Africaparent Logo
Africaparent Logo
EnglishSwahili
  • COVID-19
  • Becoming a Mama
  • Ages & Stages
  • Parenting
  • Health
  • Feeding & Nutrition

Kutengeneza Uhusiano Na Mtoto Ukiwa Na Mimba Na Manufaa Ya Kiafya

3 min read
Kutengeneza Uhusiano Na Mtoto Ukiwa Na Mimba Na Manufaa Ya KiafyaKutengeneza Uhusiano Na Mtoto Ukiwa Na Mimba Na Manufaa Ya Kiafya

Uhusiano kati ya mama na mtoto ni msingi wa mtoto kuhisi salama, kuwa na imani na kumtegemea anapo zidi kukua nje ya dunia.

Ujauzito ni mwanzo wa uhusiano wa kudumu na mtoto wako. Masomo yana dhibitisha kuwa mtoto wako huanza kuitikia sauti anapokuwa katika wiki ya 24. Na sauti za nje kati ya wiki ya 26 na 3o. Lakini je, unafahamu faida za kutengeneza uhusiano na mtoto ukiwa na mimba na baada ya kujifungua?

Jinsi ya kutengeneza uhusiano na mtoto ukiwa na mimba

vipimo kabla ya kupata mimba

  1. Wakati wa kupiga masi

Kwa upole, piga masi tumbo yako ili kujituliza pamoja na mwanao. Kutumia krimu na mafuta asili kunaweza kuwa njia kuu ya kutuliza na kupumzika na ngozi yako ikiwa laini.

Utafiti umedhihirisha kuwa kumtunza mtoto wako kuna fuatia utunzi wenye afya mama anapokuwa na mimba. Mojawapo ya njia hizi ni kama vile kukoma kutumia sigara ama kuenda kliniki. Hakikisha kuwa una angazia afya yako kwa umakini.

2. Zungumza na kumwimbia mtoto wako

Huenda ikahisi kana kwamba ni mtu mmoja anaye zungumza. Ilhali kunasemekana kuwa mfumo wa kuhisi wa mtoto wako umekua. Mtoto wako anasikia sauti yako, mpigo wa moyo wako na mgurumo wa tumbo yako unapokuwa na njaa.

Utangamano wa kihisia unakua anapo isikia sauti yako angali tumboni. Baada ya kuzaliwa, huenda akapenda kusikia sauti yako zaidi ya nyingine, kwa hivyo anza kuzungumza na mwanao.

3. Matembezi mafupi ama kuogelea

kutengeneza uhusiano na mtoto

Kuogelea ni mazoezi salama kwako unapokuwa na mimba. Pia ni njia nzuri ya kuwasiliana na maisha ya mtoto aliye tumboni mwako.

Kutembea kwa masafa mafupi ni njia kubwa ya kuwasiliana na mtoto wako unapokuwa na mimba. Hakikisha kuwa unayaongeza kwa mazoezi yako ya kila siku huku ukizungumza na mwanao bila kukatizwa.

4. Itikia mateke ya mwanao

Haya ni mazungumzo ya njia mbili. Utaanza kusikia mateke ya mwanao kutoka wiki ya 18 hadi ya 20 ya ujauzito wako. Ni hisia ya kufurahisha kwa kweli. Ni vyema anapo jua kuwa uko hapo na kuwa unaelewa anacho jaribu kusema kutumia mateke yake!

5. Baba ajiunge nanyi pia

Ulezi ni kazi ya timu na wala sio ya mtu mmoja. Kwa hivyo ni vyema wanandoa wanapo fanya kazi kwa pamoja. Baba anaweza fanya mengi anapo kusaidia kufanya majukumu ya nyumbani ama kutembea nawe. Mhimize azungumze na mtoto ama kumsomea hadithi.

Uhusiano kati ya mama na mtoto ni msingi wa mtoto kuhisi salama, kuwa na imani na kumtegemea anapo zidi kukua nje ya dunia. Watoto wanao hisi salama hulala vyema, kula vyema na hawalii sana wanapo kua kuwa binadamu wenye afya na ujasiri baadaye maishani.

