Africaparent Logo
Africaparent Logo
EnglishSwahili
  • COVID-19
  • Becoming a Mama
  • Ages & Stages
  • Parenting
  • Health
  • Feeding & Nutrition

Vyakula 5 Vinavyo Saidia Kupunguza Viwango Vya Kolesteroli Mwilini

2 min read
Vyakula 5 Vinavyo Saidia Kupunguza Viwango Vya Kolesteroli MwiliniVyakula 5 Vinavyo Saidia Kupunguza Viwango Vya Kolesteroli Mwilini

Kupunguza ufuta ulio mgumu kuchakata ni mojawapo ya mabadiliko muhimu sana unayo hitaji kufanya kwenye lishe yako kupunguza kolesteroli mbaya.

Kolesteroli mbaya mwilini ni mojawapo ya vitu vinavyo sababisha maradhi mabaya miilini yetu. Na matatizo haya yote yana sababishwa na ulaji wa lishe isiyo na afya. Unapo kula vyakula vilivyo na ufuta mwingi vya kukaangwa, unaongeza viwango vya kolesteroli mbaya mwilini mwako. Makala ya leo yana lenga kuwaelimisha watu kuhusu vyakula muhimu vya kuongeza kwenye lishe. Njia hizi za kula zitakusaidia kupunguza hamu yako ya kula chakula kilicho na wanga mwingi ama kolesteroli nyingi. Unapo punguza ulaji wako wa vyakula hivi, unapunguza nafasi yako ya kuugua ugonjwa wa moyo ama kiharusi. Pia vinasaidia kupunguza viwango vya kolesteroli mbaya mwilini mwako.

Vyakula Vya Kupunguza Kolesteroli Mwilini Mwako

  1. Maharagwe

kupunguza kolesteroli mwilini

Maharagwe ni chanzo kikuu cha fibre. Inayo punguza kolesteroli mwilini. Kula kikombe kimoja cha maharagwe kwa siku kutasaidia kupunguza kolesteroli mwilini kwa asilimia 10 kwa kipindi cha wiki 5. Hakikisha kuwa unaongeza maharagwe kwenye lishe yako.

2. Omega-3

kupunguza kolesteroli mwilini

Omega-3 inayo patikana kwenye salmon na samaki inachangia pakubwa katika kupunguza kolesteroli mbaya mwilini pamoja na triglycerides. Pia inasaidia na afya ya moyo.

3. Soy

Vyakula 5 Vinavyo Saidia Kupunguza Viwango Vya Kolesteroli Mwilini

Kupunguza ufuta ulio mgumu kuchakata ni mojawapo ya mabadiliko muhimu sana unayo hitaji kufanya kwenye lishe yako kupunguza kolesteroli mbaya. Unaweza tumia soy kama mbadala wa nyama na cheese na itakusaidia kupunguza kiwango cha ufuta unao kula kila siku.

Aina hii ya ufuta unapatikana kwenye bidhaa za wanyama kama vile maziwa, krimu, siagi nzima, cheese na nyama kama vile ya ng'ombe, nguruwe na ndama. Epuka kutumia mafuta ya nazi, kernel ama ya kawaida ya kupika.

4. Parachichi

avocado

Parachichi ni vyanzo vikuu vya ufuta ulio rahisi kuchakata na unao saidia kuongeza kolesteroli nzuri huku zikipunguza kolesteroli mbaya.

5. Kitunguu saumu

Vyakula 5 Vinavyo Saidia Kupunguza Viwango Vya Kolesteroli Mwilini

Hapo awali, kitunguu saumu kilikuwa na manufaa mengi. Sasa hivi, mojawapo ya manufaa yake yanayo fahamika sana ni kupunguza kolesteroli mwilini na kuboresha damu kuzunguka vyema mwilini. Pia, kitunguu saumu kinasaidia kupunguza shinikizo la damu na kulinda dhidi ya maambukizi.

Chanzo: WebMD

Soma Pia: Jinsi Ya Kupunguza Uzito Baada Ya Kujifungua: Vidokezo Vya Nyumbani

Got a parenting concern? Read articles or ask away and get instant answers on our app. Download theAsianparent Community on iOS or Android now!

img
Written by

Risper Nyakio

  • Home
  • /
  • Health
  • /
  • Vyakula 5 Vinavyo Saidia Kupunguza Viwango Vya Kolesteroli Mwilini
Share:
  • Mbinu 7 Zilizo Dhibitika Kisayansi Za Kupunguza Ufuta Tumboni

    Mbinu 7 Zilizo Dhibitika Kisayansi Za Kupunguza Ufuta Tumboni

  • Kupunguza Ufuta Kwenye Tumbo: Masharti 5 Ya Kufuata Kupunguza Uzito Kwa Kasi

    Kupunguza Ufuta Kwenye Tumbo: Masharti 5 Ya Kufuata Kupunguza Uzito Kwa Kasi

  • Matibabu Ya Kinyumbani Ya Kupunguza Tumbo Baada Ya Kujifungua!

    Matibabu Ya Kinyumbani Ya Kupunguza Tumbo Baada Ya Kujifungua!

  • Njia 4 Za Kupunguza Michirizi Mwilini Baada Ya Kujifungua

    Njia 4 Za Kupunguza Michirizi Mwilini Baada Ya Kujifungua

  • Mbinu 7 Zilizo Dhibitika Kisayansi Za Kupunguza Ufuta Tumboni

    Mbinu 7 Zilizo Dhibitika Kisayansi Za Kupunguza Ufuta Tumboni

  • Kupunguza Ufuta Kwenye Tumbo: Masharti 5 Ya Kufuata Kupunguza Uzito Kwa Kasi

    Kupunguza Ufuta Kwenye Tumbo: Masharti 5 Ya Kufuata Kupunguza Uzito Kwa Kasi

  • Matibabu Ya Kinyumbani Ya Kupunguza Tumbo Baada Ya Kujifungua!

    Matibabu Ya Kinyumbani Ya Kupunguza Tumbo Baada Ya Kujifungua!

  • Njia 4 Za Kupunguza Michirizi Mwilini Baada Ya Kujifungua

    Njia 4 Za Kupunguza Michirizi Mwilini Baada Ya Kujifungua

Get advice on your pregnancy and growing baby. Sign up for our newsletter
  • Becoming a Mama
    • Pregnancy
    • Delivery
    • Losing a Baby
  • Ages & Stages
    • Baby
    • Toddler
    • Kids
  • Parenting
    • News
    • Relationship & Sex
    • Parent's Guide
  • Health
    • Allergies & Conditions
    • Vaccinations
    • Diseases-Injuries
  • Feeding & Nutrition
    • Breastfeeding & Formula
    • Latching & Concerns
    • Weaning
  • More
    • TAP Community
    • Advertise With Us
    • Contact Us
    • Become a Contributor


  • Singapore flag Singapore
  • Thailand flag Thailand
  • Indonesia flag Indonesia
  • Philippines flag Philippines
  • Malaysia flag Malaysia
  • Sri-Lanka flag Sri Lanka
  • India flag India
  • Vietnam flag Vietnam
  • Australia flag Australia
  • Japan flag Japan
  • Nigeria flag Nigeria
  • Kenya flag Kenya
© Copyright Africaparent.com 2023 Tickled Media Pte Ltd. All rights reserved
About Us|Team|Privacy Policy|Terms of Use |Sitemap HTML

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it