Sote tunapenda majina maarufu ya watoto ya Swahili. Majina haya yana maana nyingi. Ukisikia maana ya majina kama Barack (maana ya baraka) ama Zalika (yenye maana ya aliye zaliwa vyema), huwezi kosa kuongea kuhusu jina hili. Majina ya Swahili ni bora kwa wazazi wanao taka watoto wao wawe na maana ya ndani na yenye maana na maneno ya kibinafsi.

Ila majina haya ya Swahili hutoka wapo?
Kiswahili (maarufu kama Swahili) ni lugha ambayo majina ya Swahili hutoka. Swahili ni mojawapo ya majina ya Kibantu. Ndiyo lingua franca ya kwanza ya watu wengi wanao ishi sehemu nyingi za Afrika. Pia, lugha hii ni muhimu na ndiyo lugha ya taifa katika nchi nyingi kama vile Burundi, Mozambique, Uganda, Tanzania, Kenya, Rwanda, na DRC.
Historia ya Majina ya Watoto ya Swahili
Kwa sasa, unafahamu kuwa Swahili ndiyo lugha maarufu zaidi Afrika hasa upande wa Afrika Mashariki. Kuna zaidi ya watu millioni mia moja wanao ongea Swahili duniani kote.
Kabla ya kuchagua mojawapo ya majina maarufu ya watoto ya Swahili, ni vyema kufahamu historia hii ndogo. Kiwango kikubwa cha majina ya Kiswahili hutoka kwa Kiarabu.
Kulingana na rekodi za historia, waarabu wengi wametembea na kufanya biashara sehemu za Afrika Mashariki na Kusini. Watu walipo zidi kutangamana, walianza kuchukua majina ya kiarabu na pia dini yao.
Kwa sasa kwani unafahamu historia ya majina haya ya kufana ya Swahili, tuna angalia baadhi ya majina bora zaidi.
Majina maarufu zaidi ya Swahili ambayo unaweza kuangalia iwapo unatarajia mtoto
Majina
A
Akila Aliye soma vizuri ama mwenye busara
Amani Tamaa ama hamu
Amira Binti wa mfalme
Aneesa Aliye jitenga na dhambi, msafi na haja haribika
Anisa Mwenye furaha ama rafiki
Asante Asanti (njia ya kushukuru Mungu ama mtu)
Alix Kutetea wanaume
Aza Enye nguvu
Ashia Maisha
Asiya Anaye tunza ama mwuguzi
Asma Ufahari
Asya Kufufuka
Atiya Zawadi
Aziza Enye nguvu
B
Barack Baraka
Bakari Mtu mwenye ahadi ya kufanya makuu
Barika Kufuzu na kufanikiwa
Binti Binti ya
C
Chaniya Tajiri na mwenye mali
Chane Aliye na moyo wenye nguvu kama mti wa oak
E
Emani Imani
F
Fatou Kujinyima
Fatima Kukaa mbali na
H
Hassani Mrembo
Hafsa Utambuzi (aliye na uwezo wa kufanya uamuzi)
Hiba Zawadi
Halima Mpole
Hodari Mwenye nguvu ya uongozi
I
Ila Dunia
Imani Imani
Issa Mungu ni wokovu wangu
Itanya Tumaini
Imarisha Tuliza na iwe bora
J
Jafari Creek
Johannes Mungu ana rehema
Jela Baba anatesaka wakati bibi yake anapitia uchungu wa mama
Jata Nyota ya mbinguni
Jamila Mrembo, anaye pendeza
Jelani Mwenye nguvu
Jina Aliye zaliwa na uwezo wa kuongoza na kupita magumu yote
Jaleel Mtukufu
Jabari Faraja
Jahaira Hadhi
Juma Aliye zaliwa siku ya Ijumaa
Jamba Shujaa
Jaha Hadhi
Julisha Anaye peana ushauri
Jiona Fahari

K
Khari ama Khary Bora zaidi
Kamaria Inayo ng'aa kama mwezi
Kesi Aliye zaliwa baba alipokuwa taabuni
Kia Mkristo
Karima Mkarimu
Kanene Jambo la maana ama mtu
Kaluwa Mtu aliye sahaulika
Kanika Nguo nyeusi
L
Lakeisha Mwenye furaha
Latifa Mwenye huruma na mtulivu
Lela Usiku
M
Msia Mwanamme mwenye busara
Mune Masharti (ama kanuni)
Muraty Rafiki
Mwanahamisi Aliye zaliwa siku ya alhamisi
Mwamini Wa kuaminika, ama mkweli
Mzuzi Ubunifu (anaye anza kitu)
N
Naima Utulivu
Nia Yenye kung'aa
Nour Mwanga
Neema Aliye zaliwa msimu wenye fanaka
Nigesa Aliye zaliwa msimu wa mavuno
O
Okapi Inahusika na twiga
Oyana Inua
Onyesha Wazi
Otesha Kulima mchanga
P
Penda (Aina za Penha) Anaye pendwa
R
Rahma Huruma
S
Simba Kama simba
Shani Mwanamke mwema
Samira Mwenzi mwema
Sefu Upanga ama simi
Safiri Safari
T
Tamu Yenye ladha nzuri
Taraji Hamu
Taji Taji
Ujana Kuwa mdogo
Y
Yusra Utajiri ama mali
Z
Zaida Kuongezeka
Zuri Mrembo (ama jiwe langu)
Zarina Dhahabu safi
Zakia Mjanja ama mwenye ubongo
Final thoughts on popular Swahili names Fikira za mwisho kuhusu majina ya watoto ya Swahili
Kwa sasa kwani una orodha ya maarufu ya watoto ya Swahili, safari yako iko karibu kufika kikomo. Hatua inayo fuata itakua kuchagua jina linalo toshea mwongozo wako. Haijalishi unacho kichagua, utapata kitu unacho kipenda.
Ni majina ipi unayo yapenda zaidi na kwa nini?
Soma pia: Heres Why Kenyans Are The Absolute Best