Africaparent Logo
Africaparent Logo
EnglishSwahili
  • COVID-19
  • Becoming a Mama
  • Ages & Stages
  • Parenting
  • Health
  • Feeding & Nutrition

Kwa Nini Wanaume Hawasikilizi: Sababu 10 Na Jinsi Ya Kukabiliana Nao

3 min read
Kwa Nini Wanaume Hawasikilizi: Sababu 10 Na Jinsi Ya Kukabiliana NaoKwa Nini Wanaume Hawasikilizi: Sababu 10 Na Jinsi Ya Kukabiliana Nao

Ni vigumu kumsikiliza mchumba wako wakati ambapo umekasirika. Hasira ni hisia zenye nguvu na zinaweza kufanya ukose kufanya uamuzi wenye busara.

Kuna usemi kuwa mojawapo ya ishara za mapenzi ya kweli ni kumsikiliza mpenzi wako. Kusikiliza kwa umakini, kusikiza kuna tenga nafasi ya kuwa na mazungumzo bora, yanayo zidi na kukuza umoja wenu. Lakini baadhi ya wakati huenda likawa tatizo. Kwa wanawake walio na mabwana wasio kuwa makini, huenda kikawa chanzo cha matatizo. Lakini kufahamu sababu kwa nini wanaume hawasikilizi kunaweza kujuza jinsi ya kuliepusha kutatiza ndoa yenu.

Sababu kwa nini wanaume hawasikilizi na suluhu lake

kwa nini wanaume hawasikilizi

  1. Mume wako anataka kujitenga na mazungumzo fulani

Kulingana na Saikolojia Leo, mojawapo ya sababu kwa nini wanaume hawasikilizi ni ili kujitenga na mazungumzo magumu. Njia bora wanavyo fikiria wanaweza fanya hivi ni kwa kukosa kujihusisha na mazungumzo.

Kwa mfano anapo sahau siku ya kuzaliwa kwako. Huenda akadhani kuwa njia bora ya kujitenga na matatizo kufuatia hili ni kukunyamazia.

Suluhu: Unapo zungumza kuhusu masuala magumu, jaribu kuwa wazi bila kuweka lawama kwa mtu yeyote. Angazia mambo chanya kwanza. Kisha umwelezee kinacho kusumbua.

2. Huenda akawa hayuko kwa mhemko wa kukufariji

Huenda akawa kuwa hakusikilizi kwa sababu hataki kukusaidia kukabiliana na kinacho kusumbua. Kuna uwezekano kuwa huenda akawa anapitia mambo fulani na hawezi kusaidia kihisia.

Suluhu: Anza kwa kujikumbusha kuwa anakupenda. Huenda akaonekana kuwa ako katika mhemko mbaya, lakini kumbuka kuwa ndoa ina misuko suko yake. Kuto kusikiliza leo hakumaanishi kuwa hivyo ndivyo mambo yatakavyo kuwa.

3. Anafikiria kuhusu mambo mengine

kwa nini wanaume hawasikilizi

La hasha, hafikirii kuhusu wanawake wengine. Akili yake huenda ikawa katika vitu vingine- kama vile kazi ama kusumbuliwa na wafanyakazi- lisilo kuwa na lolote kuhusu uhusiano wenu.

Suluhu: Tofauti na wanawake, wanaume hawana uwezo wa kufanya mambo mengi pamoja. Mpe muda, atakapo kuwa tayari, atasikiliza unayo yasema. Baadhi ya wakati, njia bora ya kumfanya awe makini nawe ni kwa kuwa makini naye.

4. Anataka kusuluhisha tatizo lako

Mara nyingi, wanawake wanataka kunena tu kuhusu matatizo yao. Lakini sababu moja kwa nini wanaume hawasikilizi ni kwa sababu wanapenda kusuluhisha matatizo badala ya kuchakata hisia zao. Huenda akawa anahisi vibaya kuwa unapitia haya yote.

