Africaparent Logo
Africaparent Logo
EnglishSwahili
  • COVID-19
  • Becoming a Mama
  • Ages & Stages
  • Parenting
  • Health
  • Feeding & Nutrition

Kushikana Mikono Kunaweza Saidia Kupunguza Uchungu Wa Uzazi Kulingana Na Utafiti

3 min read
Kushikana Mikono Kunaweza Saidia Kupunguza Uchungu Wa Uzazi Kulingana Na UtafitiKushikana Mikono Kunaweza Saidia Kupunguza Uchungu Wa Uzazi Kulingana Na Utafiti

Somo lililo fanywa na watafiti kutoka Chuo Kikuu cha Colorado kina shawishi kuwa mguso una nguvu za utendaji kazi sawa na dawa za kutuliza uchungu.

Kushikana mikono na mpenzi wako kunaweza kujaza na amani tele. Kuna kuhakikishia mapenzi na utunzaji. Lakini utafiti mpya una dokeza kuwa kufanya hivi kuna athari zaidi ya kufarijiwa kihisia. Unapo mshika mkono wa mchumba wako, kunaweza saidia kupunguza uchungu wa kifizikia- hata wakati wa uchungu wa uzazi!

Kushikana mikono na mpenzi wako kunaweza saidia na kupunguza uchungu wa uzazi

Kushikana Mikono Kunaweza Saidia Kupunguza Uchungu Wa Uzazi Kulingana Na Utafiti

Somo lililo fanywa na watafiti kutoka Chuo Kikuu cha Colorado kina shawishi kuwa mguso una nguvu za utendaji kazi sawa na dawa za kutuliza uchungu.

"Karatasi hii inaonyesha nguvu na umuhimu wa mguso wa binadamu," mwandishi mkuu wa Pavel Goldstein alielezea Matibabu Kila Siku, akiongeza jinsi alivyo shuhudia haya ili kufanya somo lile.

Bibi yake daktari Goldstein alikuwa yuajifungua alipogundua jinsi kumshika mkono kulivyo saidia kutuliza uchungu wake!

Kwa hivyo aka azimia kujaribu imani ile. Na usaidizi wa timu kutoka Chuo Kikuu cha Haifa, aliwaleta pamoja wanandoa wa jinsia za kike na kiume wenye umri wa miaka 22-32 na kupima jinsi akili zao zilivyo itikia mwito wa mguso walipokuwa katika uchungu.

Unapo ushika mkono wa mwenzio, akili zenu zina tangamana

hold hands during labour

Wakati wa somo lile, wanandoa hao- wote ambao walikuwa pamoja kwa angalau mwaka mmoja- waliulizwa washikane mikono wakati ambapo wanawake walifanywa wahisi uchungu.

Kiasi kidogo cha joto kiliwekwa kwenye mikono yao huku mwitikio wa akili zao ukiangaliwa kwa makini kupitia kwa electoencephalography(EEG) huku wakiwa wameshikwa mikono na bila kushikwa mikono.

Hivi ndivyo walivyo pata:

  • Unapo ushika mkono wa mpenzi wako, kupumua kwako, mpigo wa moyo na utendaji kazi wa akili yako huwa kwa utangamano
  • Hata bila ya mguso, EEG iliashiria aina fulani ya utendaji wa akili kuwa sawa
  • Jinsi kiasi cha juu ambacho mtu anahisi kwa mpenzi wake, athari chanya ni zaidi kwenye utangamano wa kiakili
  • Wakati ambapo akili za wachumba zina utangamano, ndivyo uchungu unavyo pungua
  • Somo hili ndilo la mwisho katika mafuatano ya masomo yanayo angalia zaidi kuhusu utangamano wa kiakili kati ya watu.

Jinsi ambavyo wachumba wanaweza saidia zaidi katika uchungu wa uzazi na kujifungua

Kushikana Mikono Kunaweza Saidia Kupunguza Uchungu Wa Uzazi Kulingana Na Utafiti

Isipokuwa kama umejifungua, hakuna njia ya kuelewa jinsi uchungu wa uzazi unavyo hisi. Lakini wachumba wanaweza fanya kadri wawezavyo kuwaegemeza mama wanao tarajia- kutoka kwa kuwa nao kifizikia hadi kwa kuwasikiliza.

Mbali na kushikana mikono mara kwa mara, hapa kuna vidokezo muhimu kwa baba wanao tarajia kuwa wazazi!

