Africaparent Logo
Africaparent Logo
EnglishSwahili
  • COVID-19
  • Becoming a Mama
  • Ages & Stages
  • Parenting
  • Health
  • Feeding & Nutrition

Kupunguza Ufuta Kwenye Tumbo: Masharti 5 Ya Kufuata Kupunguza Uzito Kwa Kasi

3 min read
Kupunguza Ufuta Kwenye Tumbo: Masharti 5 Ya Kufuata Kupunguza Uzito Kwa KasiKupunguza Ufuta Kwenye Tumbo: Masharti 5 Ya Kufuata Kupunguza Uzito Kwa Kasi

Wataalum wana shauri uhakikishe kuwa unachukua protini tosha ikiwa ungependa kupunguza uzito wa mwili kwa kasi.

Unapo kuwa ukijaribu kupunguza ufuta kwenye tumbo, huonekana kama jambo lisilo wezekana. Ufuta kwenye tumbo ni tatizo la kawaida linalo wakumba watu wengi, wote, wake kwa waume. Baadhi ya watu hawana shaka kuwa na ufuta kwenye tumbo. Hawagundui kuwa ni tatizo sugu!

Ufuta huu kwenye tumbo haupendezi kuangalia, na pia una husishwa na aina tofauti ya maradhi ya moyo sawa na aina ya pili ya kisukari. Kwa hivyo inakuwa muhimu kwako kupunguza uzani zaidi usio hitajika kutoka kwa tumbo yako! Mara nyingi, watu wanapo sumbuliwa na uzito zaidi kwenye tumbo, ni kawaida kupata wamejiunga na darasa za kupunguza uzito, ama kuanza kutumia lishe fulani itakayo wasaidia kutimiza lengo lao.

Ikiwa ungali hupati matokeo unayo tarajia, kuna aina ya mabadiliko ambayo unahitajika kufanya. Hapa kuna masharti 5 ya kiamsha kinywa yatakayo kusaidia kutimiza lengo lako kwa kasi zaidi na kwa njia iliyo salama kwa afya yako!

Jinsi ya kupunguza ufuta zaidi kwa tumbo

kupunguza uzito kwa tumbo

  • Kuwa na wakati dhabiti

Kiamsha kinywa hukupatia nishati tosha unapo anza siku yako. Ikiwa ungependa kupunguza ufuta kwenye tumbo yako, kula kiamsha kinywa chako lisaa limoja baada ya kuamka.

  • Wakati wa lishe zako

Kulingana na wataalum wa mambo ya lishe na virutubisho. Lishe zako zinafaa kutengana kwa masaa kati ya 5 na 6. Na usiku, hiyo ni tofauti kati ya wakati ulio kula chajio na utakapo kula kiamsha kinywa, inapaswa kuwa masaa 18. Ili kukipa chakula ulicho kila usiku wakati tosha wa kuchakatwa na kutumika mwilini.

  • Lishe yenye protini

Wataalum wana shauri uhakikishe kuwa unachukua protini tosha ikiwa ungependa kupunguza uzito wa mwili kwa kasi. Anza kula protini kwenye kiamsha kinywa chako. Kuna vitu vingi kama mayai, njugu ama hata maziwa ya bururu itakayo kupa virutubisho hivi.

  • Chukua fibre tosha

kupunguza uzito kwa tumbo

Kula chakula kilicho na fibre kutakusaidia kuhisi kuwa umeshiba kwa masaa marefu. Unapo punguza mara unazo kula kwa siku, mwili wako utapata wakati tosha wa kuchakata na kutumia chakula kilicho mwilini bila kuhifadhi. Chakula kilicho hifadhiwa mwilini kina badilika kuwa ufuta unao kufanya kuwa mnene.

