Benjamin alizaliwa kama mtoto wa kipekee kwa wazazi wake kijiji kimoja nchini Kenya. Maisha hayakuwa rahisi alipokuwa anakua kwani wazazi wake hawakuwa na riziki zilizo weza kuyakimu mahitaji yao. Jambo hili halikuwafanya kukata roho katika kujitahidi na kuhakikisha mtoto wao wa kiume hakukosa mahitaji ya kimsingi. Baada ya kumaliza shule, alibahatika na kupata kazi nzuri iliyo mwezesha kuwapa wazazi wake maisha bora. Kama Benjamin wa bibilia, aliweza kupata maisha mema baada ya kuteseka aligeuka kuwa mfalme. Kila jina lina maana na lina changia katika maisha unayo ishi. Je, unafahamu maana ya jina lako?
Haya ni baadhi ya maana ya majina yanayo tumika zaidi na maana yake
A
Ava
Jina hili lina maanisha nguvu. Pia lamaanisha msichana mkarimu, makini, mwenye bahati, furaha na wa kisasa.
Alexander
Jina hili lina maanisha mtu mwenye nguvu, kirafiki, furaha na pia anaye ambatana na usasa.
B
Brooklyn
Hili ni jina la jinsia ya kike. Lina maanisha binti mwenye makini, mbunifu, kirafiki, tete na mwenye furaha.
Benjamin
Jina la jinsia ya kiume. Lina maanisha baro baro mwenye tete, mkarimu, anaye zingatia kisasa. Mtoto mwenye mkono wa kiumme ama kiongozi. Lina asilia mtu mkubwa.
C
Charlotte
Jina lenye jinsia ya kike. Jina la kifaransa linalo maanisha jinsia ya kike ya Charles. Kwa kifaransa ni mtu aliye huru.
Christopher
Jina la kiume linalo maanisha baro baro mwenye ujuzi, mkarimu na mtanashati. Pia anapenda Marafiki zake.
D
Delilah
Jina la kike lenye historia ya kizuizi. Lamaanisha mtu anaye penda delight, languishing na kuwa jaribu watu. Kama vile Delilah wa bibilia aliyemjaribu Samson na kumnyoa nywele zake.
Daniel
Jina hili limetoka kwenye bibilia. Lina maana kuwa Mungu ni judge wangu.
E
Emma
Jina la kike lenye maana ya mzima ama yote.
Ethan
Jina la kiume la Kizuizi. Lina ashiria mtu mwenye nguvu na anaye kua na msimamo kwa jambo asemalo.
F
Faith
Jina la Kilatina la kike. Lina maanisha mtu mwenye imani isiyo banduka kwa Mungu.
Francisco
Jina la Kispanishi la kiume. La ashiria mtu aliye huru.
G
Grace
Jina la mtoto wa kike. Lina ashiria urembo, eloquence, kindness mercy na faraja za Maulana.
Gabriel
Lina maanisha mtu aliye devoted to God. Pia Mungu ni Nguvu yangu.
H
Harper
Jina la mtoto wa kike. Lina maanisha palipo pasafi.
Hunter
Lina maanisha anaye penda kuhunt
I
Isabella
Jina la kibibilia linalo maanisha Mungu ni perfection, Mungu ni oath yangu. Jina lake la mkato ni Bella kumaanisha mrembo.
Isaac
Jina la ki ‘Greek” lenye maana ‘ata cheka’ pia kicheko. Kutokana na bibilia Sarah alipo ambiwa atapata mwana akacheka.
J
Julia
Jina la kike lina maanisha mchanga.
Jacob
Jina hili la kiume lina maanisha kufuata nyuma. Pia mmoja aliye pigana na Mungu.
K
Kaylee
Lina maanisha pure ama mwekezi wa funguo
Kevin
Lina maanisha mtanashati, mpole na handsome.
L
Lillian
Lamaanisha Mungu ni Vow yangu.
Liam
Jina hili lina maanisha strong willed, warrior, protector.
M
Mia
Lina maana ya wangu. Kama vile mtoto wangu.
Mason
Lamaanisha mmoja anaye fanya kazi na mawe.
N
Natalie
Jina la kike lenye maana ya siku ya krisimasi.
Noah
Lina maanisha ya kupumzika ama comfort.

O
Olivia
Jina la kike la Oliver, lenye maana ya urembo na mazao.
Owen
Lina maana ya young warrior ama noble.
P
Peyton
Lina maana ya anaye pigana ama royal
Parker
Lina maana ya park keeper
Q
Quinn
Lina maana ya wisdom, mtu anaye fikiria na mwenye ujuzi.
R
Riley
Lina maana ya valiant
Ryan
Lina maana ya mfalme mdogo.
S
Sophia
Lina maanisha maarifa na skill.
Samuel
Lina maana ya Mungu ameskia.
T
Taylor
Lina maana ya urembo wa ndani na nje, aliye valia wokovu.
Thomas
Lina maana aliye zaliwa na. Pia asiye kuwa na imani.
U
Uriel
Lina maana ya Mungu ni mwanga wangu.
V
Victoria
Jina la kike la Victor. Lina maana ya mshindi.
Vincent
Lina maana ya mmoja anaye shinda.
W
Willow
Lina maana ya slender na graceful.
William
Lina maana ya determination na will.
X
Ximena
Lina maana ya anaye skiza.
Xavier
Lina maana ya bright ama splendid.
Y
Yaretzi
Lina maana ya upendo.
Yahir
Lina maana ya anaye ng’aa.
Z
Zoey
Jina la kike lenye maana ya maisha.
Zachary
Jina la kiume lenye maana Mungu hukumbuka na pia makumbusho.
Ni matumaini yetu kuwa kwa sasa unafahamu maana ya jina lako.
Read Also: Popular Swahili names for your kids