Orodha Ya Majina Ya Kupendeza Ya Watoto Wa Kike

Orodha Ya Majina Ya Kupendeza Ya Watoto Wa Kike

Kuchagua jina la mtoto wako huenda ikakutatiza. Hapa ni baadhi ya orodha ya majina ya watoto wa kike.

Iwapo unatafuta majina ya watoto wa kike, ya watoto wako, makala haya yata kufaidi zaidi. Unaweza chagua kutoka kwa orodha yetu ya mojawapo ya majina bora kabisa yatakayo mfaa binti yako.

Majina ya watoto wa kike: Nini kiko katika jina?

majina ya watoto wa kike

Kumpa mtoto jina ni muhimu kama kuzaliwa kwake. Jina la mtoto linapaswa kudhihirisha yafuatayo:

1. Takdiri ya mtoto

Kundi la kikabila huko Nigeria na mara nyingi hutabiri maisha ya usoni ya mtoto. Katika Igbo, jina Erinma lina maana ya urembo wa mtoto/ anaye kuwa na matabirio mema.

2. Jina lina elezea hali ilivyo kuwa mtoto alipo zaliwa

Baadhi ya wazazi huwapatia watoto majina ili wasisahau jinsi vitu vilivyo kuwa walipo jifungua watoto wao. Jina la Yoruba la Ebudola lina maana ya matusi yamekuwa utajir. Hili ni jina linalo faa kwa familia zilizo tusiwa kwa kukosa watoto ama kuwa masikini.

3. Majina yana heshimu Mungu

Dini ni muhimu katika kuwapa watoto majina. Kwa Igbo, majina yanayo anza na "Chi" kuonyesha heshima ya Mungu. Chiamaka lina maanisha Mungu ana pendeza. Chinwendu lina maanisha maisha yana milikiwa na Mungu. Chioma lina maana Mungu mwema. Katika Yoruba majina yanayo anza na Oluma yana onyesha heshima kwa Mungu. Oluwatobi lina maana ya Mungu ana Nguvu. Oluwatofunmi lina maana ya Mungu amenitosha.

4. Majina yana onyesha matakwa ya wazazi

Ni kawaida kwa jina la mtoto kuonyesha malengo na ndoto za wazazi. Kasimawo ni jina la ki Yoruba linalo maanisha kuwa tungoje tuone iwapo mtoto wako ataishi kwa muda mrefu. Wazazi walio poteza watoto wengi mara nyingi huwapatia watoto wao jina hili.

5. Majina yana onyesha hali ya kitajiri ya kijamii

Familia za kiongozi zina maneno spesheli ya watoto. Amir ni jina la ki Hausa lenye maana ya kuongoza. Eze (Igbo) ina maana ya mfalme. Katika Yoruba, Oba lina maana ya mfalme, na jina lolote linalo anza na Oba, lina maana kuonyesha kuwa mwenye jina ametonga familia ya uongozi. Kujua majina ya maneno ya kwanza yatakusaidia kuchagua majina ya watoto wa kike.

Majina ya watoto wasichana kulingana na kabila

majina ya watoto wa kike

Majina ya wasichana ya Igbo

Adaeze – binti wa malkia
Adaego – binti wa mali
Adaobi – binti wa kwanza kwenye familia
Akwaugo – binti anaye pendwa
Nwabuona – mtoto ni dhahabu

Obiageli – aliye zaliwa kwenye utajiri
Olaedo – dhahabu
Olanma – pearl
Ugonma – tai rembo
Uloaku – Aliye zaliwa katika nyumba ya mali
Nwabuona – Mtoto huyu ni dhahabu

Majina ya wasichana ya Yoruba

majina ya watoto wa kike

Adebisi – ameongezewa kwenye taji
Adedamola –  taji laja na utajiri
Adelola – taji huleta heshima
Adepeju – taji limejazwa na heshima
Abioye –  aliye zaliwa kwenye nyumba ya uongozi

Adenike – tunza taji
Aderiyike –taji lililo tuzwa
Bisi –  msichana wa kwanza
Folashade – heshima hupa taji
Tiwa – anaye miliki taji

Majina ya watoto wa mfalme wa kike ya Hausa

Aisha – kufanikiwa
Aminah – aliye lindwa na salama
Amilah – mwenye neema
Nabilah – upole mkuu
Kubra – mkuu, ukubwa
Mansurah – mshindi

Asmau – inayo onekana
Halimah – upole

Majina ya watoto wa kike Nigeria ya Ibibio

Obonganwan – malkia
Ukara – uongozi
Ukoanwan – mwanamke jasiri

Odudu – nguvu
Inyene – mali
Uforo – utajiri

These beautiful royal baby names for girls are a great fit for your princess. Have fun choosing the best name for yourself.

Kumbukumbu: BBC.com

Soma pia: The most unique Igbo names for girls in 2019

Makala haya yaliandikwa kwa mara ya kwanza na Julie Adeboye kisha yaka tafsiriwa na Risper Nyakio.

Any views or opinions expressed in this article are personal and belong solely to the author; and do not represent those of theAsianparent or its clients.

Written by

Risper Nyakio