Baadhi ya majina ya watoto wa kike 2022 yaliyo maarufu ni kama vile Ava, Aurora na Zara. Wazazi huchukua muda mrefu kuchagua jina la kumpa mtoto wao. Mara nyingi, huenda wazazi wakakosa kukubaliana kuhusu jina watakalompa mtoto wao ama kukosa jina wanalohisi ni bora kwa mtoto wao.
Wazazi tofauti hutumia mbinu tofauti kuchagua majina ya watoto wao. Huku wengine wakiandika majina tofauti kwenye karatasi kisha kuchagua karatasi moja kwa unasibu. Wazazi wengine huwaita watoto majina ya wazazi wao, ama kulingana na mahali walipojifungulia, miji wanayoipenda ama majina yanayowapendeza.

Ni muhimu kwa wazazi kuchagua jina moja kwa pamoja. Kisha kuhakikisha kuwa wanaweza kulitamka na kuliandika jina lile kwa urahisi. Ni muhimu pia kuelewa maana ya jina kabla ya kumpa mtoto.
Kwa wazazi wanaowapatia watoto wao majina ya kitamaduni, wanaweza kuwasiliana na wazazi wao vijijini kufahamu maana ya majina na kuhakikisha kuwa wako sawa na jina na maana yake.
Orodha hii ina majina ya kupendeza ya kike yaliyo maarufu mwaka wa 2022.
Tazama orodha ya majina ya kike ambayo yanatamba kwa sasa na yaliyobora kumpa mwanao. Pia, tazama majina ya kiingereza ya watoto wa kiume 2022 yanayotumika kwa sana mwaka huu.
Orodha ya majina ya watoto wa kike 2022
- Aaliyah
- Ariana
- Ava
- Alice
- Mila
- Aurora
- Chloe
- Nova
- Quinn
- Millie
- Audrey
- Ivy
- Anastasia
- Amara
- Amaya
- Sienna
- Aria
- Axel
- Isabella
- Zoey
- Emma
- Molly
- Andrea
- Amira
- Avery
- Daisy
- Arabella
- Skylar
- Sydney
- Valerie
- Olivia
- Astrid
- Camille
- Adeline
- Edith
- Lily
- Lyra
- Hailey
- Margaret
- Della
- Heather
- Makayla
- Aurelia
- Tiana
- Eliza
- Iva
- Adelaide
- Aurora
- Mira
- Elia

- Ayla
- Luna
- Astrid
- Iva
- Hazel
- Emelia
- Winfred
- Nora
- Rose
- Cora
- Mikayla
- Amelia
- Penelope
- Iris
- Octavia
- Elodie
- Dakota
- Emilia
- Maeve
- Della
- Fiona
- Maya
- Genevieve
- Tiana
- Melissa
- Hayley
- Lola
- Davina
- Eleanor
- Marion
- Isla
- Daisy
- Charlotte
- Olivia
- Karina
- Skye
- Maureen
- Mabel
- Keziah
- Kathleen
- Melissa
- Scarlett
- Ellen
- Cheryl
- Magdalene
- Violet
- Zara
- Marina
- Maureen
- Zoe
Chanzo: WebMD
Soma Pia: Majina Ya Watoto Wa Kike Na Wa Kiume Yenye Maana Ya Mwanzo Mpya