Africaparent Logo
Africaparent Logo
EnglishSwahili
  • COVID-19
  • Becoming a Mama
  • Ages & Stages
  • Parenting
  • Health
  • Feeding & Nutrition

Majina 42 Mazuri Ya Krismasi Ya Vijana Na Maana Yao

4 min read
Majina 42 Mazuri Ya Krismasi Ya Vijana Na Maana YaoMajina 42 Mazuri Ya Krismasi Ya Vijana Na Maana Yao

Are you expecting a baby this Christmas? Here are some of the most unforgettable and unique Christmas baby boy names to name him.

Wiki zinavyozidi kupita, maduka yataanza kujazana. Msongamano ni wa kawaida na hakuna anayeonekana kuwa na pesa. Lakini anagalau disemba, tutakuwa na roho ya kusheherekea, kweli? Kweli.  Hata hivyo, ni ule msimu wa furaha- na pia kuna sababu kuu kuwa mwenye furaha, ni krismasi. Uko karibu kumkaribisha mtoto mzuri wa kiume. Labda ushaanza kutafuta majina  ya krismasi ya vijana tayari.

Ongea kuhusu krismasi spesheli!

Hivyo basi, kwa nini tusisheherekee   kwa kuupa msimu heshima huu. Chagua mojawapo ya haya majina mazuri ya krismas ya watoto vijana. Tuna uhakika tunalo jina linalomfaa. Yatizame hapa chini…….

Majina ya krismasi ya vijana na maana yake

majina ya krismasi ya wavulana

  1. Angel

Kumaanisha: “malaika “

 

  1. Aster

Kumaanisha:  “nyota”

 

  1. Aubin

Kumaanisha: “mweupe, mwenye nywele za rangi”

 

  1. Balthasar

Kumaanisha: Mungu humlinda mfalme”

 

  1. Berry

Kumaanisha: “wa mazingira”

 

  1. Christian

Kumaanisha:  “mfuasi wa Mungu”

 

  1. Cole

Kumaanisha: “makaa nyeusi”

 

  1. Douglas

Kumaanisha: “nguvu, ushujaa”

 

  1. Jack

Kumaanisha: “Mungu ni mwema”

 

  1. Jasper

Kumaanisha: “anayeleta hazina”

 

  1. Lumi

Kumaanisha: “theluji”

 

  1. Melchior

Kumaanisha:  “mji wa mfalme”

 

  1. Nicholas

Kumaanisha: “ushindi wa watu”

 

  1. Noel

Kumaanisha: “krismasi”

 

  1. Olwen

Kumaanisha: “nyayo nyeupe”

 

  1. Pax

Kumaanisha: “tulivu”

 

  1. Pine

Kumaanisha: “ya mti”

 

  1. Quilo

Kumaanisha: “wa upepo wa kaskazini”

 

  1. Robin

Kumaanisha: “tajika, angavu”

 

  1. Rory

Kumaanisha: “mfalme mwekundu”

 

Majina mengine ya vijana ya krismas

 

Majina zaidi ya krismasi ya wavulana na maana yao

majina ya krismasi ya wavulana

21. Rudolph

Kumaanisha: “mbwa mwitu maarufu”

 

22. Snow

Kumaanisha: “wa theluji”

 

23. Theodore/Teddy

Kumaanisha: “zawadi ya Mungu”

 

24. Whittaker

Kumaanisha: “uwanja mweupe”

 

25. Yukio

Kumaanisha: “theluji”

 

26. Cole

Cole laweza kuwa jina fupi lakini lina utajiri na kina. Na kumaanisha kaa jeusi  huchochea hisia kali za meko na mtu wa theluji.

 

27. Colden

Hii ‘cold’ moniker hutoka kwa kiingereza cha kale na humaanisha bonde la giza.

 

28. Cypress

Moniker cypress hutoka kwa ule mti mrefu unaoishi na hukua ukielekea kaskazini.

 

29. Douglas

Ni mojawapo wa miti ya krismas inayofahamika na huambatanishwa na ukoo wa Scottish uliotajika kwa nguvu na ushujaa.

 

30. Eira

Eira ni jina la Welsh la theluji na hutamkwa kama AY – ren.

 

31. Eirwen

Hili ni jina la kipekee la Welsh na humaanisha nyeupe kama theluji na hutamkwa AY – ren.

 

32. Ember

Hili jina la kuvutia la jinsia zote hutufanya kuwaza juu ya meko inayong’aa na yenye joto.

