Africaparent Logo
Africaparent Logo
EnglishSwahili
  • COVID-19
  • Becoming a Mama
  • Ages & Stages
  • Parenting
  • Health
  • Feeding & Nutrition

Vyanzo Vya Libido Ya Chini Katika Wanawake Na Wanaume

2 min read
Vyanzo Vya Libido Ya Chini Katika Wanawake Na WanaumeVyanzo Vya Libido Ya Chini Katika Wanawake Na Wanaume

Libido ya chini huenda ikawa kufuatia tatizo la kiafya, mitindo ya maisha, kusombwa na mawazo ama kuwa na shaka kuhusu kazi ama maisha.

Ashiki ama libido ya chini huathiri wote wanaume na wanawake. Viwango vya hamu ya kufanya mapenzi hubadilika katika vipindi tofauti vya maisha kufuatia sababu tofauti.

Vyanzo vya libido ya chini

Libido ya chini

Hali sugu za kiafya

Shinikizo la juu la damu. Shinikizo la juu la damu huathiri mzunguko wa damu mwilini. Na kuathiri kiwango cha damu kinachofika kwenye sehemu za kike na za kiume. Hivi basi kufanya iwe vigumu kwa mwanamke kuwa tayari kwa kitendo cha mapenzi.

Kisukari. Viwango vya juu vya sukari vina hatari ya kuharibu mfumo wa neva na wa vascular. Athari hizi huenda zikasababisha kupunguka kwa damu kwa genitalia za wanawake na erectile dysfunction katika wanaume. Hali zinazofanya tendo la ndoa kuwa na uchungu ama kukosa starehe.

Ugonjwa wa moyo. Ugonjwa wa moyo unaweza kusababisha kuharibika kwa misuli ya damu na kupunguza mzunguko wa damu mwilini. Damu inayofika kwenye viungo vya genitalia itapunguka na kupunguza hamu ya kufanya mapenzi.

Ugonjwa wa saratani. Matibabu ya saratani kama chemotherapy na upasuaji huathiri viwango vya ashiki.

Matibabu

Baadhi ya dawa za matibabu zinaweza kufanya hamu ya ngono kupunguka. Dawa kama antidepressants, mbinu za mpango wa uzazi za kike na dawa za shinikizo la damu.

Sababu za kihisia na kisaikolojia

Sababu nyingi za kihisia kama matatizo kwenye uhusiano zinaweza kuathiri hamu ya kufanya tendo la ndoa. Matatizo ya kiafya, kuwa na wasiwasi, uchovu, mawazo mengi ama kudhulumiwa kingono hapo awali.

Ashiki ya chini katika wanaume

Libido ya chini

Testosterone katika wanaume huathiri vitu tofauti kama hamu ya mapenzi, nywele mwilini, shahawa, na misuli.

Ashiki ya chini katika wanawake

Mimba

Mimba huandamana na mabadiliko mengi mwilini ikiwemo mabadiliko ya viwango vya homoni mwilini. Kwa sababu hii, mwanamke huenda akakosa hamu ya kufanya mapenzi kipindi chote anapokuwa na mimba.

Matibabu

Aina ya matibabu kusuluhisha ashiki ya chini kwa wote waume na wanawake inalingana na chanzo cha tatizo hili. Kuzungumza na mtaalum wa masuala ya ngono, kufanya mazoezi, kula chakula bora, kupata usingizi tosha na kupunguza unywaji wa pombe ni baadhi ya matibabu ya ashiki ya chini.

Libido ya chini huenda ikawa kufuatia tatizo la kiafya, mitindo ya maisha, kusombwa na mawazo ama kuwa na shaka kuhusu kazi ama maisha.

Soma Pia: Tabia 5 Za Wanandoa Wanaokuwa Na Mapenzi Ya Kusisimua

Got a parenting concern? Read articles or ask away and get instant answers on our app. Download theAsianparent Community on iOS or Android now!

img
Written by

Risper Nyakio

  • Home
  • /
  • Relationship & Sex
  • /
  • Vyanzo Vya Libido Ya Chini Katika Wanawake Na Wanaume
Share:
  • Imani za Kuchumbiana Zisizo za Kweli Unazostahili Kujua

    Imani za Kuchumbiana Zisizo za Kweli Unazostahili Kujua

  • Koma kufanya Hivi Ili Kuboresha Maisha Yako ya Kingono

    Koma kufanya Hivi Ili Kuboresha Maisha Yako ya Kingono

  • Sababu 3 Kwa Nini Unapaswa Kuongeza Mara Unazofanya Mapenzi Kwa Siku

    Sababu 3 Kwa Nini Unapaswa Kuongeza Mara Unazofanya Mapenzi Kwa Siku

  • Imani za Kuchumbiana Zisizo za Kweli Unazostahili Kujua

    Imani za Kuchumbiana Zisizo za Kweli Unazostahili Kujua

  • Koma kufanya Hivi Ili Kuboresha Maisha Yako ya Kingono

    Koma kufanya Hivi Ili Kuboresha Maisha Yako ya Kingono

  • Sababu 3 Kwa Nini Unapaswa Kuongeza Mara Unazofanya Mapenzi Kwa Siku

    Sababu 3 Kwa Nini Unapaswa Kuongeza Mara Unazofanya Mapenzi Kwa Siku

Get advice on your pregnancy and growing baby. Sign up for our newsletter
  • Becoming a Mama
    • Pregnancy
    • Delivery
    • Losing a Baby
  • Ages & Stages
    • Baby
    • Toddler
    • Kids
  • Parenting
    • News
    • Relationship & Sex
    • Parent's Guide
  • Health
    • Allergies & Conditions
    • Vaccinations
    • Diseases-Injuries
  • Feeding & Nutrition
    • Breastfeeding & Formula
    • Latching & Concerns
    • Weaning
  • More
    • TAP Community
    • Advertise With Us
    • Contact Us
    • Become a Contributor


  • Singapore flag Singapore
  • Thailand flag Thailand
  • Indonesia flag Indonesia
  • Philippines flag Philippines
  • Malaysia flag Malaysia
  • Sri-Lanka flag Sri Lanka
  • India flag India
  • Vietnam flag Vietnam
  • Australia flag Australia
  • Japan flag Japan
  • Nigeria flag Nigeria
  • Kenya flag Kenya
© Copyright Africaparent.com 2023 Tickled Media Pte Ltd. All rights reserved
About Us|Team|Privacy Policy|Terms of Use |Sitemap HTML

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it