Ishara za kutokwa kwa ujauzito mapema; je ni kawaida ama la?

Ishara za kutokwa kwa ujauzito mapema; je ni kawaida ama la?

Mama mja mzito anashuhudia ongezeko la unyevu nyevu kwa uke wake. jambo hili ni la kawaida na lina sababishwa na homoni zinazo tolewa na mwili wakati huu. Iwapo unyevu huu una harufu, mama ana shauriwa kumtembelea daktari.

Je, Kutoka kwa ujauzito ni jambo la kawaida? Mwanamke ataanza kutokwa kwa uke wake kabla ya ujana na kuendelea kuuona hadi anapomaliza wakati wake wa kuzaa. Anapo kuwa mjamzito, anatokwa na unyevu usioacha ila kwa mara hii kunaweza kuwa tofauti kufuatia mabadiliko anayoshuhudia mwilini. Kwa mara nyingi, kutokwa na unyevu huu mapema unapo kuwa mja mzito ni kawaida. Ila kuna nyakati ambapo unafaa kuwa na wasi wasi.

 

Kutokwa na unyevu mapema katika uja uzito: Je ni kawaida?

Ishara za kutokwa kwa ujauzito mapema; je ni kawaida ama la?

Uja uzito huja na ongezeko la unyevu kutoka kwa uke wa mwanamke. Hii ina maana kuwa mwanamke atakuwa na unyevu zaidi kuliko hapo awali. Kulingana na NHS, ongezeko la idadi la unyevu katika uja uzito ni kuzuia maambukizo kuto ingia kwa uke wa uterasi.

Uja uzito utachangia katika kuongezeka kwa unyevu kuliko ule uliokuwa nao kabla ya kuwa na mimba. Uta hitajika kuvalia kitambaa ndani kisichokua na harufu kuzuia unyevu huu.

Unyevu huu wa mapema wa uja uzito, Unafaa kuwa mwembamba, wazi na harufu ndogo. Unyevu huu wa uke unaweza kuwa mojawapo ya ishara za uja uzito hata kabla ya kukosa majira yako ya hedhi. Utaweza kuona kuwa ni mwingi zaidi kuliko kawaida wiki za kwanza chache za uja uzito wako.

Mimba inapo endelea kukua, unyevu unakuwa mwingi zaidi. Ukikaribia mwisho wa uja uzito wako, unyevu uliokuwa wazi unaweza kuwa mzito kidogo wenye madoa ya makamasi na damu. Kwa kawaida, unyevu uliokuwa na damu ni ishara kuwa mwanamke anakaribia kupata uchungu wa uzazi na kujifungua mtoto.

 

Mbona unyevu huu hukuwa na tofauti wakati wa ujauzito?

Kuna sababu mbili za mabadiliko haya katika uja uzito. La kwanza ni kufuatia homoni za uja uzito na la pili ni kwa sababu ya mabadiliko ya kizazi cha mwanamke kinachopitia wakati wa uja uzito.

 

 • Homoni na unyevu wa mimba wa mapema

Mabadiliko katika homoni ni kawaida katika uja uzito. Mabadiliko haya yanaweza kuwa na adhari kwa hamu ya kula, mhemko, stamina na unyevu wa uke wa mwanamke.

 • Mabadiliko katika kizazi cha mwanamke

Ukuta wa uke wa mwanamke na kizazi chake hukua laini wakati wa uja uzito. Kufuatia hili, mwili una toa unyevu zaidi kuzuia virusi. Unapo karibia mwisho wa uja uzito wako, kichwa cha mtoto, kina sukuma dhidi ya kizazi katika muda huu kinaweza fanya unyevu kuongezeka.

 

Je, ni lini uko mbaya?

Ishara za kutokwa kwa ujauzito mapema; je ni kawaida ama la?

Unyevu wa mapema katika uja uzito ni jambo la kawaida. Walakini, kuna wakati ambapo unafaa kumwona daktari. Una faa kuwa na wasiwasi unapo shuhudia:

 • Unyevu unao kuwa na harufu ukiwa na mimba au la.
 • Unyevu wa kijana ama njano
 • Kuhisi kujikuna
 • Kuvimba
 • Kuhisi kujikuna unapo pitisha mkojo
 • Unyevu mzito

Dalili hizi zina ashiria kuwa na maambukizo ya uke, na kwa sababu hii una paswa kumwona daktari haraka ipasavyo.