Hitimisho

Mbali na vidokezo hivyo, ni muhimu kwa walio na kusudi la kupunguza ufuta zaidi kwenye tumbo kuwa makini na viwango vyao vya chakula. Hakikisha kuwa hauli chakula kingi sana. Mbali tu, kinacho kutosha. Pia, hakikisha kuwa wanga unao tia mwilini ni kiwango sawa na ngumi yako. Sehemu nyingineyo ya sahani yako inapaswa kuwa mboga na matunda.

Twakutakia kila la heri katika kutimiza lengo lako la kupunguza ufuta zaidi kwenye tumbo!

Soma Pia: Lishe Na Mazoezi Haya Yatakusaidia Kupunguza Uzito Wa Mwili Kwa Kasi

Got a parenting concern? Read articles or ask away and get instant answers on our app. Download theAsianparent Community on iOS or Android now!

img
Written by

Risper Nyakio

  • Home
  • /
  • Health
  • /
  • Kupunguza Ufuta Kwenye Tumbo: Masharti 5 Ya Kufuata Kupunguza Uzito Kwa Kasi
Share:
  • Lishe Na Mazoezi Ya Kukusaidia Kupoteza Uzito Wa Mwili Kwa Kasi

    Lishe Na Mazoezi Ya Kukusaidia Kupoteza Uzito Wa Mwili Kwa Kasi

  • Lishe Na Mazoezi Haya Yatakusaidia Kupunguza Uzito Wa Mwili Kwa Kasi

    Lishe Na Mazoezi Haya Yatakusaidia Kupunguza Uzito Wa Mwili Kwa Kasi

  • Punguza Uzito Wa Mwili Kwa Kufanya Mitindo Hii Ya Ngono

    Punguza Uzito Wa Mwili Kwa Kufanya Mitindo Hii Ya Ngono

  • Punguza Uzito Wa Mwili Kwa Kutumia Mitindo Hii Ya Ngono

    Punguza Uzito Wa Mwili Kwa Kutumia Mitindo Hii Ya Ngono

  • Lishe Na Mazoezi Ya Kukusaidia Kupoteza Uzito Wa Mwili Kwa Kasi

    Lishe Na Mazoezi Ya Kukusaidia Kupoteza Uzito Wa Mwili Kwa Kasi

  • Lishe Na Mazoezi Haya Yatakusaidia Kupunguza Uzito Wa Mwili Kwa Kasi

    Lishe Na Mazoezi Haya Yatakusaidia Kupunguza Uzito Wa Mwili Kwa Kasi

  • Punguza Uzito Wa Mwili Kwa Kufanya Mitindo Hii Ya Ngono

    Punguza Uzito Wa Mwili Kwa Kufanya Mitindo Hii Ya Ngono

  • Punguza Uzito Wa Mwili Kwa Kutumia Mitindo Hii Ya Ngono

    Punguza Uzito Wa Mwili Kwa Kutumia Mitindo Hii Ya Ngono

Get advice on your pregnancy and growing baby. Sign up for our newsletter
  • Becoming a Mama
    • Pregnancy
    • Delivery
    • Losing a Baby
  • Ages & Stages
    • Baby
    • Toddler
    • Kids
  • Parenting
    • News
    • Relationship & Sex
    • Parent's Guide
  • Health
    • Allergies & Conditions
    • Vaccinations
    • Diseases-Injuries
  • Feeding & Nutrition
    • Breastfeeding & Formula
    • Latching & Concerns
    • Weaning
  • More
    • TAP Community
    • Advertise With Us
    • Contact Us
    • Become a Contributor


  • Singapore flag Singapore
  • Thailand flag Thailand
  • Indonesia flag Indonesia
  • Philippines flag Philippines
  • Malaysia flag Malaysia
  • Sri-Lanka flag Sri Lanka
  • India flag India
  • Vietnam flag Vietnam
  • Australia flag Australia
  • Japan flag Japan
  • Nigeria flag Nigeria
  • Kenya flag Kenya
© Copyright Africaparent.com 2023 Tickled Media Pte Ltd. All rights reserved
About Us|Team|Privacy Policy|Terms of Use |Sitemap HTML

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it