Jaribu hatua tulizo angazia na ufurahie dakika za mwisho na mwanao ukiwa na mimba na baada ya kujifungua!

Chanzo: Science Daily

Soma Pia:Mama Hakikisha Kuwa Umeangazia Vitu Hivi Kabla Ya Kupata Mimba!

Got a parenting concern? Read articles or ask away and get instant answers on our app. Download theAsianparent Community on iOS or Android now!

img
Written by

Risper Nyakio

  • Home
  • /
  • Pregnancy
  • /
  • Kutengeneza Uhusiano Na Mtoto Ukiwa Na Mimba Na Manufaa Ya Kiafya
Share:
  • Kuboresha Uhusiano Kati Ya Mzazi Na Mtoto: Vidokezo Muhimu Kutoka Kwa Zozibini Tunzi

    Kuboresha Uhusiano Kati Ya Mzazi Na Mtoto: Vidokezo Muhimu Kutoka Kwa Zozibini Tunzi

  • Mambo Yote Unayo Paswa Kujua Kukosa Maji Tosha Mwilini Ukiwa Na Mimba

    Mambo Yote Unayo Paswa Kujua Kukosa Maji Tosha Mwilini Ukiwa Na Mimba

  • Kulala Sana Ukiwa Na Mimba Ni Salama Kwa Mama Na Mtoto Ama La?

    Kulala Sana Ukiwa Na Mimba Ni Salama Kwa Mama Na Mtoto Ama La?

  • Kemia Na Utangamano Katika Uhusiano: Nini Muhimu Zaidi?

    Kemia Na Utangamano Katika Uhusiano: Nini Muhimu Zaidi?

  • Kuboresha Uhusiano Kati Ya Mzazi Na Mtoto: Vidokezo Muhimu Kutoka Kwa Zozibini Tunzi

    Kuboresha Uhusiano Kati Ya Mzazi Na Mtoto: Vidokezo Muhimu Kutoka Kwa Zozibini Tunzi

  • Mambo Yote Unayo Paswa Kujua Kukosa Maji Tosha Mwilini Ukiwa Na Mimba

    Mambo Yote Unayo Paswa Kujua Kukosa Maji Tosha Mwilini Ukiwa Na Mimba

  • Kulala Sana Ukiwa Na Mimba Ni Salama Kwa Mama Na Mtoto Ama La?

    Kulala Sana Ukiwa Na Mimba Ni Salama Kwa Mama Na Mtoto Ama La?

  • Kemia Na Utangamano Katika Uhusiano: Nini Muhimu Zaidi?

    Kemia Na Utangamano Katika Uhusiano: Nini Muhimu Zaidi?

Get advice on your pregnancy and growing baby. Sign up for our newsletter
  • Becoming a Mama
    • Pregnancy
    • Delivery
    • Losing a Baby
  • Ages & Stages
    • Baby
    • Toddler
    • Kids
  • Parenting
    • News
    • Relationship & Sex
    • Parent's Guide
  • Health
    • Allergies & Conditions
    • Vaccinations
    • Diseases-Injuries
  • Feeding & Nutrition
    • Breastfeeding & Formula
    • Latching & Concerns
    • Weaning
  • More
    • TAP Community
    • Advertise With Us
    • Contact Us
    • Become a Contributor


  • Singapore flag Singapore
  • Thailand flag Thailand
  • Indonesia flag Indonesia
  • Philippines flag Philippines
  • Malaysia flag Malaysia
  • Sri-Lanka flag Sri Lanka
  • India flag India
  • Vietnam flag Vietnam
  • Australia flag Australia
  • Japan flag Japan
  • Nigeria flag Nigeria
  • Kenya flag Kenya
© Copyright Africaparent.com 2022 Tickled Media Pte Ltd. All rights reserved
About Us|Team|Privacy Policy|Terms of Use |Sitemap HTML

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it