Baadhi Ya Maandiko Haya Kwenye Mitandao Ya Kijamii Itakuchekesha Zaidi

Baadhi Ya Maandiko Haya Kwenye Mitandao Ya Kijamii Itakuchekesha Zaidi

Hapa ni mambo mazuri, mabaya na yasiyo pendeza yanayo tendeka katika lockdown hii!

Ili kukatiza kusambaa kwa maradhi haya hatari ya COVID-19, serikali imesema kuwa kila mtu anapaswa kukaa nyumbani. Wiki mbili zilizo pita, nchi ya Nigeria ili jumuika na nchi zingine duniani kote ambazo ziko katika lockdown. Kwa sababu ya haya, shule zimefungwa na pia makanisa. Na kwa mara ya kwanza katika mwongo huu, wazazi wamebaki nyumbani na wanao. Bila shaka, huku kumefanya kuwa na uzoefu mwingi, zingine nzuri, zingine mbaya na zingine za kuchekesha. Shukrani kwa mitandao ya kijamii. Tume orodhesha baadhi ya maandiko ya kuchekesha zaidi kwenye mitandao ya kijamii kuhusu lockdown. Ziangalie.

Baadhi ya Maandiko ya Kuchekesha Zaidi Kwenye Mitandao ya Kijamii Kutoka kwa Wazazi wa Kiafrika Kuhusu Lockdown.

twitter tweet

Kuto enda shuleni hakuja simamisha watoto wetu kutokuwa na kazi. Wana kazi kwa vitu vinginevyo mbali na shule. Na kwa mzazi mmoja wa kiume mwenye shughuli nyingi, wakati huu nyumbani anapata nafasi ya kukua na wasichana wake. Anatujulisha ukuaji wa kila siku kwenye Instagram , hapa ni andiko kutoka kwake. Hii ana wekwa kama nzuri.

You know, how we sometimes think kids don’t know what they are doing when they are entirely in control of a situation? Last night,while they were watching Lia kept throwing her ball down making me leave what I was doing to pick it up, why are they like that? Chioma : Babes, help her pick the ball na. Nobs : Why ? Chioma : because she’s a child and she’s just trying to play with you. Nobs : by throwing down the ball ? Chioma : Yes Nobs ; That’s not the game I want to play with her. Chioma : what game do you want to play with her ? Nobs : It’s called. Staying on your own and letting your father rest. Chioma : Ewu Chioma will put her legs up, press her phone and computer then expect me to play “ Catch the ball” with Lia. She is really part of my problem in this house. Jax on the other hand is learning how to collect her things back from Lia without using force, we have made huge progress on that. We have also started making progress with Lia using the magic words. Lia now says “ Thank You” and “Sorry”. I’d try and catch her on video. Apart from using the magic words, she has also learnt a new cry that is so fake you touch it. If you stop her from doing something,she will make the fake cry sound and If you ignore her,she will then move into a full cry. Jax is taking her Ada role a bit too serious. Earlier this evening, I dressed for work out when Jax said Jax : Where are you going Daddy. Nobs :To exercise. Jax : To play Tennis ? Nobs : To run and walk Jax : Let me see what you are wearing A post shared by Noble Igwe (@noble_igwe) on

Hapa kuna baadhi ya matangazo yaliyo kwaza kwa kicheko kutoka mtandao wa twitter kwa wazazi wa kiume wasio saidia! funniest social media posts Kutoka kwa watoto wenye nishati nyingi hadi kwa wanao penda kula chakula kingi, wazazi wa ki afrika hawatasahau lockdown hii kwa haraka. Runinga nyingo zime kwaruzwa ama kupwakwa rangi na zingine kuvunjwa. Kama ile ya OAP Tolu Toolz Oniru ambayo ilikwaruzwa na mtoto wake. Alienda kwa mtandao wa instagramu kuwajulisha wengine ujumbe huu na kuwa jinsi mtoto huyu anavyo paswa kuadhibiwa. Mtangazaji huyu wa radio pia alitaka kujua kwanini watoto wachanga hufanya vitu ambavyo wao hufanya.

A post shared by TOOLZ (@toolzo) on

Habari za hivi punde! Watoto wachanga kamwe hawawezi kutulia. Haiko katika kazi zao. Katika kiandiko hicho, tuna tamatisha tweet hii kutoka kwa mke huyu akipunga bwanaye kwa njia ya kufurahisha zaidi ya kiasili. Bwana huyu ako na uhakika wa kufanya vitu vingi vyema katika kipindi hiki cha lockdown.

funniest social media posts

Mama, ni nini mojawapo ya vitu vya kuchekesha zaidi ambavyo watoto wako wamekufanya ukagawa na wengine katika kipindi hiki cha lockdown? Tuite kwenye mitandao ya kijamii @africaparent. Tunapenda kusikia kutoka kwa jamii yetu.

Pulse NG

Soma Pia: Using social media can make older kids behave like toddlers

Makala haya yaliandikwa kwa mara ya kwanza na Ayeesha kisha yaka tafsiriwa na Risper Nyakio.

Written by

Risper Nyakio