Africaparent Logo
Africaparent Logo
EnglishSwahili
  • COVID-19
  • Becoming a Mama
  • Ages & Stages
  • Parenting
  • Health
  • Feeding & Nutrition

Sababu 3 kuu Kwa Nini Ufuta Tumboni Mwako Hauishi

2 min read
Sababu 3 kuu Kwa Nini Ufuta Tumboni Mwako HauishiSababu 3 kuu Kwa Nini Ufuta Tumboni Mwako Hauishi

Unapo fanya mazoezi na kukosa kulala kwa masaa yanayo hitajika, nafasi kubwa ni kuwa uta tatizika kutimiza malengo yako ya kiafya.

Ufuta tumboni huwa mojawapo ya ufuta zaidi kupunguza na hizi ndizo sababu kwa nini ni kupunguza ufuta tumboni kunatatiza.

Wanawake wengi huwa na shaka kuhusu ufuta tumboni kwa sababu haufanyi mavazi ya watoshee wanavyo taka, na hili ni jambo ambalo wanawake wengi hawapendi.

Je, umekuwa ukifanya mazoezi na ufuta wote mwilini ume pungua ila katika sehenu yako ya tumbo? Jambo hili hufanyika kwa watu wengi, kwa hivyo hauko peke yako katika hili. Abs ni mojawapo ya misuli iliyo migumu zaidi kupata mwilini.

Tuna kushauri usikate tamaa bado, tume ng'amua sababu kwa nini kupunguza ufuta tumboni kunatatiza

  1. Mitindo yako ya kula

kupunguza ufuta tumboni kunatatiza

Mazungumzo kuhusu lishe yako hayawezi sisitizwa vya kutosha. Vinywaji vyenye carbon vitakufanya uhisi kushiba. Pia, vyakula vilivyo chakatwa vyenye viwango vingi vya ufuta ulio saturated na sukari huchangia katika kuhisi kushiba na mwishowe kuwa ufuta tumboni. Kula protini zisizo faa kama vile nyama nyekundu kuta changia katika ufuta tumboni.

Ili kupunguza saizi ya tumbo yako, lishe yako inapaswa kubadilika. Una hitajika kula matunda zaidi, mboga, nyama laini, njugu na vyakula vyenye viwango vya juu vya fiber.

2. Utaratibu wako wa mazoezi sio mkali

kupunguza ufuta tumboni kunatatiza

Kama tulivyo dokeza hapo awali, ufuta kwenye sehemu yako ya tumbo ndio ulio mgumu zaidi kupunguza. Hii ndiyo sababu kwa nini unahitajika kutia juhudi zaidi kwenye kazi yako, na kufanya mazoezi magumu. Kisha ujipe muda kidogo mwili upone na kurejelea hadi utakapo timiza malengo unayo kusudia. Pia, kufanya mazoezi magumu, kuna harakisha mchakato wa mwili wako wa kupunguza uzito na hasa katika sehemu yako ya tumbo. Mwili unapo zoea mazoezi ya aina moja, unafika kiwango ambacho hakuna kitu kinacho tendeka. Unaweza jaribu kuinua uzito ili mwili wako uhisi mabadiliko.

3. Haupati usingizi tosha

kupunguza ufuta tumboni kunatatiza

Usingizi ni muhimu sana katika kutimiza malengo yako ya uzito. Ikiwa umeanza kufanya mazoezi ama kula chakula bora na kusudi la kupunguza uzito, ni muhimu sana kwako kupata usingizi wa kutosha. Unapo fanya mazoezi na kukosa kulala kwa masaa yanayo hitajika, nafasi kubwa ni kuwa uta tatizika kutimiza malengo yako ya kiafya. Hakikisha kuwa una lala kwa angalau masaa 5 kila usiku, ili kuupa mwili wako wakati tosha wa kupona baada ya kufanya mazoezi. Na utaanza kuona ufuta tumboni mwako ukipungua.

