Africaparent Logo
Africaparent Logo
EnglishSwahili
  • COVID-19
  • Becoming a Mama
  • Ages & Stages
  • Parenting
  • Health
  • Feeding & Nutrition

Sababu 5 Kwa Nini Wanandoa Huachana

2 min read
Sababu 5 Kwa Nini Wanandoa HuachanaSababu 5 Kwa Nini Wanandoa Huachana

Kila ndoa huwa na changamoto zake, ila, vurugu za mara kwa mara husababisha wanandoa kuachana. Je, kwa nini wanandoa huachana?

Wakati ambapo talaka zilikuwa nadra zama za kale, shirika la ndoa linaonekana kuwa lina onekana kuwa linamomonyoka duniani kote na ni jambo linalotia wosia. Kati ya mabilioni ya watu walio kwenye arthi, sio rahisi kwa watu wawili kuja pamoja na kujaribu kuishi maisha yao yote pamoja. Inahitaji mshikamano wa karibu zaidi kupata mchumba wako, lakini kwa bahati mbaya, kuna sababu nyingi ambazo zinaweza kutishia ndoa. Kuna sababu nyingi kwa nini wanandoa huachana.

Tazama sababu 5 kuu kwa nini wanandoa huachana

kwa nini wanandoa huachana

  1. Kutoka nje ya ndoa

Kutoka nje ya ndoa ni sababu kuu kwa nini ndoa husambaratika. Wakati ambapo kumtamani mtu asiye mchumba wako ni chanzo cha kutoka nje, sababu zingine kama hamu tofauti za ngono, chuki na hasira kwa mchumba wako na uhusiano unaofifia kati ya wanandoa.

2. Matatizo ya kindoa

Wakati ambapo pesa sio mzizi wa furaha, zinaweza kuwa chanzo cha taabu. Ripoti iliyofanyika katika Makala ya Sociology Umarekani ilipata kuwa iwapo bwana hana kazi, kukosa kazi kwake kunaweza kuwa sababu ya wanandoa kutengana. Wanandoa wanao taabika kutokana na matatizo mabaya ya kifedha hukumbana na mawazo na shinikizo kubwa ambazo huanzisha vurugu na vita. Pia, tofauti za kutumia pesa na kuzihifadhi huathiri ndoa.

3. Kutozungumza

Mawasiliano ni muhimu katika uhusiano wowote ule na hata wanandoa wanapofunga ndoa. Kutowasiliana kunaweza sababisha matatizo katika uhusiano wa wanandoa na kusababisha vurugu. Wanandoa wanaweza anza kutengana hadi wanapo patiana talaka.

4. Tofauti zisizo tatizika

kwa nini wanandoa huachana

Tofauti zisizo tatizika huwa chanzo kikuu cha wanandoa kuchukua talaka. Kutopatana kunaweza kuwa sababu kuu, hasa iwapo wanandoa wanafunga ndoa mbio na kwa wakati wanapogundua kuwa wachumba wao ni tofauti na watu wanaofikiria, wamechelewa sana. Tofauti katika njia za ulezi kunaweza tatiza ndoa na hasa mtoto anapozaliwa.

5. Ongezeko la uzito

Katika makala ya kushangaza kuhusu afya ya wanaume, ili dhihirika kuwa watafiti walipata kuwa ongezeko la uzito lilikuwa chanzo kikubwa cha wanandoa kukasirika hasa waliokuwa pamoja kwa miaka mitatu. Kwa hivyo ikiwa umekuwa ukipuuza kutunza mwili wako, ni vyema kuanza mazoezi. Ingekuwa bora kufanya mazoezi na mchumba wako kwani itawapatia nafasi ya kuwa na utangamano zaidi.

Soma Pia: Mambo Ambayo Wanandoa Wanapaswa Kufanya Ila Hawafanyi

Got a parenting concern? Read articles or ask away and get instant answers on our app. Download theAsianparent Community on iOS or Android now!

img
Written by

Risper Nyakio

  • Home
  • /
  • Relationship & Sex
  • /
  • Sababu 5 Kwa Nini Wanandoa Huachana
Share:
  • Imani za Kuchumbiana Zisizo za Kweli Unazostahili Kujua

    Imani za Kuchumbiana Zisizo za Kweli Unazostahili Kujua

  • Koma kufanya Hivi Ili Kuboresha Maisha Yako ya Kingono

    Koma kufanya Hivi Ili Kuboresha Maisha Yako ya Kingono

  • Sababu 3 Kwa Nini Unapaswa Kuongeza Mara Unazofanya Mapenzi Kwa Siku

    Sababu 3 Kwa Nini Unapaswa Kuongeza Mara Unazofanya Mapenzi Kwa Siku

  • Imani za Kuchumbiana Zisizo za Kweli Unazostahili Kujua

    Imani za Kuchumbiana Zisizo za Kweli Unazostahili Kujua

  • Koma kufanya Hivi Ili Kuboresha Maisha Yako ya Kingono

    Koma kufanya Hivi Ili Kuboresha Maisha Yako ya Kingono

  • Sababu 3 Kwa Nini Unapaswa Kuongeza Mara Unazofanya Mapenzi Kwa Siku

    Sababu 3 Kwa Nini Unapaswa Kuongeza Mara Unazofanya Mapenzi Kwa Siku

Get advice on your pregnancy and growing baby. Sign up for our newsletter
  • Becoming a Mama
    • Pregnancy
    • Delivery
    • Losing a Baby
  • Ages & Stages
    • Baby
    • Toddler
    • Kids
  • Parenting
    • News
    • Relationship & Sex
    • Parent's Guide
  • Health
    • Allergies & Conditions
    • Vaccinations
    • Diseases-Injuries
  • Feeding & Nutrition
    • Breastfeeding & Formula
    • Latching & Concerns
    • Weaning
  • More
    • TAP Community
    • Advertise With Us
    • Contact Us
    • Become a Contributor


  • Singapore flag Singapore
  • Thailand flag Thailand
  • Indonesia flag Indonesia
  • Philippines flag Philippines
  • Malaysia flag Malaysia
  • Sri-Lanka flag Sri Lanka
  • India flag India
  • Vietnam flag Vietnam
  • Australia flag Australia
  • Japan flag Japan
  • Nigeria flag Nigeria
  • Kenya flag Kenya
© Copyright Africaparent.com 2023 Tickled Media Pte Ltd. All rights reserved
About Us|Team|Privacy Policy|Terms of Use |Sitemap HTML

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it