Je unaweza simamisha unyevu wa uja uzito wa mapema?

La hasha, huwezi usimamisha mchakato huu. Inaweza kuwa muda kabla ya kuzoea lakini unaweza fanya mambo yafuatayo.

 • Zingatia usafi wa hali ya juu wa sehemu zako nyeti
 • Valia chupi za pamba
 • Valia vitambaa vya ndani visivyo na harufu
 • Epuka kutumia tamponi unapokuwa na mimba
 • Epuka kutumia marashi na sabuni zenye harufu karibu na sehemu yako ya uke
 • Zingatia usafi wasaa wote kuzuia maambukizo kwa uke wako wakati wa mimba
 • Chupi yako haifai kukubana sana na inafaa kukubalisha hewa kupita
 • Panguza sehemu zako nyeti vyema baada ya kuogelea ama kuoga
 • Kunywa yoghurt kusaidia afya bora ya uke wako, iongeze kwa vyakula vyako vya uja uzito.

 

Je unyevu usio wa kawaida unaonyesha nini?

Unyevu usio wa kawaida unaweza kuwa ishara ya magonjwa ya ngono. Kwa kawaida, daktari wako ataku skrini kuona iwapo una magonjwa yote ya ngono unapomtembelea. Walakini, iwapo unashuku kuwa unaweza kuwa na magonjwa haya ya ngono, Unafaa kuripoti kwa mwuguzi wako ili hatua ichukuliwe kabla ihatarishe maisha ya mtoto.

Unyevu usio wa kawaida unaweza kuwa ishara ya matatizo katika uja uzito wako. Una rangi ya nyekundu iliyo nyepesi, pia inaweza kuwa ishara kuwa zalio limejeruhiwa.

Mimba nje ya mirija ya uzazi inaweza pelekea kuwa na unyevu wa uke usio wa kawaida. Uja uzito wa namna hii hutendeka kiinitete kinapo jigusisha nje ya uterasi. Linaweza sababisha kutokwa kwa damu na unyevu usio wa kawaida. 

Kumbuka kuripoti kwa daktari wako unapo ona jambo lisilo la kawaida kwako wakati huu wa uja uzito. Matibabu ya mapema yanaweza yaokoa maisha yako na yale ya mwanao. Kwa hivyo kuwa makini kwa mambo yasiyo ya kawaida kwako. Ili kuepuka kutoka kwa ujauzito.

 

Jinsi ya kuepuka maambukizo wakati wa mimba

Unaweza epuka marashi ya uke kwa kufuata mambo haya:

 • Baada ya kutumia choo, jipanguze kutoka mbele kwenda nyuma.
 • Ama pia osha sehemu karibu na mkundu baada ya kutumia choo.
 • Epuka kugusa sehemu zako nyeti na mikono michafu: nawa mikono yako kutumia maji na sabuni kabla ya kuigusa.
 • Punguza kiwango cha sukari unacho kula.
 • Usitumie tamponi unapo kuwa mja mzito: wanazo zitumia hukua kwa hatari ya kupata kaswende ya mshtuko sumu.

 

african pregnant woman

Maambukizo chachu katika uja uzito

Kulingana na NHS, maambukizo ya chachu inaweza sababisha unyevu wa uke katika uja uzito. Dalili za ugonjwa huu ni:

 • Unyevu wa jibini mweupe.
 • Usumbufu na kuhisi kujikuna karibu na sehemu ya uke

Ripoti dalili hizi kwa daktari wako.

 

Unyevu wa mapema katika uja uzito hauewezi epukwa katika safari yako ya uja uzito. Mara kwa mara, itakuwa tofauti na rangi uliyo kuwa umezoea hapo awali kabla ya kutunga mimba. Walakini, ukiyafuata mambo tuliyo ongelelea hapo juu mambo yote yatakuwa shwari. Na utaepuka kutoka kwa ujauzito.

Read Also: Here Is All You Need To Know About African Witch Doctors.

 

 

Written by

Risper Nyakio