Je, kuna uwezekano wa kuaga kufuatia kuvunjika kwa roho? Ushauri wa Sayansi

Je, kuna uwezekano wa kuaga kufuatia kuvunjika kwa roho? Ushauri wa Sayansi

Broken heart syndrome is a globally recognised medical condition that can even be fatal. Read on to learn more about it.

Kifo kufuatia kuvunjika kwa moyo ni kawaida kati ya wapendanao. Babu na nyanya yangu walikaa pamoja kwa zaidi ya miaka sitini. Upendo wao ulisitiri majaribio mengi ya kimaisha. Babu yangu alikuwa mwanariadha naye nyanya yangu alikuwa Nesi. Pamoja walijenga maisha mazuri kama wahamiaji Amerika. Walikuwa na watoto saba waliopendeza, wa nne akiwa  baba yangu.

Wakati ambapo babu yangu aliaga dunia, shangazi na wajomba wangu walikubaliana kwamba- hata vichwa vikiwa chini lazima sauti zibaki za kuskika- kwani nyanya yangu angefuata karibuni.

Hali ya kiafya ya nyanya yangu ikaanza kudhoofika na akaaga dunia baada ya mwaka mmoja. 'Unaona kwamba unaeza fariki kwa sababu ya kuvunjika moyo', binamu yangu aliniambia wakati wa mazishi.

Tukio hili lilikuwa la kushtua lakini tulikuwa na amani rohoni kujua kwamba walikuwa pamoja sasa.

Unaeza fariki kufuatia kuvunjika roho. Sayansi inadhibitisha ukweli kuhusu jambo hili.

kuhuzunika

Huenda likawa jambo la kuhuzunisha sana kuskia hadithi za wanandoa wanaofariki miaka au masaa baada ya wapenzi wao kuaga dunia.

Katika mwaka wa 2015 wapenzi kutoka Malaya walifariki masaa chache baada mmoja kufariki. Walikuwa pamoja kwa muda wa miaka themanini na wakalea watoto kumi pamoja. Walizikwa kaburi zao zikikaribiana.

Katika mwaka wa 2011 wapenzi kutoka Lowa, Amerikani waliaga dunia huku wameshikana mikono baada ya miaka ya sabini na mbili iliyojawa na furaha.

Je, kuna utafiti wa kisayansi unaoeleza unavyo weza kufariki kufuatia kuvunjika kwa moyo?

Taaluma ya Kiafya ya Britain ilichapisha usomaji unaoelezea jinsi ambavyo mtu huadhirika roho baada ya mwezi mmoja.

Si Siri kwamba kuvunjika roho kunaweza sababisha shida nyingi za kiakili na za kihisia. Lakini utafiti unaonyesha kuwa madhara haya yanasababisha matatizo ya kimwili.

Kupoteza mtu mpendwa huenda kukasababisha dhiki katika maishani. Wengine wana nguvu ya kukabiliana na dhiki hii ilhali wengine wanapata ugumu.

Utafiti una ashiria kuwa walio katika ndoa pia huenda wakafa kufuatia kuvunjika kwa moyo

kuvunjika kwa moyo

Hali hii ya kuvunjika moyo unadhiri, ama cardiomyopathy inayo sababishwa na fikirira nyingi (Takotsubo cardiomyopathy) inawa athiri hata walio na afya. Utafiti unaendelea kuchunguzwa hali hii. Inajulikana na wataalamu ulimwenguni mzima kama hali ya kimatibabu iliyo rasmi.

Hali hii ya kuvunjika moyo inajulikana Kama hali ambayo ni ya ghafla na maumivu kwa kifua inayo sababishwa na hisia za dhiki. Inasababishwa na kufariki kwa mtu uliye thamini sana, kupewa talaka au usaliti. Wale ambao wana adhirika na hali hii wanapata msukumo wa homoni ambazo zinapanua roho na kuizuia kufanya kazi yake kwa usawa.

Ingawa hali hii ya kuvunjika kwa roho inaweza fanya misuli ya roho kukosa kufanya kazi, inaweza tibika. Hata kama chama cha roho Amerikani kinatu hakikishia kupona baada ya wiki mbili ya matibabu. Kwa wengine, huenda ikasababisha kifo.

 

Je, dalili za hali hii ya kuvunjika kwa roho ni zipi

Ukishuhudia mojawapo ya ishara zifuatazo, mtembelee daktari wako upesi:

  • Angina(maumivu ya kifua), hata kama hujawahi kushuhudia magonjwa yoyote ya moyo
  • Shida za kupumua
  • Mpigo wa moyo usio wa kawaida (arrhythmia)
  • Mshtuko wa cardiogenic

Kufuatia kwa ishara zao kulingana, "hali ya kuvunjika kwa moyo" kwa mara nyingi hulinganishwa na mshtuko wa moyo. Hizi ni baadhi ya njia za kuzi tofautisha:

  • Katika hali ya kuvunjika kwa moyo, vipimo vya damu havionyeshi historia ya moyo kuadhiriwa.
  • Kipimo cha EKG kina uwezo wa kutofautisha hizi mbili.
  • Wanao ugua hali ya kuvunjika kwa moyo wakilinganishwa na wanao ugua kutokana na mshtuko wa moyo hawana mishipa ya coronary iliyo funika ama mtiririko usio wa kawaida.
  • Katika hali ya kuvunjika kwa moyo, uponaji hushuhudiwa baada ya sikuku ana wiki chache ikilinganishwa na mshtuko wa moyo ambao huhitaji zaidi ya mwezi kupona.

kuvunjika kwa moyo

Chanzo cha cardiomyopathy inayo sababishwa na fikiri sio hasi wakati wote. Kuna hali inayo julikana kama moyo ulio furahi (happy heart syndrome). Ina sababisha asilimia 1.1 ya hali ya moyo iliyo vunjika.

Daktari. Harmony Reynolds anaambia Healthline kuwa hali ya kuvunjika roho inaweza epukwa kwa kufanya mazoezi na mambo ya kupumzika kama vile yoga.

It's fascinating how much more research can shed light on the effects broken hearts can have on our lives. What mums and dads should take away from this is that loving in a healthy way means caring for yourself as much as you care for your better half!

Ni hali ya kusisimua jinsi utafiti zaidi huenda uka tufahamisha zaidi kuhusu athari za mioyo iliyo vunjika maishani mwetu. Cha muhimu zaidi ambacho kila mama na baba wana paswa kusoma kutokana na haya ni kuwa, kupenda kwa njia inayo faa, ni kuji tunza mwenyewe kama unavyo weza kumtunza unaye mpenda.

 

Sources: The Guardian, Healthline, British Heart Foundation, IFLScience

READ THIS ALSO: This is how an ugly divorce hurts your child’s physical health

This article is published with permission from theAsianparent Singapore

Written by

Risper Nyakio