  • Malaysia flag Malaysia
  • Sri-Lanka flag Sri Lanka
  • India flag India
  • Vietnam flag Vietnam
  • Australia flag Australia
  • Japan flag Japan
  • Nigeria flag Nigeria
  • Kenya flag Kenya
© Copyright Africaparent.com 2023 Tickled Media Pte Ltd. All rights reserved
Kutuhusu|Timu|Sera ya Faragha|Masharti ya kutumia |Sitemap HTML

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it