Jinsi Ya Kutoa Alama Za Kunyoosha Kwa Kutumia Mafuta Ya Nazi

Jinsi Ya Kutoa Alama Za Kunyoosha Kwa Kutumia Mafuta Ya Nazi

Jinsi ya kutumia mafuta ya nazi kutoa alama za kunyoosha kwenye ngozi yako!

Kuwa na ngozi isiyo na alama za kunyooka ni jambo gumu kwa wanawake wengi na mafuta ya nazi huenda yakakusaidia kupata ngozi hii. Hapa ni jinsi ya kutoa alama za kunyoosha kwa kutumia mafuta ya nazi.Mafuta ya nazi yana julikana sana kwa uwezo wake wa kupatia ngozi unyevu na kutoa bakteria kwenye ngozi. Kufuatia uwezo huu, imejulikana kwamba ni shwari kabisa katika kutoa alama za kunyoosha. Mafuta ya nazi yanatumika kwa sana na yana ongezwa kwenye matibabu ya ngozi kufuatia uwezo wake wa kutengeneza ngozi.

Na mafuta ya nazi, hauhitaji kuvunja benki yako na kutumia pesa nyingi kwa krimu zinazo kisi kutoa alama za kunyoosha. Hozi za mafuta ya nazi zitaisadia ngozi yako kuwa yenye afya huku ikitoa alama za kunyoosha.

Hapa ni baadhi ya njia ambazo unaweza tumia mafuta ya nazi kutoa alama za kunyoosha kwenye ngozi yako.

get rid stretch marks with coconut oil

Njia 5 za kutoa alama za kunyoosha kwa kutumia mafuta ya nazi

1. Mafuta ya nazi tambarare

You can use the ordinary coconut oil to get rid of stretch marks [Style craze]

Unaweza tumia mafuta ya nazi ya kawaida kutoa alama za kunyoosha [Style craze]

Unaweza tumis mafuta ya nazi ya kawaida kutoa alama za kunyoosha. Yote unayo hitajika kufanya ni kupasha joto mafuta yako ya nazi hadi kiwango ambacho ngozi yako itastahimili. Masi mafuta haya yenye joto kwenye ngozi yako kwa dakika 5-10 kila usiku. Wacha mafuta hayo kwenye ngozi yako usiku wote kisha uoshe siku ijayo. Rudia mchakato huu kila siku ili upate matokeo unayo tarajia.

2. Mafuta ya nazi na  aloe vera

get rid of stretch marks with coconut oil

Mchanganyiko wa aloe vera na mafuta ya nazi haya tatoa alama zako za kunyoosha tu, ila pia kuipa ngozi yako virutubisho vinavyo hitajika ili ing'ae. Changanya kijiko kimoja cha mafuta ya nazi na aloe vera.

Pasha joto mchanganyiko huu hadi uwe na joto kisha upige masi kwenye sehemu unayo taka kwa dakika 5 hadi 10. Wacha mafuta haya kwenye ngozi yako usiku na urudie mchakato huu kila siku ili upate matokeo bora kabisa.

3. Mafuta ya nazi na turmeric

get rid of stretch marks with coconut oil
Tumeric ina ufanisi katika kutibu hali tofauti za ngozi na kuboresha ukuaji wa collage (ece-auto-gen)

Tumeric ina ufanisi katika kutibu hali tofauti za ngozi na kuboresha ukuaji wa collagen. Mchanganyiko wake na mafuta ya nazi utafukuza alama hizo za kunyoosha mwilini mwako.

To make this work, you have to mix a half teaspoon of turmeric powder with one teaspoon of coconut oil. Massage the mixture on the affected area.

Ili kufanya mchanganyiko huu ufanye kazi, changanya na kijiko nusu cha poda ya tumeric na kijiko kimoja cha mafuta ya nazi. Kisha upige masi sehemu iliyo na tatizo.

Iwache kwa angalau lisaa limoja na kisha uoshe hapo baadaye. Tumia moisturizer kwenye ngozi yako baada ya kuosha mchanganyiko huu kwenye ngozi yako. Rudia mchakato huu kila siku.

4. Mafuta ya nazi na siagi ya shia pia ni njia nzuri ya kutoa alama za kunyoosha pamoja na mafuta ya nazi

kutoa alama za kunyoosha kwa kutumia mafuta ya nazi
Shea butter is popular for its ability to keep skin healthy

Siagi ya shea ni maarufu kwa uwezo wake wa kufanya ngozi iwe na afya. Ina uwezo wa anti-inflammatory ambao husaidia kutoa alama za kunyoosha.

Changanya kijiko kimoja cha mafuta ya nazi na siagi ya shea kwenye bakuli. Paka mchanganyiko huu kwenye sehemu iliyo na tatizo na uwache ulale usiku wote.

5. Mafuta ya nazi na mafuta ya olive

Mchanganyiko huu wa nazi na mafuta ya olive hufanya maajabu kwenye ngozi yako. Changanya kijiko nusu cha mafuta ya olive na kijiko kimoja cha mafuta ya nazi.

Piga mesi mafuta haya kwenye sehemu zilizo na tatizo wakati wa usiku na uwache yatulie usiku wote. Rudia mchakato huu kila siku.

Soma PiaBest Foods For Oily Skin: Maintain Your Skin By Including These Foods In Your Diet

Makala haya yali chapishwa kwa mara ya kwanza katika kurusa ya Pulse.Ng kisha yaka chapishwa tena kwa kurusa ya Africaparent na baadaye kutafsiriwa na Risper Nyakio.

Any views or opinions expressed in this article are personal and belong solely to the author; and do not represent those of theAsianparent or its clients.

Written by

Risper Nyakio