Ikiwa kupunguza ufuta tumboni kunatatiza, makala haya yana kusaidia kufahamu nyanja unazo paswa kuangalia kwa makini na kubadilisha.

Soma Pia: Wanandoa Wenye Furaha Huongeza Uzito Pamoja Kulingana Na Sayansi

Got a parenting concern? Read articles or ask away and get instant answers on our app. Download theAsianparent Community on iOS or Android now!

img
Written by

Risper Nyakio

  • Home
  • /
  • Lifestyle
  • /
  • Sababu 3 kuu Kwa Nini Ufuta Tumboni Mwako Hauishi
Share:
  • Mbinu 7 Zilizo Dhibitika Kisayansi Za Kupunguza Ufuta Tumboni

    Mbinu 7 Zilizo Dhibitika Kisayansi Za Kupunguza Ufuta Tumboni

  • Lishe Na Mazoezi Haya Yatakusaidia Kupunguza Uzito Wa Mwili Kwa Kasi

    Lishe Na Mazoezi Haya Yatakusaidia Kupunguza Uzito Wa Mwili Kwa Kasi

  • Kupunguza Ufuta Kwenye Tumbo: Masharti 5 Ya Kufuata Kupunguza Uzito Kwa Kasi

    Kupunguza Ufuta Kwenye Tumbo: Masharti 5 Ya Kufuata Kupunguza Uzito Kwa Kasi

  • Lishe Na Mazoezi Ya Kukusaidia Kupoteza Uzito Wa Mwili Kwa Kasi

    Lishe Na Mazoezi Ya Kukusaidia Kupoteza Uzito Wa Mwili Kwa Kasi

  • Mbinu 7 Zilizo Dhibitika Kisayansi Za Kupunguza Ufuta Tumboni

    Mbinu 7 Zilizo Dhibitika Kisayansi Za Kupunguza Ufuta Tumboni

  • Lishe Na Mazoezi Haya Yatakusaidia Kupunguza Uzito Wa Mwili Kwa Kasi

    Lishe Na Mazoezi Haya Yatakusaidia Kupunguza Uzito Wa Mwili Kwa Kasi

  • Kupunguza Ufuta Kwenye Tumbo: Masharti 5 Ya Kufuata Kupunguza Uzito Kwa Kasi

    Kupunguza Ufuta Kwenye Tumbo: Masharti 5 Ya Kufuata Kupunguza Uzito Kwa Kasi

  • Lishe Na Mazoezi Ya Kukusaidia Kupoteza Uzito Wa Mwili Kwa Kasi

    Lishe Na Mazoezi Ya Kukusaidia Kupoteza Uzito Wa Mwili Kwa Kasi

Get advice on your pregnancy and growing baby. Sign up for our newsletter
  • Becoming a Mama
    • Pregnancy
    • Delivery
    • Losing a Baby
  • Ages & Stages
    • Baby
    • Toddler
    • Kids
  • Parenting
    • News
    • Relationship & Sex
    • Parent's Guide
  • Health
    • Allergies & Conditions
    • Vaccinations
    • Diseases-Injuries
  • Feeding & Nutrition
    • Breastfeeding & Formula
    • Latching & Concerns
    • Weaning
  • More
    • TAP Community
    • Advertise With Us
    • Contact Us
    • Become a Contributor


  • Singapore flag Singapore
  • Thailand flag Thailand
  • Indonesia flag Indonesia
  • Philippines flag Philippines
  • Malaysia flag Malaysia
  • Sri-Lanka flag Sri Lanka
  • India flag India
  • Vietnam flag Vietnam
  • Australia flag Australia
  • Japan flag Japan
  • Nigeria flag Nigeria
  • Kenya flag Kenya
© Copyright Africaparent.com 2022 Tickled Media Pte Ltd. All rights reserved
About Us|Team|Privacy Policy|Terms of Use |Sitemap HTML

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it