Africaparent Logo
Africaparent Logo
EnglishSwahili
  • COVID-19
  • Becoming a Mama
  • Ages & Stages
  • Parenting
  • Health
  • Feeding & Nutrition

Mbinu 7 Zilizo Dhibitika Kisayansi Za Kupunguza Ufuta Tumboni

3 min read
Mbinu 7 Zilizo Dhibitika Kisayansi Za Kupunguza Ufuta TumboniMbinu 7 Zilizo Dhibitika Kisayansi Za Kupunguza Ufuta Tumboni

Kulala ni muhimu sana sawa na mazoezi, hasa inapofika kwa kupoteza ufuta tumboni. Unaweza shuhudia kukusanyika kwa ufuta kwenye viungo vyako usipo lala vya kutosha.

Jinsi ya kupunguza ufuta tumboni: Mbinu zilizo dhihirika kisayansi kufanya kazi

weight loss

  1. Usikome kutembea

umuhimu wa mazoezi

Unapo fanya uamuzi wa kuanza utaratibu wa kupunguza uzito wa mwili, mazoezi na shughuli za kifizikia zinapaswa kupatiwa kipau mbele. Unaweza punguza uzito kwa kujihusisha katika shughuli zinazo ongeza mpigo wako wa moyo.

Kama vile kukimbia, kutembea, kuendesha baiskeli ama kuogelea. Mazoezi mepesi kama vile kutembea kutembea yanaweza kusaidia kupunguza hatari ya matatizo ya kiafya yanayo sababishwa na ufuta mbaya.

Kulingana na utafiti uliofanywa na Chuo Kikuu cha Duke Health huko Umarekani, imedhihirishwa kuwa, kutembea kila siku kwa dakika chache kuna manufaa zaidi ikilinganishwa na kukimbia sana na kuimarisha kudhibiti glukosi kwa watu walio na maradhi ya kisukari. Kwa hivyo fanya mazoezi mepesi kupoteza ufuta mbaya.

Kulingana na mwandishi mkuu wa utafiti huo professa daktari William Kraus, mazoezi mepesi huchoma ufuta zaidi kuliko glukosi huku mazoezi magumu yakichoma glukosi zaidi kuliko ufuta.

2. Ongeza yoga kwenye utaratibu wako wa mazoezi

Mbinu 7 Zilizo Dhibitika Kisayansi Za Kupunguza Ufuta Tumboni

Ikiwa unafanya yoga kwa dakika chache kila siku, uko kwa njia inayofaa. Walakini, ikiwa haujaanza bado, huu ndiyo wakati mwafaka wa kuanza.

Somo lililo chapishwa mwaka wa 2012 katika makala ya The North American Menopause Society ili dhihirisha kuwa wanawake walio jaribu programu ya yoga ya wiki 16 ilionyesha kupunguka kwa ufuta mbaya. Uzito wa mwili, ufuta mwilini, kiuno zilionekana kupunguka.

Ikiwa mazoezi ya yoga yana onekana kuwa magumu kwa sasa, usijali, kwa wakati, utaweza kuyafanya kwa urahisi.

3. Jaribu kupata masaa 8-9 ya usingizi kwa siku

kupata usingizi unapo shindwa

Kulala ni muhimu sana sawa na mazoezi, hasa inapofika kwa kupoteza ufuta tumboni. Ikiwa haupati masaa 7 ama 8 ya usingizi jinsi mwili wako unavyo hitaji, unaweza shuhudia kukusanyika kwa ufuta kwenye viungo vyako.

Somo lililo fanyika na Chuo Kikuu cha Matibabu cha Wake Forest huko Umarekani kili dhihirisha kuwa kuna uhusiano wa kulala masaa matano ama machache kwa siku na kuongezeka kwa ufuta hatari mwilini.

Kwa hivyo kupumzika na kulala kuna umuhimu sawa na kufanya mazoezi. Una shauriwa kuto lala masaa zaidi kwani kufanya hivi kuna hatari zake. Kwa hivyo ikiwa unashangaa jinsi ya kupunguza ufuta tumboni bila kufanya mazoezi mengi, hakikisha unalala vya kutosha.

4. Kula protini

foods for eyesight improvement

Protini ni muhimu katika kutengeneza misuli. Lakini unafahamu kuwa pia ni muhimu katika kupunguza ufuta kwenye sehemu ya tumbo? Hii ni kwa sababu mwili wako huanza kupingana na insulin unapozidi kuzeeka lakini lishe yenye wingi wa protini huulinda mwili wako kutokana na insulin resistance. Kwa hivyo, haipunguzi nafasi zako za kupata kisukari tu, mbali katika kupunguza ufuta.

