Baadhi ya majina bora zaidi ya kumuita mtoto wa kike nchini Nigeria

Baadhi ya majina bora zaidi ya kumuita mtoto wa kike nchini Nigeria

Ni muhimu kwa mama mja mzito kuwa tayari na jina atakalo ita mtoto wake wa kike baada ya kujifungua. Haya ni baadhi ya majina bora zaidi ya kuita mtoto wako wa kike na maana yake.

Ni muhimu kwa kila mama anaye tarajia kupata mtoto kuwa na majina atakayo muita mtoto wake, punde tu anapojifungua na kumpakata. Tuna angazia baadhi ya majina ya kike nchini Nigeria.

Haya ni baadhi ya majina bora ya kumwuita mtoto wa kike nchini Nigeria.

Abebi

Tuli Itisha mtoto wa kike.

Abidemi

Mtoto wa kike anaye zaliwa wakati ambapo babake hayupo.

Adaego

Mtoto wa kike wa utajiri.

Adaeze

Princess, mtoto wa mfalme.

Adaku

Binti anaye zaliwa kwenye familia tajiri, ama anaye leta utajiri katika familia.

Adankwo

Anaye zaliwa siku ya nne.

Adaobi

Mtoto wa kike wa kwanza katika uwanja wa familia.

Adaolisa

Binti wa Mungu.

Adaoma

Msichana mzuri mwenye maadili.

Adaora

Binti wa wote.

Adaugo

Binti mrembo ama msichana wa kike wa tai.

Adaure

Binti wa Uruala, mtaa moja nchi ya Imo.

Adefolake

Utajiri wako unatupa msaada.

Aderiyike

Taji linalo tunzwa.

Ahunna 

Mmoja aliye na mwili wa babake.

Akuada

Msichana aliye zaliwa katika familia ya kitajiri.

Anwulichukwu

Furaha ya Mwenyezi Mungu.

Anwulika

Furaha yangu ni nyingi ama furaha nyingi zaidi.

Apunanwu

Msichana wa dhamana na mrembo asiyekuwa na doa kutoka kwa jua.

Aretta

Mwanamke mwenye haiba.

Binyelum

Kaa nami.

Bolanile

Utajiri wa nyumba hii.

Baadhi ya majina bora zaidi ya kumuita mtoto wa kike nchini Nigeria

 

Chiagozie

Mungu ameni bariki.

Chiasoka

Mungu ni mtamu sana.

Chiazokam

Mungu ameni okoa vyema.

Chibarameze

Mungu amenifanya mfalme.

Chibinobim

Mungu anaishi moyoni mwangu.

Chibundo

Mungu ni makazi yangu.

Chibugo

Mungu ni nguvu yangu.

Chichima

Msichana mzuri na mwenye dhamana.

Chinara

Kupokelewa na Mungu.

Chinecherizim

Mungu anafikira njema zangu.

Chimsidi

Mungu anasema nitaishi.

Daberechi

Mtegemee Mungu, anaye mtegemea Mungu.

Daluchi

Mshukuru Mungu.

Daraja

Mmoja liye wa dhaminiwa na mwenye umuhimu kwa kila mtu.

Ebunoluwa

Zawadi ya Mungu.

Ekemma

Mmoja aliyezaliwa katika siku ya soko ya Eke.

Emilohi

Mungu pekee ndiye mkuu.

Epkereamaka

Mmoja anaye yaona maombi kuwa mazuri na ya kupendeza.

Eziamaka

Mmoja anaye amini kuwa vitu vyema vinapatikana kwa kuenda nje.

Ezichi

Mungu mwema.

Ezinne

Mama yule mwema.

Folashade

Heshima hutwikwa taji.

Ginikanwa

Nini kuu kuliko mtoto.

Hassana 

Binti pacha.

Ibironke

Familia itampenda Mungu.

Idaramfon

Furaha ni bure.

Ifechiluru

Chenye Mungu amenifanyia.

Ifechukwu

Mwangaza wa Mungu.

Ifedimma

Kitu kizuri.

Ifeoluwapo

Mapenzi ya Mungu ni mengi.

Ifeyinwa

Hakuna kinacho linganishwa na mtoto.

Ifunaya

Mapenzi.

Ihuoma

Mmoja aliye neema.

Ihuomachukwu

Kujaliwa na Mungu.

Ijeawele

Safari laini.

Ijemma

Safari njema.

Ijeoma

Safari njema maishani.

Ileara

Mtoto mwenye afya.

Imbiana

Jina la wimbo wa utangamano nchini Nigeria.

Iretomiwa

Baraka zimekuja kwangu, binti aliye leta baraka kwa familia.

Isioma

Mmoja aliye na fanaka na baraka.

Isoken

Mmoja aliye ridhika na umilele wake.

Iyawa

Mwanamke mwenye ustadi na uwezo. 

Jol

Mpenzi mkuu wa usanii na tamaduni.

Kairaluchukwu

Tumwachie Mungu.

Kaisoluchukwu

Tumfuate Mungu.

Kamfeechukwu

Tumwabudu Mungu.

Kamharida

Sita anguka.

Kamsiyonna

Mungu amenipa nilicho muomba.

Kamtochukwu

Wacha nimuinue Mungu.

Kanyinulia

Tufurahikie.

Kasarachukwu

Mwambie Mungu, anaye mwambia Mungu siri zake.

Kasiemobi

Nifariji.

Kesandu

Anaye wapa maisha wote.

Kosarachi

Mwambia Mungu.

Lebechi

Mtazamie Mungu wako.

Lotachukwu

Mkumbuke Mungu wako.

Makuachukwu

Kumbatia Mungu.

Mkpulunma

Kitu cha urembo.

Mofoluwakemi.

Kinachopeanwa kwa baraka za Mungu.

Naija

Anayetoka mto wa Niger.

Nchekwube

Mwamini Mungu.

Ndidi

Mwenye subira.

Ngozichukwuka

Baraka za Mungu ni bora zaidi.

Nneka

Mamangu ni bora zaidi duniani.

Nnenne 

Anayefanana nyanyake.

Obiageli

Anaye zaliwa katika utajiri.

Obioma.

Haiba ya mfalme inayo mwezesha kushinda na kunyakua roho za wengine.

Oluchi

Kazi ya Mungu.

Oluebube

Miujiza.

Oluwabusola

Mungu anauongeza utajiri wangu.

Oluwafunbi

Mungu alinipea hii.

Omolade

Mtoto wa taji.

Omorinsola

Mtoto anayetembea katika utajiri.

Orisa

Kuonekana kwa malaika.

Osarogie

Mungu ni mfalme.

Oyinlola

Utajiri ni mtamu.

Rayowa

Maisha.

Sade

Heshima hutwikwa taji.

Somtochukwu

Muinue Mungu nami.

Tambara

Msichana aliye tulia.

Timelehin

Mungu ako nawe.

Tujuka

Anaye kuwa na furaha.

Udumelue

Aliye pewa taji kwa maringo na ustaadhi.

Ugoulo

Ustaadhi wa nyumba.

Uloaku

Nyumba ya utajiri ama benki.

Yejide

Anayefanana mamake.

Yoruba

Amani.

Zauna

Kuwa uhai.

Zikoranachidinma

Onyesha dunia Mungu ni mwema.

Zinachidinma

Onyesha kuwa Mungu ni mwema.

Zoputan

Anaye linda.

Read Also: Popular Swahili names for your kids

Written by

Risper Nyakio