Mtoto Afa Kutokana Na Upele Wa Diaper: Je, Nini Unacho Hitaji Iwapo Mwanao Na Upele Huu?

Mtoto Afa Kutokana Na Upele Wa Diaper: Je, Nini Unacho Hitaji Iwapo Mwanao Na Upele Huu?

They had not changed his diaper in over a week...

Twajua jinsi ilivyo muhimu kuzuia upele wa diaper kwa watoto hasa wanapokuwa wachanga.  Upele wa diaper uliopuuzwa unaweza sababisha hali mbaya ya kiafya. Hatari ya maambukizi katika mtoto mchanga ni kuwa kinga yao ya mwili si dhabiti kukabiliana na maambukizi kwa hivyo wao huugua  sana na haraka.

Wengi wetu labda tumeweza kushughulikia upele wa diaper kwa watoto wetu haswa kama haukuwa umeenea sana  kwa wakati fulani kwa wepesi na ipasavyo. Lakini, kama matokeo ya kuhofisha ya utelekezaji wa mzazi, mtoto wa umri wa miezi minne aliaga dunia kutokana na upele wa diaper ambao haungedhibitika.

kifo cha mtoto.

uwele wa diaper

Upele wa diaper huenda ukasababisha kifo cha mtoto. Ni vyema wazazi kuwa makini zaidi.

Mtoto wa umri wa miezi minne alipatikana amekufa mwaka jana. Huko USA kama amegubikwa na mbawa katika jumba la wazazi wake. Mwili wa mtoto ulipatikana bado ukiwa kwenye swing ya watoto.

Kulingana na wakili msaidizi Mkuu, mtoto aliaga kutokana na upele wa diaper. Na wazazi wake walikuwa wanashtakiwa kwa mauaji ya kiwango cha kwanza.

Wazazi wake, Cheyanne Harris, 20, na Zachary Koehn, 28,  walikuwa wamemwacha mtoto huyo kwa diaper ambayo hakuwa amebadilishwa kwa zaidi ya wiki moja.  Kulingana na ripoti, diaper ilikuwa imechafuliwa na kinyesi ambacho kilisababisha kuenea kwa minyoo na hatimaye maambukizi ya E- Coli.

Utafiti juu ya jinsi mbawa hukua na kuenea ulionyesha kuwa huyo mtoto hakuwa amebadilishwa diaper, wala kuoga ama kutolea kwa hicho kiti kwa zaidi ya wiki moja.

kuepukana na uwele wa diaper

Source: Twitter

Uchunguzi wa maiti ulionyesha kuwa huyo mtoto alikuwa chini ya kiwango cha tano cha ukubwa na uzito.

Watu wa kwanza kumpata huyo mtoto walieleza kuwa mazingira yalikuwa yenye joto jingi na kulikuwa na harufu mbaya ya mkojo. Isitoshe, hali aliyokuwako ilikuwa mbaya sana. Hivi kwamba juhudi za kuokoa maisha yake hazingewezekana.

“Macho yake yalikuwa wazi na yamekondolewa,” akasema . Hii sio sawa. Huyu sio mtoto naweza kumfanyia juhudi za wokozi.

Mtoto wa miaka miwili wa wanandoa hao, pia, alipatikana kwa jumba hilo ila alionekana kuwa sawa na ametunzwa vizuri.

Ijapokuwa hii ilikuwa kesi kubwa sana ya utelekezaji na unyanyasaji,  upele wa diaper ni jambo kubwa ambalo halipaswi kuchukuliwa kwa urahisi na mzazi yeyote.

 Kuzuia upele wa diaper kwa kuzingatia vidokezo hivi

Upele wa diaper sio jambo geni kwa watoto wachanga. Katika miezi 15 ya kwanza ya maisha yao ata kama walio kati ya miezi 9 na 12 ndio huathirika zaidi.

Kumuweka mtoto wako akiwa mkavu kila wakati ni muhimu katika kuzuia upele diaper

Mtoto Afa Kutokana Na Upele Wa Diaper: Je, Nini Unacho Hitaji Iwapo Mwanao Na Upele Huu?

Vyanzo vingine vya upele wa diaper

  • Kumtawilisha mtoto kwa muda mrefu akiwa na kinyesi hasa anapokuwa na kuhara
  • Mabadiliko katika muundo wa kinyesi cha mtoto haswa anapojulishwa vyakula vipya.
  • Mabadiliko katika chapa ya diaper au mafuta ya watoto, poda au lotion, mabadiliko katika sabuni au bleach inayotumika kwenye nguo za mtoto.
  • Vyakula maalum ambavyo huliwa na kina mama kwa watoto wanaonyonyeshwa.
  • Ngozi nyeti sana.
  • Nguo au diaper zinazo bana husababisha kujikuna au kuwashawasha kwenye ngozi.

Kutibu upele wa diaper nyumbani:

Anza kwa kumuosha mtoto wako kwa maji vuguvugu, kisha mkaushe kwa upole eneo hilo( usisugue ngozi ya mtoto wako kwa kitambaa kwani inaweza chukiza upele zaidi)

Paka cream ya upele au mafuta katika eneo lile haswa katikati ya miguu. Lakini usitumie poda ya talcum.

Usisahau kumbadilisha mtoto wako diaper mara kwa mara, na, uhakikishe kwamba mtoto wako yu safi na kavu kila wakati!

Source: Washington Post

Read also: Diaper rash remedies

Written by

Risper Nyakio