Jinsi Ya Kudhibitisha Ishara za Kupoteza Kwa Mimba Baada Ya Wiki Mbili

Jinsi Ya Kudhibitisha Ishara za Kupoteza Kwa Mimba Baada Ya Wiki Mbili

Ini ame shuhudia kupoteza kwa mimba mara sita. Miongoni mwa mara hizi sita, ali poteza uja uzito mara nne kabla ya kugundua kuwa alikua mja mzito. Hakukua na ishara zozote wiki mbili baada ya kuitunga mimba. Huenda pia hakuwa makini kugundua ishara hizi.

Kwa wakati mwingi, kuharibika kwa mimba hushuhudiwa katika trimesta ya kwanza (mnamo wiki ya 1 hadi ya 12). Angalau, asilimia moja ya uja uzito hupotezwa baada ya wiki ya 20 kufuatia kutunga kwa mimba. Kesi hizi zina julikana kama stillbirths.

“Kwa wanawake wengi, tukio hili linapo tendeka huwa kama ndoto ya kutisha. Huchukua muda kwa wanawake hawa kukubali yaliyo tokea,” asema Prisca Obi mkurugenzi mkuu, daktari wa wamama (obstetrician) wa chuo kikuu cha kufunza cha Uyo. “Nafikiria ni kwa sababu wanawake hawaelewi mabadiliko yanayo tendeka punde tu wanapo tunga mimba. Japo tukio moja kati ya kupanda kwa kiini tete, kondo la nyuma linapo unganisha mama na mtoto, mchakato wa seli kugawana huenda mrama, kupotea kwa uja uzito huenda kukashuhudiwa.

Je nini husababisha kupotea kwa uja uzito

Tofauti na imani ya watu wengi kuwa mazoezi, fikira nyingi za kizazi, uchu, na ugomvi wa kindoa hazi sababisha kupotea kwa uja uzito kwa mapema.

“Wanawake wanapo omboleza sana kwa muda mrefu, nawakumbusha kuwa kupotea kwa mimba kwa mapema, ni njia ya mwili ya kupoteza kijusi ambacho huenda hakikuwa kinakua kwa njia ipasavyo,” asema Prisca Obi. Kwa kawaida, nita jadili sababu zinginezo ambazo huenda zika sababisha kuharibika kwa mimba. Ila la muhimu, ni juhudi za kuwasaidia kuona kuwa sio makosa yao kuwa baadhi ama visa hivi vyote haviwezi epukwa.

 

early miscarriage symptoms 2 weeks

Isha 5 common za kuharibika kwa uja uzito wiki 2 baada ya kutunga mimba

Sio jambo lisilo la kawaida kwa wanawake kushuhudia kuharibika kwa mimba bila kuwa na ishara zozote. Kwa kesi zilizo nadra sana, huenda kupoteza kwa damu kabla na baada ya tukio hili huwa halitokei. Walakini, wanawake wengi hushuhudia baadhi ama ishara hizi zote:

1. Uchungu

Iwapo wengine hushuhudia uchungu mwingi, wengine hawa hisi uchungu kiasi hicho wala ni kidogo sana. Hii ni ishara moja ya maana ambayo mwanamke yeyote aliye na mimba anapaswa kumchukulia kwa makini. Mwone daktari wako unapo shuhudia uchungu mapema katika safari yako ya uja uzito. Huenda ikawa ni ishara hasi.

2. Kutapika

Kwa wakati mwingi, watu wengi huchukulia ishara hii ki makosa na kuilinganisha na ugonjwa wa asubuhi. Iwapo watu wengi hawaitilii ishara hii makini, huenda ikawa ishara ya kuharibika kwa mimba kwa mapema. Japo ni jambo la muhimu kuwa na mtazamo chanya kuhusu uja uzito wako, ni jambo la busara kufahamu kuwa kutapika ovyo huenda kukawa ishara ya kupotea kwa uja uzito

3. Kamasi lepesi la pinki

Iwapo pap smear hutokea ikiwa nene, nyepesi yenye kamasi la pinki, daktari atafanya uchunguzi zaidi ili kubainisha kuwa una ishara zinginezo za kuharibika kwa mimba wiki mbili baada ya kutunga mimba.

