Majina Bora Zaidi Ya Kuita Mtoto Wa Kike 2020

Majina Bora Zaidi Ya Kuita Mtoto Wa Kike 2020

Kila mtoto anahitaji jina spesheli lisilo pitwa na wakati. Hapa kuna hiari za kukusaidia!

Majina ya kale ya watoto wa kike yamerudi kwa njia kuu. Maoni yetu ni kuwa majina haya kamwe hayakuwa yameondoka. Bado yametamba na yana vutia kama nguo za kupendeza. Lakini kama ilivyo kwa kila kitu, sio majina yote ya watoto wasichana ya kale yana pendeza- huenda tukakosa kushuhudia kurudi kwa majina kama vile Ethel ama Bertha- lakini majina ya retro kama Elizabeth na Iris yana tambulika bado na wazazi wa kisasa. Majina bora ya watoto wa kike 2020 ni kama yapi?

Majina ya kale ya watoto wa kike yana unganisha tamaduni na kipekee; na pia yanaweza tumika kuheshimu mwanafamilia ama mtu aliye tambulika hapo kale. Majina haya ya kale ya watoto wasichana yanayo vuma zaidi sasa yame orodheshwa hapa chini:

Tazama majina haya ya kale ya watoto wasichana: Majina bora ya watoto wa kike 2020

vintage girl names

 • Abigail
 • Ada
 • Adele
 • Adelaide
 • Adeline
 • Alice
 • Alma
 • Amelia
 • Ann/Anne/Anna
 • Annabelle
 • Audrey
 • Augusta
 • Ava
 • Beatrice
 • Bernadette
 • Betsy
 • Birdie
 • Blanche
 • Blythe
 • Caroline
 • Celia
 • Charlotte
 • Chloe
 • Clara
 • Clarice/Clarissa
 • Colleen
 • Cora
 • Clementine
 • Daisy
 • Delia
 • Delilah
 • Della
 • Dinah
 • Dixie
 • Dora
 • Dorothy/Dorothea
 • Edie
 • Edith
 • Eilleen
 • Eleanor
 • Elise
 • Eliza
 • Elizabeth
 • Ella
 • Ellie
 • Eloise
 • Elsa
 • Elsie
 • Emma
 • Emily
 • Enid
 • Esme
 • Etta
 • Eudora
 • Eva
 • Evie
 • Eve
 • Evelyn
 • Fay
 • Flora
 • Frances
 • Gladys
 • Gloria
 • Grace
 • Georgette
 • Georgia
 • Georgina
 • Greta
 • Gwendolyn
 • Harriet
 • Hattie
 • Hazel
 • Helen
 • Ida
 • Imogen
 • Inez
 • Irene
 • Iris
 • Isabella
 • Isabelle
 • Isadora
 • Jane
 • Jewel
 • Jocelyn
 • Julia
 • June
 • Justine
 • Layla
 • Lenora
 • Leona
 • Lila
 • Liliana
 • Lillian
 • Lily
 • Liza
 • Lorene
 • Loretta
 • Lorraine
 • Louise
 • Lucinda
 • Lucy
 • Lydia
 • Madeline/Madelyn
 • Maggie
 • Maisie
 • Mamie
 • Margaret
 • Marion
 • Marilyn
 • Marjorie
 • Martha
 • Matilda
 • Maureen
 • Mavis
 • Maxine
 • May
 • Meredith
 • Millie
 • Minnie
 • Miriam
 • Molly
 • Muriel
 • Myra
 • Nell
 • Nellie
 • Neva
 • Nora
 • Noreen
 • Olivia
 • Opal
 • Pauline
 • Pearl
 • Penelope
 • Phoebe
 • Polly
 • Priscilla
 • Rosalyn/Rosalind
 • Rose
 • Rosemary
 • Roxanne
 • Ruby
 • Ruth
 • Sadie
 • Sally
 • Sarah
 • Scarlett
 • Selma
 • Sophia
 • Sophie
 • Stella
 • Sylvia
 • Tillie
 • Trudy
 • Vera
 • Victoria
 • Viola
 • Violet
 • Virginia
 • Vivian/Vivienne
 • Willa

Majina Zaidi Ya Watoto Wa Kike Ya Kale

vintage girl names

Kuchagua jina la mtoto wako mdogo ni mojawapo ya uamuzi mgumu zaidi utakao fanya maishani mwako; kwa hivyo tumia wakati wako ukiorodhesha majina yanayo kupendeza na unayo pendelea zaidi. Angalia baadhi ya majina hapa chini:

Haya ni majina yanayo hamasishwa na watu maarufu kutoka Hollywood katika miaka ya 20s, 30s, and 40s.

 • Audrey: La Audrey Hepburn
 • Ava: Kama vile Ava Gardner
 • Bette: Linalo hamasishwa na Bette Davis
 • Elizabeth: Kama vile Elizabeth Taylor
 • Grace: Linalo hamasishwa na  Grace Kelly
 • Greta: Linalo hamasishwa na Greta Gabo
 • Ingrid: La Ingrid Bergman
 • Jean: Kama vile Jean Harlow
 • Judy: La Judy Garland
 • Katherine: Linalo hamasishwa na Katherine Hepburn
 • Mae: Linalo hamasishwa na Foxy Mae West
 • Marilyn: Marilyn Monroe, bila shaka
 • Rita: La Rita Hayworth

Mary ndilo lilikuwa jina la #1 katika miongo yote mitatau.

