Africaparent Logo
Africaparent Logo
EnglishSwahili
  • COVID-19
  • Becoming a Mama
  • Ages & Stages
  • Parenting
  • Health
  • Feeding & Nutrition

Kubadili Mtazamo Wa Mavazi Ya Ujauzito Na Nguo Hizi Za Ankara

3masomo ya dakika
Kubadili Mtazamo Wa Mavazi Ya Ujauzito Na Nguo Hizi Za AnkaraKubadili Mtazamo Wa Mavazi Ya Ujauzito Na Nguo Hizi Za Ankara

Mavazi haya ya ujauzito yanamsaidia mama kuendelea kupendeza katika safari yake ya mimba.

Mavazi ya ujauzito ya kuvutia yamebadili mtazamo wa safari ya ujauzito kwa wanawake wengi Afrika kote. Hawangoji tena hadi wanapo jifungua ili kuanza kuvalia mavazi ya kuvutia. Hapo awali, mama alipo pata mimba, hicho kilikuwa kikomo cha kuvalia nguo za kupendeza hadi pale anapo jifungua. Mambo yanaendelea kubadilika na pia mtazamo wa safari ya mimba na mavazi inabadilika. Kila mama anapaswa kukumbuka kuwa mjamzito ni hatua ya kawaida ya maisha na haikudhibiti kupendeza na kufanya watu waangalie nyuma kukutizama mnapo pitana. Mavazi haya ya latest maternity dresses in ghana yana kudokezea jinsi mama mjamzito anaweza valia na bado apendeze. Ikiwa una mimba ama unatarajia kupata, unaweza pata maarifa ya mavazi yatakayo kufaa kwenye makala haya. Hauna sababu yoyote ya kuvalia blausi mrefu katika safari yako ya ujauzito.

Mavazi ya kupendeza ya mama mwenye mimba

nguo za uzazi

Chanzo cha picha: BerryDakara.com

Rinda fupi la ankara

Rinda hili linaweza valiwa kwa sherehe rasmi na zisizo rasmi. Ni sawa la kwenda ofisini Jumatatu na bado unaweza livalia kwenda harusi siku ya Jumamosi. Unaweza ongeza mapambo kwa kuvalia mshipi juu ya tumbo. Hakikisha rangi ya mshipi ina andamana vyema na rangi ya rinda lako. Kwa sababu una mimba, kumbuka kuvalia viatu vilivyo chini ili usi shinikize mgongo wako.

latest maternity dresses in ghana

Rinda lenye rangi inayo ng’aa

Ikiwa uko miongoni mwa watu wanao penda kuvalia mavazi yenye rangi zinazo ng’aa, usikubalishe safari yako ya mimba ikuzuie kuvalia rangi unazo zipenda. Rangi za kung’aa zinafanya uso wako ung’ae zaidi. Rinda hili lina starehe na halikubani kwa hivyo una uhuru wa kufanya shughuli zako za kawaida.

Bila shaka uhuru wa kutembea kwa urahisi, kuinama bila tatizo ni muhimu sana unapo nunua mavazi ya kuvalia unapokuwa na mimba.

Vitu vya kukumbuka unapo nunua mavazi ya ujauzito

Hakikisha nguo unazo nunua sio nzito kwako. Baadhi ya wanawake hufanya uamuzi wa kununua mavazi mapana na marefu wakati wa ujauzito. Athari hasi za kufanya hivi ni kuwa zinakufanya kuonekana mkubwa zaidi. Mavazi ya Ankara yana kufanya upendeze kwa kutilia mkazo umbo lako na kuonyesha tumbo inayo kua. Ikiwa hilo ndilo lengo lako.

Njia mojawapo ya kuongeza ladha kwenye mavazi yako ya latest maternity dresses in ghana ni kwa kutumia mapambo kama vile mikufu na herini. Kulingana na rinda unalo valia, unaweza jipamba zaidi kwa kuongeza herini, bangili ama mikufu mirefu. Mapambo yanayo faa yatakufanya upendeze zaidi na urembo wako utawavutia watu na kuwafanya wasahau kuwa una mimba. Hakikisha kuwa, mapambo unayo valia haya kuathiri kwani ujauzito ni kipindi nyeti. 

Changanya mavazi ya kiafrika unayo amua kuvalia. Mbali na rinda, unaweza valia kaptura na blausi ya kawaida. Ama pia ukavalia blausi ya ankara na suruali za kawaida. Bado utapendeza.

Kuna baadhi ya watu ambao hawapendi mavazi yenye rangi nyingi. Ni sawa kuchagua rangi unayo ipendelea.

Soma pia : Nguo Za Uzazi: Mavazi Bora Unapokuwa Na Mimba

img
Yaliandikwa na

Risper Nyakio

  • Nyumbani
  • /
  • Pregnancy
  • /
  • Kubadili Mtazamo Wa Mavazi Ya Ujauzito Na Nguo Hizi Za Ankara
Gawa:
  • Mavazi Ya Ankara Ya Kupendeza Ya Mama Mjamzito

    Mavazi Ya Ankara Ya Kupendeza Ya Mama Mjamzito

  • Mavazi Ya Kupendeza Ya Mama Mwenye Mimba

    Mavazi Ya Kupendeza Ya Mama Mwenye Mimba

  • Mitindo 5 Ya Ankara Inayo Wafaa Kina Nyanya

    Mitindo 5 Ya Ankara Inayo Wafaa Kina Nyanya

  • Tazama Miundo Hii Ya Blausi Za Mama Mjamzito

    Tazama Miundo Hii Ya Blausi Za Mama Mjamzito

  • Mavazi Ya Ankara Ya Kupendeza Ya Mama Mjamzito

    Mavazi Ya Ankara Ya Kupendeza Ya Mama Mjamzito

  • Mavazi Ya Kupendeza Ya Mama Mwenye Mimba

    Mavazi Ya Kupendeza Ya Mama Mwenye Mimba

  • Mitindo 5 Ya Ankara Inayo Wafaa Kina Nyanya

    Mitindo 5 Ya Ankara Inayo Wafaa Kina Nyanya

  • Tazama Miundo Hii Ya Blausi Za Mama Mjamzito

    Tazama Miundo Hii Ya Blausi Za Mama Mjamzito

Pata ushauri wa mara kwa mara kuhusu ujauzito wako na mtoto wako anayekua!
  • Becoming a Mama
    • Pregnancy
    • Delivery
    • Losing a Baby
  • Ages & Stages
    • Baby
    • Toddler
    • Kids
  • Parenting
    • News
    • Relationship & Sex
    • Parent's Guide
  • Health
    • Allergies & Conditions
    • Vaccinations
    • Diseases-Injuries
  • Feeding & Nutrition
    • Breastfeeding & Formula
    • Latching & Concerns
    • Weaning
  • Zaidi
    • TAP Jamii
    • Tangaza Nasi
    • Wasiliana Nasi
    • Become a Contributor


  • Singapore flag Singapore
  • Thailand flag Thailand
  • Indonesia flag Indonesia
  • Philippines flag Philippines
  • Malaysia flag Malaysia
  • Sri-Lanka flag Sri Lanka
  • India flag India
  • Vietnam flag Vietnam
  • Australia flag Australia
  • Japan flag Japan
  • Nigeria flag Nigeria
  • Kenya flag Kenya
© Copyright Africaparent.com 2023 Tickled Media Pte Ltd. All rights reserved
Kutuhusu|Timu|Sera ya Faragha|Masharti ya kutumia |Sitemap HTML

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it