Majina 68 ya Kiume ya Kijerumani na Maana Yake

Majina 68 ya Kiume ya Kijerumani na Maana Yake

Looking for the perfect German male names for your baby boy? Here is a comprehensive list of the most popular German names for boys

Jambo zuri juu ya kuchagua majina ya watoto ni kwamba unaweza kuchagua jina lolote kutoka mahali popote duniani mradi  linahusiana na kile unachotaka kwa jina. Unatafuta kumpatia mtoto wako wa kiume jina la Kijerumani? Hapa kuna majina ya kiume ya Kijerumani ya kuchagua.

Majina ya kiume ya Kijerumani

 1. Abramo: Baba wa umati
 2. Aedne: Tai
 3. Abelard: Dhibitisho
 4. Alexander: Mlinzi wa wanadamu
 5. Adalard: Jasiri
 6. Adolphus: Mtukufu mbwa mwitu
 7. Augustine: Mkuu
 8. Acwulf: Mbwa mwitu kutoka masafa mwaloni
 9. Abbot: Baba; Lahaja ya Abba
 10. Abbey: Baba yangu ni mwanga
 11. Abbe: Baba yangu anafurahi
 12. Adaliz: Aina ya mtu mzuri au muungwana
 13. Adalric: Mtu tajiri au muungwana tajiri
 14. Absalom: Mungu baba ni amani
 15. Adalhard: Mtu hodari na muungwana shupavu
 16. Adalheid: Kijana wa dhahabu
 17. Aby: Baba wa watu wengi au jamii
 18. Bamey: Jasiri kama dubu
 19. Barnim: Kulinda
 20. Bardric: Mtawala wa shoka; Mwanajeshi ambaye anatumia shoka

mtoto wa kiume

 1. Bannruod: Kamanda maarufu
 2. Barduwulf: Mbwa mwitu mwenye kutumia shoka
 3. Bannan: Kamanda
 4. Ben: Mwana wa mvulana
 5. Bahr: Dubu mwenye nguvu au hodari
 6. Baldemar: Mtawala maarufu
 7. Baldrick: Jasiri au shujaa
 8. Bamard: Jasiri kama dubu
 9. Baldwin: Rafiki hodari na jasiri
 10. Callan: Kupigana vitani na miamba
 11. Carey: Anaishi katika ngome
 12. Cariel: Yeye ni mtu huru
 13. Carper: Jina la kazi kwa mtengenezaji wa vikapu
 14. Cary: Mtu wa ngome
 15. Ceorl: Mume
 16. Chay: Hadithi
 17. Christoph: Ambaye ni mletaji wa Yesu
 18. Chuckie: Mtu huru; Mtu wa kawaida ambaye yuko huru kutotawaliwa kwa nguvu kutoka kwa serikali
 19. Claus: Ushindi wa wanaume; Ushindi wa watu
 20. Clay: Mfaji; Mtu ambaye amekatiwa kifo

majina ya kijerumani

Majina Zaidi

 1. Chlodwig: Shujaa mashuhuri wa Ujerumani
 2. Drogo: Anayeweza kuhimili au kubeba mzigo
 3. Drud: Mtu mwenye nguvu asili
 4. Durr: Mtu anayeogofia
 5. Dust: Jina la makao; Kichaka
 6. Dustan: Shujaa jasiri
 7. Dustin: Jina la jiwe la Thor
 8. Dolf: Mbwa mwitu muungwana
 9. Dik: Kiongozi wa kipekee, hodari na mwenye nguvu
 10. Dillinger: Mteremko wa kilima; Hisia za upendo; Furaha ya Mungu
 11. Dolphus: Mbwa mwitu mtukufu muungwana
 12. Donar: Mungu wa radi
 13. Dresden: Watu wanaoishi kando ya mto
 14. Drexel: Anapenda kufanya mambo yasiyo wazi; Kugeuka
 15. Elias: Amwaminiye Yahweh ni Bwana
 16. Eadwin: Mtu ambaye ni rafiki aliyebarikiwa na anayethaminiwa katika jamii
 17. Earnest: Mwenye nia ya dhati na ya kiroho
 18. Ewart: Mtu jasiri na shujaa
 19. Eberhard: Nguvu na shujaa kama nguruwe-mwitu
 20. Edmund: Mlinzi hodari; anayefikiria na mwenye utaratibu

german boy names

 1. Ecgwald: Kulelewa na maumbile au katika mazingira ya msitu
 2. Felix: Mwanaume aliyebarikiwa mali, bahati nzuri na mafanikio
 3. Jonas: Njiwa; Anayeongea laini; Fadhili
 4. Leon: Simba
 5. Louis: Mpiganaji mkubwa, jasiri
 6. Maximilian: Bora zaidi; Mkuu zaidi
 7. Noah: Starehe, kupumzika, umoja, utulivu
 8. Wojciech: Yeye aliye na furaha vitani

Kawaida, majina hutumiwa katika sehemu tofauti kote ulimwenguni katika anuwai za urefu tofauti na matamshi. Kwa hivyo, majina mengine yanaweza kusikika kuwa ya Kiingereza lakini ni ya Kijerumani.

Read also: Some Of The Most Popular Nigerian Girl Names And Their Meanings

Nameberry

Written by

Risper Nyakio