 

33. Gabriel

Jina la malaika mkuu aliyeleta habari juu ya kuzaliwa kwa Yesu. Gabriel au Gabrielle ni jina nzuri la watoto waliozaliwa  Krismas.

Haya majina ni yaliyoongozwa na krismasi si ya krismasi haswa lakini yatafanya vyema.

mtoto wa kiume

34. Garnet

Mzaliwa wa Januari, Garnet limejaa umoto na uwezekano wa watoto wa kike na kiume kipindi cha baridi.

 

35. Jack

Kumaanisha “Mungu ni mwenye rehema” hili jina limeunganishwa kiasili na Jack Frost.

 

36. January

Lililotajika na Janus, mungu wa mianzo na mabadiliko, January linafanyika jina la wasichana kwa kasi sana. Waza juu ya Mad Men’s January Jones kama huniamini.

 

37. Jasper

Kumaanisha anayeleta hazina, hili jina nzuri la vijana la kipersian kwa muda mrefu limeshirikishwa na mamajusi watatu.

 

38. Jenara

Kama vile January, hili jina ni wakfu kwa miungu ya Rome Janus.

 

39. Kenyon

Kumaanisha mwenye nywele nyeupe, hili ni jina nzuri la mtoto aliyezaliwa kipindi cha baridi.

 

40. Krystal

Hili jina humaanisha mfuasi wa Yesu – hutufanya tuwaze juu ya chembe za theluji na asubuhi zenye baridi kali na kila kitu kizuri.

 

41. Lumi

Hili jina nzuri la kifinnish humaanisha theluji – timilifu.

 

42. Merry

Hili jina la Welsh la watotot laweza kutumika na jinsia yoyote ile – na kwa hakika linatufanya tuwaze juu ya Krismasi.

Closer Online

Also read: 40 Lovely Christmas Names For Girls And Their Meanings

Got a parenting concern? Read articles or ask away and get instant answers on our app. Download theAsianparent Community on iOS or Android now!

img
Written by

Risper Nyakio

  • Home
  • /
  • Baby Names
  • /
  • Majina 42 Mazuri Ya Krismasi Ya Vijana Na Maana Yao
Share:
  • Majina 87 Ya Kizungu Ya Watoto Wavulana na Maana Yake

    Majina 87 Ya Kizungu Ya Watoto Wavulana na Maana Yake

  • Majina Ya Kipekee Ya Vijana Yenye Maana Ya Mungu

    Majina Ya Kipekee Ya Vijana Yenye Maana Ya Mungu

  • 42 Beautiful Christmas Names For Boys And Their Meanings

    42 Beautiful Christmas Names For Boys And Their Meanings

  • Majina 68 ya Kiume ya Kijerumani na Maana Yake

    Majina 68 ya Kiume ya Kijerumani na Maana Yake

  • Majina 87 Ya Kizungu Ya Watoto Wavulana na Maana Yake

    Majina 87 Ya Kizungu Ya Watoto Wavulana na Maana Yake

  • Majina Ya Kipekee Ya Vijana Yenye Maana Ya Mungu

    Majina Ya Kipekee Ya Vijana Yenye Maana Ya Mungu

  • 42 Beautiful Christmas Names For Boys And Their Meanings

    42 Beautiful Christmas Names For Boys And Their Meanings

  • Majina 68 ya Kiume ya Kijerumani na Maana Yake

    Majina 68 ya Kiume ya Kijerumani na Maana Yake

Get advice on your pregnancy and growing baby. Sign up for our newsletter
  • Becoming a Mama
    • Pregnancy
    • Delivery
    • Losing a Baby
  • Ages & Stages
    • Baby
    • Toddler
    • Kids
  • Parenting
    • News
    • Relationship & Sex
    • Parent's Guide
  • Health
    • Allergies & Conditions
    • Vaccinations
    • Diseases-Injuries
  • Feeding & Nutrition
    • Breastfeeding & Formula
    • Latching & Concerns
    • Weaning
  • More
    • TAP Community
    • Advertise With Us
    • Contact Us
    • Become a Contributor


  • Singapore flag Singapore
  • Thailand flag Thailand
  • Indonesia flag Indonesia
  • Philippines flag Philippines
  • Malaysia flag Malaysia
  • Sri-Lanka flag Sri Lanka
  • India flag India
  • Vietnam flag Vietnam
  • Australia flag Australia
  • Japan flag Japan
  • Nigeria flag Nigeria
  • Kenya flag Kenya
© Copyright Africaparent.com 2023 Tickled Media Pte Ltd. All rights reserved
About Us|Team|Privacy Policy|Terms of Use |Sitemap HTML

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it