  • Kuwa na bibi yako na umsaidie kuburudika katika hatua za mapema za uchungu wa uzazi
  • Panguza uso wa bibi yako ikihitajika na umpe maji ama barafu(kulingana na ushauri wa daktari wenu)
  • Mpe masi kwa mgongo na mabega
  • Msaidie bibi yako kutembea nje na kubadili mtindo wa kulala kitandani inapo hitajika
  • Mwegemeze kihisia kwa kumpa maneno ya kumhimiza uchungu wa uzazi unapo zidi
  • Msaidie kutumia mbinu za kupumzika na za kupumua
  • Hakikisha kuwa unazungumza na daktari wako katika mchakato huu wote- waeleze mahitaji ya bibi yako, na pia usikize hofu zake
  • Usisahau kujitunza pia! Utakuwa mwenzi bora zaidi wa kujifungua unapo timiza mahitaji yako pia, kama vile kupumzika na kula vyema.

Vyanzo: Medical Daily, National Hospital Services UK

Soma Pia:Vidokezo 21 Kuhusu Uchungu Wa Uzazi Na Kujifungua Kwa Wazazi Wa Mara Ya Kwanza!

Got a parenting concern? Read articles or ask away and get instant answers on our app. Download theAsianparent Community on iOS or Android now!

img
Written by

Risper Nyakio

  • Home
  • /
  • Becoming a Mama
  • /
  • Kushikana Mikono Kunaweza Saidia Kupunguza Uchungu Wa Uzazi Kulingana Na Utafiti
Share:
  • Utafiti Wapendekeza Kuwa Kushikana Mikono Kunasaidia Kupunguza Uchungu Wa Uzazi

    Utafiti Wapendekeza Kuwa Kushikana Mikono Kunasaidia Kupunguza Uchungu Wa Uzazi

  • Ishara Za Uchungu Wa Uzazi: Jinsi Ya Kujua Kuwa Mtoto Ako Njiani

    Ishara Za Uchungu Wa Uzazi: Jinsi Ya Kujua Kuwa Mtoto Ako Njiani

  • Mbinu 5 Salama Za Kuanzisha Uchungu Wa Uzazi

    Mbinu 5 Salama Za Kuanzisha Uchungu Wa Uzazi

  • Jinsi Tunavyo Fikiria Kuhusu Uchungu Wa Uzazi Kunaweza Badili Tunavyo Hisi

    Jinsi Tunavyo Fikiria Kuhusu Uchungu Wa Uzazi Kunaweza Badili Tunavyo Hisi

  • Utafiti Wapendekeza Kuwa Kushikana Mikono Kunasaidia Kupunguza Uchungu Wa Uzazi

    Utafiti Wapendekeza Kuwa Kushikana Mikono Kunasaidia Kupunguza Uchungu Wa Uzazi

  • Ishara Za Uchungu Wa Uzazi: Jinsi Ya Kujua Kuwa Mtoto Ako Njiani

    Ishara Za Uchungu Wa Uzazi: Jinsi Ya Kujua Kuwa Mtoto Ako Njiani

  • Mbinu 5 Salama Za Kuanzisha Uchungu Wa Uzazi

    Mbinu 5 Salama Za Kuanzisha Uchungu Wa Uzazi

  • Jinsi Tunavyo Fikiria Kuhusu Uchungu Wa Uzazi Kunaweza Badili Tunavyo Hisi

    Jinsi Tunavyo Fikiria Kuhusu Uchungu Wa Uzazi Kunaweza Badili Tunavyo Hisi

Get advice on your pregnancy and growing baby. Sign up for our newsletter
  • Becoming a Mama
    • Pregnancy
    • Delivery
    • Losing a Baby
  • Ages & Stages
    • Baby
    • Toddler
    • Kids
  • Parenting
    • News
    • Relationship & Sex
    • Parent's Guide
  • Health
    • Allergies & Conditions
    • Vaccinations
    • Diseases-Injuries
  • Feeding & Nutrition
    • Breastfeeding & Formula
    • Latching & Concerns
    • Weaning
  • More
    • TAP Community
    • Advertise With Us
    • Contact Us
    • Become a Contributor


  • Singapore flag Singapore
  • Thailand flag Thailand
  • Indonesia flag Indonesia
  • Philippines flag Philippines
  • Malaysia flag Malaysia
  • Sri-Lanka flag Sri Lanka
  • India flag India
  • Vietnam flag Vietnam
  • Australia flag Australia
  • Japan flag Japan
  • Nigeria flag Nigeria
  • Kenya flag Kenya
© Copyright Africaparent.com 2023 Tickled Media Pte Ltd. All rights reserved
About Us|Team|Privacy Policy|Terms of Use |Sitemap HTML

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it