Majina 68 Ya Kiume Ya Ujerumani Na Maana Yake

Majina 68 Ya Kiume Ya Ujerumani Na Maana Yake

Ungependa kumwita mtoto wako wa kiume jina la kijerumani? Hapa kuna orodha ya majina ya kiume ya ujerumani maarufu zaidi.

Kitu kizuri kuhusu kuchagua majina ya watoto ni kuwa unaweza chagua jina lolote kutoka mahali popote dunia iwapo jina lina kupendeza. Ungependa kumwita mtoto wako jina la kijerumani? Hapa ni baadhi ya majina ya kiume ya ujerumani ya kuchagua.

Majina ya kiume ya ujerumani

 1. Abramo: Baba wa watu wengi
 2. Aadne: Tai
 3. Abelard: Bila shaka
 4. Alexander: Mtetezi wa watu
 5. Adalard: Jasiri
 6. Adolphus: Noble wolf
 7. Augustine: Mwenye nguvu
 8. Acwulf: A wolf from the oak meadows
 9. Abbot: Baba, baba wa watu wengi
 10. Abbey: Babangu ni mwangaza
 11. Abbe: Babangu ana furaha
 12. Adaliz: Mtu mwenye huruma na mpole
 13. Adalric: Mtu mwenye mali na utajiri
 14. Absalon: Mungu baba ana amani
 15. Adalhard: Mtu mwenye ujasiri na ukali
 16. Adalheid: Kijana wa dhahabu
 17. Aby: Baba wa jamii kubwa
 18. Bamey: Ujasiri mwingi
 19. Barnim: Kulinda
 20. Bardric: Kiongozi wa shoka; askari wa shoka

majina ya kiume ya ujerumani

 1. Bannruod: Mwamrishaji maarufu
 2. Barduwulf: An ax-wielding wolf
 3. Bannan: Anaye amrisha
 4. Ben: Mtoto wa kiume
 5. Bahr: Mwenye nguvu na uwezo
 6. Baldemar: Kiongozi maarufu
 7. Baldrick: Mtu wazi na shujaa
 8. Bamard: Mwenye ushajaa mwingi
 9. Baldwin: Rafiki aliye jasiri
 10. Callan: Kupigana vita na mawe
 11. Carey: Anaye ishi kwenye fortress
 12. Cariel: Mtu aliye huru
 13. Carper: Jina la mtu anaye tengeneza vikapu
 14. Cary: Bwana wa nyumba
 15. Ceorl:  Bwana
 16. Chay: Hadithi ya kuaminika
 17. Christoph: Anaye mwamini Yesu
 18. Chuckie: Mtu aliye huru; mtu aliye huru wa masharti ya nchi yoyote
 19. Claus: Ushindi wa wanaume; ushindi wa watu
 1. Clay: Anaye weza kukufa

majina ya kiume ya ujerumani

Majina zaidi

 1. Chlodwig: Shujaa maarufu wa ujerumani
 2. Drogo: Mtu ambaye anaweza beba mzigo
 3. Drud: Mtu mwenye nguvu asili
 4. Durr: Mtu anaye kufanya uhisi mchache
 5. Dust: Jina la mahali pa kuishi; kichaka
 6. Dustan: Shujaa jasiri
 7. Dustin: Jina la jiwe la Thor
 8. Dolf: Noble wolf
 9. Dik:  Kiongozi wa kibinafsi na mwenye nguvu
 10. Dillinger: Mteremko wa mlima; hisia ya furaha; furaha ya Mungu
 11. Dolphus: Majestic Noble Wolf
 12. Donar: Mungu wa ngurumo
 13. Dresden: Watu wanao ishi kando ya mto
 14. Drexel: Anaye penda kuwacha mambo kama hayako dhabiti; kumzungusha
 15. Elias: Mtu anaye mwamini Mungu
 16. Eadwin: Rafiki aliye barikiwa na anaye pendwa na jamii
 17. Earnest: Mtu mwenye kiroho na mwenye makini
 18. Ewart:  Mtu mwenye ushujaa na ujasiri
 19. Eberhard: Mwenye nguvu na ujasiri mwingi
 20. Edmund: Mlinzi wa nguvu; anaye fikiria kwa sana na kwa utaratibu

german boy names

 1. Ecgwald: Aliye kuzwa na mazingara ama kwenye msitu
 2. Felix: Mwanamme aliye barikiwa na bahati nzuri na mafanikio
 3. Jonas: Njiwa, anaye ongea kwa upole, mkarimu
 4. Leon: Simba
 5. Louis: Mlinzi mkuu, jasiri
 6. Maximilian: Bora wa bora, mkuu zaidi
 7. Noah: Kupumzika, mtulivu, amani
 8. Wojciech: Aliye na furaha vitani

Kwa kawaida, majina hutumika sehemu tofauti ulimwenguni kote na utofauti wa matamshi na urefu wake. Kwa hivyo, baadhi ya majina huenda yaka sikika kama ya kimombo ila ni ya kijerumani.

Soma pia: Some Of The Most Popular Nigerian Girl Names And Their Meanings

Nameberry

Makala haya yaliandikwa kwa mara ya kwanza na Lydia Ume kisha yaka tafsiriwa na Risper Nyakio.

Written by

Risper Nyakio