Africaparent Logo
Africaparent Logo
EnglishSwahili
  • COVID-19
  • Becoming a Mama
  • Ages & Stages
  • Parenting
  • Health
  • Feeding & Nutrition

Kufanya Mambo Haya 3 Kila Siku Kutasaidia Kupunguza Fikira Nyingi

2 min read
Kufanya Mambo Haya 3 Kila Siku Kutasaidia Kupunguza Fikira NyingiKufanya Mambo Haya 3 Kila Siku Kutasaidia Kupunguza Fikira Nyingi

Kufanya mazoezi mepesi kila siku angalau dakika 15 ama 30 ni muhimu sana. Mazoezi yana manufaa mengi mwilini wako, ya kiakili, kihisia na kifizikia.

Imekuwa wakati mgumu sana kwa kila mtu kufuatia janga la Covid-19. Watu wengi walipoteza kazi, huku wengine wakipoteza marafiki na wana jamii wao. Taharuki iliyo tanda iliwafanya watu wengi kuwa na fikira nyingi. Ukishangaa jinsi utakavyo jilinda, jinsi utakavyo ilinda familia yako, utakavyo kimu mahitaji yao na kuwa tosheleza baada ya kupoteza kazi na biashara kuwa na mapato ya chini. Swali kuu likiwa, mambo yatarudi kawaida lini? Huku mambo yote yakitendeka kwa wakati sawa, ni kawaida kwa mtu yeyote yule kuwa na fikira nyingi. Katika makala ya leo, tuna kuelimisha jinsi ya kupunguza fikira nyingi.

Njia rahisi za kupunguza fikira nyingi

kupunguza fikira nyingi

  1. Panga siku yako

Mara nyingi, kupanga siku yako na kujua mambo unayo kusudia kuyafanya kutakusaidia kuangazia fikira zako kwa mambo hayo. Kwa njia hii, siku yako itakuwa na mpangilio zaidi na utachukua usukani wa siku yako. Kuwa makini kwa kazi unazo kusudia kufanya hiyo siku hata kama ni za nyumbani ni bora kuliko kuamka na kuduwaa siku nzima. Kuto kuwa na lengo la siku kuta kufanya uwe na mawazo mengi siku nzima.

2. Usikae siku nzima

exercise at home during coronavirus

Kufanya mazoezi mepesi kila siku angalau dakika 15 ama 30 ni muhimu sana. Mazoezi yana manufaa mengi mwilini wako, ya kiakili, kihisia na kifizikia. Kufanya mazoezi kuna saidia kupunguza mawazo mengi. Mwili wako unaweza kupumzika, na pia, una boresha afya yako ya kifizikia. Ukiweza, ni vyema kufanya mazoezi nje kukiwa na jua, kwani mwangaza unawachilia serotonin, ambayo ni homoni ya mhemko na kukusaidia kuwa makini. Ikiwa unafanya kazi kutoka nyumbani, chukua mapumziko ya angalau dakika 15 uende ufanye mazoezi. Kufanya hivi kutakusaidia kuwa na mhemko bora na kufanya kazi vyema.

3. Kuwa na shukrani

Unaweza fanya hivi jioni baada ya siku yako kuisha. Tenga dakika chache ukae peke yako na uorodheshe vitu viwili ama zaidi ambavyo una shukrani kuhusu. Usi puuze kitu chochote. Kuangazia mambo mazuri yanayo tendeka maishani mwako kutatoa fikira zako kutoka kwa vitu hasi hadi kwa vitu chanya. Na unapo fikiria kuhusu mambo chanya, mambo mazuri zaidi yana zidi kufanyika maishani mwako. Kuwa na shukrani kutasaidia kupunguza mawazo mengi.

Bila shaka, kiza hiki kitapita, mambo yatakuwa mazuri kama yalivyo kuwa hapo awali. Kufanya mambo haya matatu kutakusaidia kupunguza mawazo mengi.

Chanzo: healthline

Soma Pia: Tazama Faida Hizi Za Kiafya Za Manjano (Turmeric)

Got a parenting concern? Read articles or ask away and get instant answers on our app. Download theAsianparent Community on iOS or Android now!

img
Written by

Risper Nyakio

  • Home
  • /
  • Health
  • /
  • Kufanya Mambo Haya 3 Kila Siku Kutasaidia Kupunguza Fikira Nyingi
Share:
  • Mambo 5 Muhimu Unayo Paswa Kufanya Kabla Ya Kufanya Mazoezi

    Mambo 5 Muhimu Unayo Paswa Kufanya Kabla Ya Kufanya Mazoezi

  • Lishe Na Mazoezi Haya Yatakusaidia Kupunguza Uzito Wa Mwili Kwa Kasi

    Lishe Na Mazoezi Haya Yatakusaidia Kupunguza Uzito Wa Mwili Kwa Kasi

  • Sababu 5 Kwa Nini Ni Vyema Zaidi Kufanya Mazoezi Baada Ya Umri Wa Ugumba

    Sababu 5 Kwa Nini Ni Vyema Zaidi Kufanya Mazoezi Baada Ya Umri Wa Ugumba

  • Kukwazwa Kimawazo Ukiwa Na Mimba Na Matibabu Yake

    Kukwazwa Kimawazo Ukiwa Na Mimba Na Matibabu Yake

  • Mambo 5 Muhimu Unayo Paswa Kufanya Kabla Ya Kufanya Mazoezi

    Mambo 5 Muhimu Unayo Paswa Kufanya Kabla Ya Kufanya Mazoezi

  • Lishe Na Mazoezi Haya Yatakusaidia Kupunguza Uzito Wa Mwili Kwa Kasi

    Lishe Na Mazoezi Haya Yatakusaidia Kupunguza Uzito Wa Mwili Kwa Kasi

  • Sababu 5 Kwa Nini Ni Vyema Zaidi Kufanya Mazoezi Baada Ya Umri Wa Ugumba

    Sababu 5 Kwa Nini Ni Vyema Zaidi Kufanya Mazoezi Baada Ya Umri Wa Ugumba

  • Kukwazwa Kimawazo Ukiwa Na Mimba Na Matibabu Yake

    Kukwazwa Kimawazo Ukiwa Na Mimba Na Matibabu Yake

Get advice on your pregnancy and growing baby. Sign up for our newsletter
  • Becoming a Mama
    • Pregnancy
    • Delivery
    • Losing a Baby
  • Ages & Stages
    • Baby
    • Toddler
    • Kids
  • Parenting
    • News
    • Relationship & Sex
    • Parent's Guide
  • Health
    • Allergies & Conditions
    • Vaccinations
    • Diseases-Injuries
  • Feeding & Nutrition
    • Breastfeeding & Formula
    • Latching & Concerns
    • Weaning
  • More
    • TAP Community
    • Advertise With Us
    • Contact Us
    • Become a Contributor


  • Singapore flag Singapore
  • Thailand flag Thailand
  • Indonesia flag Indonesia
  • Philippines flag Philippines
  • Malaysia flag Malaysia
  • Sri-Lanka flag Sri Lanka
  • India flag India
  • Vietnam flag Vietnam
  • Australia flag Australia
  • Japan flag Japan
  • Nigeria flag Nigeria
  • Kenya flag Kenya
© Copyright Africaparent.com 2023 Tickled Media Pte Ltd. All rights reserved
About Us|Team|Privacy Policy|Terms of Use |Sitemap HTML

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it