Asilimia 80 Ya Wazazi Huwalisha Watoto Chakula Kingi Zaidi, Utafiti Wavumbua

Asilimia 80 Ya Wazazi Huwalisha Watoto Chakula Kingi Zaidi, Utafiti Wavumbua

Kulingana na utafiti mpya ulio fanywa na the Infant and Toddler Forum, asilimia 80 ya wazazi huwalisha watoto chakula kingi zaidi.

Sote tuna fahamu kuwa ili mtoto akue mwenye nguvu na afya lazima ale. Na hasa lazima wale vyakula vyenye ladha na kukaa mbali na kitu chochote kilicho chakatwa na chenye sukari. Lakini inapofika kwa chakula, kuwalisha watoto wachanga chakula kingi kushinda wanavyo paswa, haijalishi ama ni chakula chenye afya, kuta sababisha ongezeko lisilo faa la uzito, jambo ambalo wataalum wa afya wana shaka nyingi kuhusu. Kulingana na utafiti mpya ulio fanywa na the Infant and Toddler Forum, asilimia 80 ya wazazi huwalisha watoto chakula kingi zaidi.

overfeeding kids

Jinsi ya kuepuka kuwalisha watoto chakula kingi zaidi

Uchunguzi unao husisha wazazi 1,000 kutoka Britain ulivumbua kuwa asilimia 79 huwapatia watoto wao viwango vya chakula vilivyo vikubwa kuliko inavyo shauriwa na wanasayansi.

Alisema mwana ripoti wa kibinafsi: “Shirika hilo lilitoa mwongozo unao eleza viwango na jinsi ya kupima chakula. Kuonyesha wazazi ni vijiko vingapi ama vipande vya mkate ama chakula ambacho kinapaswa kuwa kwa kila lishe."

Kulingana na mwongozo, kwa watoto wa miaka kati ya mmoja hadi minne, sio zaidi ya vijiko vitano vya pasta. Kisha vijiko 5 vya wali ama vijiko vinne vya viazi vilivyo bonda vinapaswa kuliwa.

Pia mwongozo huo una onya dhidi ya wazazi kuwakubalisha watoto kula raisins ama cornflakes nyingi kwa siku. Hii ni kwa sababu ya kuwa na sukari nyingi.

Sawa na hivyo, watoto wanapaswa kupatiwa chokleti na aina zingine za switi sio zaidi ya mara moja kwa wingi.

Na kwa nyama, watoto wachanga wanashauriwa kulishwa bidhaa hizi zilizo chakatwa, ham, sausages ama nyama iliyo siagwa. Wakati ambapo samaki freshi na mayai zinapaswa kuliwa kwa viwango vya wastani.

 

Asilimia 80 Ya Wazazi Huwalisha Watoto Chakula Kingi Zaidi, Utafiti Wavumbua

Katika hadithi ya kibinafsi, mtaalum wa lishe ya watoto na mshiriki wa ITF Judy More anasema: "Tulihisi kuwa ilikuwa wakati wa kuwaelimisha watu ili wazazi wawe na ujasiri na viwango ambavyo wanawapatia watoto wao."

overfeeding kids

 

"Upande mkubwa wa jambo hili umekuwa kuwafanya wazazi wawe na imani kuwa wana walisha watoto wao chakula cha kutosha. Kwani hili lili ibua shaka kubwa kwao. Viwango tunavyo shauri ni vya wakati wa kale wa 1990 ambapo uzito mwingi kwa watoto haukua tatizo kubwa kama ilivyo sasa.

"Wakati wote tunasema kwa wazazi, iwapo mtoto wako anaongeza uzito kwa njia salama, na pole pole inavyo faa, hiyo ni njia sawa na yenye afya. Na unapaswa kuwakubalisha wale hadi washibe."

Soma pia: Kusoma Charti Za Ukuaji Wa Mtoto Vibaya Huenda Kukachangia Uzito Mwingi Kwa Mtoto

 

Any views or opinions expressed in this article are personal and belong solely to the author; and do not represent those of theAsianparent or its clients.

Written by

Risper Nyakio