Somo lililo chapishwa kwenye makala ya Nutrition na Metabolism yana dhihirisha kuwa baadhi ya mbinu za kupunguza uzito zina husishwa na ulaji wa protini, zinazo kufanya uhisi kuwa umeshiba. Kama vile nyama isiyo na ufuta mwingi, mayai, njugu na zinginezo.

5. Kijiko cha vinegar

Somo lililo chapishwa kwenye tovuti ya PubMed lili dhihirisha kuwa vinegar inaweza kusaidia kupunguza ufuta mbaya kwa kasi kuliko unavyo tarajia.

Kwenye ripoti yao, wataalum wali tamatisha kuwa ufuta mbaya kwenye sehemu za mwili na kwenye kiuno hupunguka unapo ongeza kiasi cha vinegar. Hakikisha kuwa hauichukui bila kuongeza maji. Unaweza iongeza kwenye mboga zako.

Kwa hivyo ikiwa ulikuwa unashangaa jinsi ya kupunguza ufuta tumboni, mbinu hizi zitakusaidia katika lengo lako.

Vyanzo: NCBI, WebMD, Prevention

Soma Pia: Lishe Na Mazoezi Haya Yatakusaidia Kupunguza Uzito Wa Mwili Kwa Kasi

Got a parenting concern? Read articles or ask away and get instant answers on our app. Download theAsianparent Community on iOS or Android now!

img
Written by

Risper Nyakio

  • Home
  • /
  • Health
  • /
  • Mbinu 7 Zilizo Dhibitika Kisayansi Za Kupunguza Ufuta Tumboni
Share:
  • Sababu 3 kuu Kwa Nini Ufuta Tumboni Mwako Hauishi

    Sababu 3 kuu Kwa Nini Ufuta Tumboni Mwako Hauishi

  • Kupunguza Ufuta Kwenye Tumbo: Masharti 5 Ya Kufuata Kupunguza Uzito Kwa Kasi

    Kupunguza Ufuta Kwenye Tumbo: Masharti 5 Ya Kufuata Kupunguza Uzito Kwa Kasi

  • Vyakula 5 Vinavyo Saidia Kupunguza Viwango Vya Kolesteroli Mwilini

    Vyakula 5 Vinavyo Saidia Kupunguza Viwango Vya Kolesteroli Mwilini

  • Lishe Na Mazoezi Haya Yatakusaidia Kupunguza Uzito Wa Mwili Kwa Kasi

    Lishe Na Mazoezi Haya Yatakusaidia Kupunguza Uzito Wa Mwili Kwa Kasi

  • Sababu 3 kuu Kwa Nini Ufuta Tumboni Mwako Hauishi

    Sababu 3 kuu Kwa Nini Ufuta Tumboni Mwako Hauishi

  • Kupunguza Ufuta Kwenye Tumbo: Masharti 5 Ya Kufuata Kupunguza Uzito Kwa Kasi

    Kupunguza Ufuta Kwenye Tumbo: Masharti 5 Ya Kufuata Kupunguza Uzito Kwa Kasi

  • Vyakula 5 Vinavyo Saidia Kupunguza Viwango Vya Kolesteroli Mwilini

    Vyakula 5 Vinavyo Saidia Kupunguza Viwango Vya Kolesteroli Mwilini

  • Lishe Na Mazoezi Haya Yatakusaidia Kupunguza Uzito Wa Mwili Kwa Kasi

    Lishe Na Mazoezi Haya Yatakusaidia Kupunguza Uzito Wa Mwili Kwa Kasi

Get advice on your pregnancy and growing baby. Sign up for our newsletter
  • Becoming a Mama
    • Pregnancy
    • Delivery
    • Losing a Baby
  • Ages & Stages
    • Baby
    • Toddler
    • Kids
  • Parenting
    • News
    • Relationship & Sex
    • Parent's Guide
  • Health
    • Allergies & Conditions
    • Vaccinations
    • Diseases-Injuries
  • Feeding & Nutrition
    • Breastfeeding & Formula
    • Latching & Concerns
    • Weaning
  • More
    • TAP Community
    • Advertise With Us
    • Contact Us
    • Become a Contributor


  • Singapore flag Singapore
  • Thailand flag Thailand
  • Indonesia flag Indonesia
  • Philippines flag Philippines
  • Malaysia flag Malaysia
  • Sri-Lanka flag Sri Lanka
  • India flag India
  • Vietnam flag Vietnam
  • Australia flag Australia
  • Japan flag Japan
  • Nigeria flag Nigeria
  • Kenya flag Kenya
© Copyright Africaparent.com 2022 Tickled Media Pte Ltd. All rights reserved
About Us|Team|Privacy Policy|Terms of Use |Sitemap HTML

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it