Kwa Nini Wanawake Wanavutiwa Na Wanaume Walio Katika Ndoa Kulingana Na Sayansi

Kwa Nini Wanawake Wanavutiwa Na Wanaume Walio Katika Ndoa Kulingana Na Sayansi

Kulingana na Sayansi, mabinti wachanga wana vutiwa na wanaume katika ndoa ikilinganishwa na wale ambao bado hawana wachumba.

Tunapaswa kushukuru kuchagua kwa wachumba sawa. Ambao ni utaratibu wa kibayolojia unao kuwa kwa viumbe tofauti; na ambapo viumbe vya kike vina vutiwa kwa viumbe wa kiumbe baada ya kiumbe kingine kuonyesha hamu. Hapa kuna sababu tano kwanini kuiga kwa wachumba ni jambo lililoko. Ama kwa nini wanawake wanavutiwa na wanaume katika ndoa.

wanaume walio katika ndoa

Sababu Kwa Nini Wanawake Wanavutiwa Na Wanaume Walio Katika Ndoa

Ni kitu cha wanawake

wanaume katika ndoa- wanawake

Kuna ushuhuda mwingi kuwa wanyama wa jinsia zote mbili wana iga wachumba. Lakini ushuhuda unadhibitika katika binadamu tu, ni wanawake wanao iga wachumba. Kitu ambacho mwanamke mmoja anaiga ndicho mwanamke mwingine anacho iga.

Utafiti mmoja uliochapishwa katika PLOS One ulipata kuwa wanawake walidhani kuwa wanaume katika ndoa wanapendeza zaidi. Walitumia wakati mwingi wakiangalia picha za watu wangependa kuwa na uhusiano nao walipo fahamu kuwa wako katika uhusiano ama ndoa. Lakini ni tofauti kwa wanaume walio taka wachumba. Kwa hivyo jambo hili la kuiga wachumba halielezi kuhusu wanaume kupenda wanawake wazee kuwaliko.

Na sio baadhi ya wanawake tu -  mbali wanawake wengi

Utafiti moja wa hivi majuzi uliwapa wanamke wa chuo kikuu picha ya mwanamme. Watafiti waligundua kuwa asilimia 90 ya hawa, walivutiwa kwa mwanamme huyo; hata baada ya kusikia kuwa alikuwa kwa uhusiano. Lakini wanawake walipo ambiwa kuwa hakuwa na mchumba, ni asilimia 59 walio mtamani tu.

"Wanawake ambao hawakuwa kwa uhusiano, walipenda mwanamme huyo hata kama alikuwa katika uhusiano mwingine," mwandishi Mellisa Burkley kutoka Chuo Kikuu Cha Oklahama alisema.

Hamu ya kuwa pamoja hudidimia baada ya muda mfupi

wanaume katika ndoa- wanandoa

Wanawake wachanga wana nafasi zaidi za kuvutiwa kwa wanaume walio katika ndoa. Na ni sawa kwa wanawake wasio na uraibu. Kulingana na utafiti. Wanawake walio na uraibu zaidi wana njia zilizo imarika zaidi za kupata wachumba. Cha kufurahisha kuhusu utafiti huo ni kuwa athari ya kuiga wachumba huwa na thibiti zake na wanaume walipo onyeshwa kuwa katika uhusiano mara tano hapo awali, hata wanawake wasio na uraibu walijitenga nao. Mwanamme katika ndoa yake ya kwanza anapendeza zaidi na kuvutia ikilinganishwa kwa aliye katika ndoa yake ya tano.

Wewe ni mwanamke mrembo aliye olewa

 

Wanawake wachanga watavutiwa zaidi na bwanako ikiwa wewe ni mrembo. Nafasi za mwanamme aliye funga ndoa kuvutia kuna ongezeka sio kulingana na sura yake tu, mbali na mchumba wake, utafiti unadhihirisha. Utafiti ulivumbua kuwa, watu wanapokuwa na mchumba wa kuvutia, utaratibu wa kuiga mchumba unazidi. Kwa hivyo habari njema ni kuwa unavutia zaidi kuliko bwana yako. Habari hasi ni kuwa, wanawake wachanga wanashangaa ikiwa walikosea kwa kumpuuza.

Bila shaka, wanawake bado wana heshimu pete

Utafiti mmoja uliwafanya wanawake kuingiliana na wanaume walio kuwa na pete za harusi; kisha kuingiliana na wanaume ambao hawakuwa nazo. Wakati ambapo watafiti waliuliza maswali baadaye, wanawake waliripoti kuwa wanaume bila pete walipendeza zaidi ikilinganishwa na wanaume waliokuwa katika ndoa. Walipo ulizwa wangependelea kuwa na wakati mwema, kuzuru, kushiriki kingono, kualika manyumbani mwao, wanaume bila pete walichukua tuzo katika mambo hayo yote.

Kuvutiwa hakuna maana yoyote ikiwa hakuna anaye chukua hatua ya kwanza. Kwa hivyo ikiwa unaweza samehea uwazi wa ujana na kukosa uraibu, unapaswa kuwa mwanamke aliye olewa anaye furahia. Na kwa sababu hiyo kufanya udhamini tumbo la bwanako.

Yahoo

Soma pia: Jinsi Ya Kujua Iwapo Atakua Mwanamme Bora Katika Ndoa: Sifa Za Mwanamme Mwema

Written by

Risper Nyakio