 • Barbara
 • Betty
 • Carol
 • Doris
 • Dorothy
 • Frances
 • Helen
 • Joan
 • Judith
 • Linda
 • Mary
 • Margaret
 • Mildred
 • Nancy
 • Patricia
 • Ruth
 • Sandra
 • Sharon
 • Shirley
 • Susan
 • Virginia

Majina maarufu ya wanawake wakongwe

girls

 • Barbara
 • Betty
 • Carol
 • Deborah
 • Doris
 • Dorothy
 • Eleanor
 • Elizabeth
 • Frances
 • Joan
 • Judith
 • Mabel
 • Margaret
 • Mary
 • Mildred
 • Nancy
 • Ruth
 • Sandra
 • Sharon
 • Shirley
 • Susan
 • Tabitha
 • Virginia
 • Agnes
 • Alice
 • Amelie
 • Annabel
 • Anne
 • Audrey
 • Barbara
 • Beatrice
 • Bridget
 • Celestine
 • Clementine
 • Daphne
 • Daphne
 • Edith
 • Eleanor
 • Eliza
 • Elizabeth
 • Ella
 • Emily
 • Emma
 • Freya
 • Harper
 • Helen
 • Henrietta
 • Isabel
 • Jane
 • Jessica
 • Katherine
 • Mabel
 • Margaret
 • Matilda
 • Miranda
 • Miriam
 • Rosalyn
 • Rose
 • Rosemary
 • Elizabeth: Liz, Lizzy, Beth, Bessie, Bess
 • Emily: Em, Emy
 • Margaret: Maggie, Maisie
 • Barbara: Barb, Barbie
 • Alice: Allie, Ally
 • Katherine: Kate, Katy, Katie
 • Philippa: Pippa
 • Amanda: Mindy
 • Susan: Suzie
 • Victoria: Vicky

Majina ya kupendeza ya kifaransa ya watoto wa kike

majina ya watoto wa kike 2020

 • Antoinette
 • Amélie
 • Bernadette
 • Brigitte
 • Cecile
 • Charlotte
 • Claudette
 • Dominique
 • Emile
 • Esmée
 • Françoise
 • Henriette
 • Isabelle
 • Josephine
 • Juliette
 • Lorraine
 • Lucille
 • Madeleine
 • Mathilde
 • Paulette
 • Rosamonde
 • Thérèse
 • Veronique
 • Yvette
 • Yvonne

Majina Ya Watoto Wa Kike Ya Vintage Kutoka Kwa Aristocracy

vintage girl names

Haya ni majina ya watoto wa kike wa wafalme kutoka England, Russia, Spain, na France.

Majina ya mabinti wa wafalme ya Kiingereza:

 • Adela
 • Adeliza
 • Alexandra
 • Anne
 • Augusta
 • Beatrice
 • Blanche
 • Camilla
 • Caroline
 • Catherine
 • Cecilia
 • Cecily
 • Charlotte
 • Constance
 • Diana
 • Eleanor
 • Elizabeth
 • Henrietta
 • Isabella
 • Joan
 • Phillipa
 • Louisa
 • Margaret
 • Mary
 • Matilda
 • Victoria

Mabinti wa wafalme kutoka Russia:

 • Anastasia
 • Anna
 • Esperanza
 • Helen
 • Irina
 • Julia
 • Marina
 • Natalia
 • Nina
 • Olga
 • Tatiana
 • Vera

Jambo lingine la kupendeza ni kuwa majina haya ya kale huja na maana. Wakati ambapo "Kymbreigh" halina maana yoyote, Lexus ni aina ya gari; majina haya ya kale ya watoto wa kike huwa na maana. Pia, yanaweza husishwa na yalipo tumiwa mara ya kwanza kama Greek, Latin, French, Italian, Celtic, Hebrew, German, na lugha zingine; na ambapo majina haya huwa na maana. Wazazi wanaweza wapa watoto wao wa kike majina yanayo onyesha tabia za mtoto wao; ama tabia ambazo wangependa watoto wao wawe nazo ama hata jina linalo kuwa na maana fulani katika familia yao. Kwa mfano, jina Imogen lina maanisha "mtoto anayependwa," Clementine lina maanisha "mwenye huruma," Della lina maana ya "noble," na Vera lina maanisha "ukweli," na yote ambayo huenda yakawa na maana spesheli kwa familia.

Huenda ukakosa kuamua hadi mtoto afike na uone sura zao, na hilo pia litakupa wakati tosha wa kuchagua jina kutoka kwa orodha yako.

Nameberry

Soma pia: Majina Ya Watoto Wavulana Na Wasichana Yenye Maana Ya Dua Njema

Any views or opinions expressed in this article are personal and belong solely to the author; and do not represent those of theAsianparent or its clients.

Written by

Risper Nyakio