4.  Damu ya kufunika na tishu

Hii ni baadhi ya ishara ya kawaida sana. Wanawake kwa wakati mwingi huwezi kuona damu ikitoka kwa sehemu yao ya uke. Bila shaka, hii ni ishara kuwa mwili wako unakipoteza kilenge. Unapo shuhudia jambo hili, wasiliana na daktari ama mkunga wako.

5. Kupotea kwa ghafla kwa ishara za uja uzito

Kwa wakati mwingine, ugonjwa wa asubuhi na chuchu kuwa nyeti zaidi ni ishara nzuri. Zina dhibitisha kuwa uja uzito wako ni wa afya. Wakati ambapo ishara zote za uja uzito zinapotea, huenda ikawa ni ishara ya kuharibika kwa mimba kwa mapema.

6. Uchungu wa mgongo

Kupoteza kwa mimba kwa mapema huenda kukawa na ishara sawa na za uchungu wa uja uzito. Maanake unapitia katika uchungu wa uja uzito ambao hauja komaa. Ila tofauti ni kuwa hauja ubeba uja uzito wako hadi ukakomaa na pia mtoto hajafikisha wiki 20 za gesti.

Uchungu wa mgongo katika wiki 12 za gesti huenda ikawa ishara hasi. Mtembelea daktari iwapo unapo pata ishara moja kati ya hizi.

Jinsi Ya Kudhibitisha Ishara za Kupoteza Kwa Mimba Baada Ya Wiki Mbili

Jinsi ya kuzuia kupotea kwa uja uzito 

Wataalamu wa uuguzi wana amini kuwa kuharibika kwa mimba hakuzuiliki. Walakini, ni jambo la busara kufahamu mambo yanayo pelekea tukio hili kutendeka.

Ini alipo mtembelea mtaalam wa afya ya wanawake, alifahamu kuwa kupotea kwa uja uzito kwake kuli sababishwa na idadi ya chini ya progesterone. Miongoni mwa sababu zinginezo ambazo zingezuilika ni kuto toshana kwa thyroid, damu inayo funika ama maamuzi yasiyo faa ya kimaisha kama vile uvutaji wa sigara, unywaji wa pombe na madawa ya kulevya).

kupoteza kwa mimba

Hizi ni baadhi ya njia za kuzuia kuharibika kwa uja uzito:

  • Epuka madawa ambayo huenda yakasababisha kupoteza kwa mimba. Soma kwa makini maelezo yaliko kwa kijitabu kinacho patikana katika kila dawa. Wasiliana na daktari wako kabla ya kuzinywa dawa zozote. Dawa zozote za malaria na homa ya matumbo husababisha kupoteza kwa mimba, stillbirths, ama kuzaliwa vibaya kwa watoto.
  • Kuzingatia uzito wa mwili unaofaa.
  • Kuutayarisha mwili wako ipasavyo kutunga mimba kwa kuchukua idadi zinazo faa za vitamini na virutubisho. Kama vile vitamini B, C na asidi ya folic.
  • Kuepukana na magonjwa yanayo pitishwa kimapenzi. Iwapo una mojawapo ya magonjwa haya, chukua hatua ili utibiwe kabla ya kutunga mimba.

Kupotea kwa uja uzito huenda kukawa pigo kubwa, ila sio mwisho wa dunia. Wanawake huwezi kufanikiwa kupata watoto hata baada ya tukio hili kutendeka mara moja ama mbili.

“Baada ya kupoteza mimba kwa kasi, hakikisha umefanyiwa vipimo vinavyo faa. Linda akili yako na uupe mwili wako wasaa upone. Omboleza iwapo jambo hili litakusaidia kuhisi vyema,” yuasema Prisca Obi.

 

Resource: NHS

Also Read: Miscarriages myths and facts: Is it easier to get pregnant after a miscarriage?

Written by

Risper Nyakio