Suluhu: Jaribu kuchukua ushauri wake, lakini unaweza kubaliana naye. Na umwonyeshe kuwa matakwa yake ya kusuluhisha tatizo hilo ni njia ya kuonyesha kuwa anakujali.

5. Huenda akawa amekasirika

Ni vigumu kumsikiliza mchumba wako wakati ambapo umekasirika. Hasira ni hisia zenye nguvu na zinaweza kufanya ukose kufanya uamuzi wenye busara.

Suluhu: Mpe nafasi. Ili aweze kutatua kinacho msumbua kabla ya kuwa na mazungumzo nawe.

Chanzo: Psychology Today, The Huffington Post

Soma Pia:Vidokezo 5 Muhimu Vya Kulinda Ndoa Yako Na Kurejesha Uhusiano Wenu!

Got a parenting concern? Read articles or ask away and get instant answers on our app. Download theAsianparent Community on iOS or Android now!

img
Written by

Risper Nyakio

  • Home
  • /
  • Relationship & Sex
  • /
  • Kwa Nini Wanaume Hawasikilizi: Sababu 10 Na Jinsi Ya Kukabiliana Nao
Share:
  • Sababu 3 Kwa Nini Wanawake Hutoka Nje Ya Ndoa Kulingana Na Wataalum

    Sababu 3 Kwa Nini Wanawake Hutoka Nje Ya Ndoa Kulingana Na Wataalum

  • Sababu Kwa Nini Mchumba Wako Atatoka Nje Ya Ndoa Yenu

    Sababu Kwa Nini Mchumba Wako Atatoka Nje Ya Ndoa Yenu

  • Kwa Nini Wanawake Wanavutiwa Na Wanaume Walio Katika Ndoa Kulingana Na Sayansi

    Kwa Nini Wanawake Wanavutiwa Na Wanaume Walio Katika Ndoa Kulingana Na Sayansi

  • Jinsi Ya Kuachana Na Mtu Unaye Mpenda

    Jinsi Ya Kuachana Na Mtu Unaye Mpenda

  • Sababu 3 Kwa Nini Wanawake Hutoka Nje Ya Ndoa Kulingana Na Wataalum

    Sababu 3 Kwa Nini Wanawake Hutoka Nje Ya Ndoa Kulingana Na Wataalum

  • Sababu Kwa Nini Mchumba Wako Atatoka Nje Ya Ndoa Yenu

    Sababu Kwa Nini Mchumba Wako Atatoka Nje Ya Ndoa Yenu

  • Kwa Nini Wanawake Wanavutiwa Na Wanaume Walio Katika Ndoa Kulingana Na Sayansi

    Kwa Nini Wanawake Wanavutiwa Na Wanaume Walio Katika Ndoa Kulingana Na Sayansi

  • Jinsi Ya Kuachana Na Mtu Unaye Mpenda

    Jinsi Ya Kuachana Na Mtu Unaye Mpenda

Get advice on your pregnancy and growing baby. Sign up for our newsletter
  • Becoming a Mama
    • Pregnancy
    • Delivery
    • Losing a Baby
  • Ages & Stages
    • Baby
    • Toddler
    • Kids
  • Parenting
    • News
    • Relationship & Sex
    • Parent's Guide
  • Health
    • Allergies & Conditions
    • Vaccinations
    • Diseases-Injuries
  • Feeding & Nutrition
    • Breastfeeding & Formula
    • Latching & Concerns
    • Weaning
  • More
    • TAP Community
    • Advertise With Us
    • Contact Us
    • Become a Contributor


  • Singapore flag Singapore
  • Thailand flag Thailand
  • Indonesia flag Indonesia
  • Philippines flag Philippines
  • Malaysia flag Malaysia
  • Sri-Lanka flag Sri Lanka
  • India flag India
  • Vietnam flag Vietnam
  • Australia flag Australia
  • Japan flag Japan
  • Nigeria flag Nigeria
  • Kenya flag Kenya
© Copyright Africaparent.com 2022 Tickled Media Pte Ltd. All rights reserved
About Us|Team|Privacy Policy|Terms of Use |Sitemap HTML

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it