Kulingana na wataalum wa majina ya watoto wa kiume ya kiingereza, mwaka wa 2022 kuna majina mengi ya kitamaduni yanayorejea pamoja na majina yasiyo tarajiwa. Ila, majina mengi yanasisimua na yenye kushika umakini.
Orodha yetu ya majina ya watoto wa kiume 2022 ina majina ya kisasa na ya kitamaduni. Huku kukiwa na majina yanayoisha na 'o' na majina maarufu kama William. Licha ya jina hili kuwa maarufu, lingali linapendeza na wazazi wengi huwapatia watoto wao jina hili.

Majina kama John na Jude ambayo yako kwenye orodha yetu yangali yanatumika licha ya kuwa na historia ya umbali.
Majina zaidi yanayoonekana kwenye orodha yetu ni kama vile Ezra, John, Isaac na Simon ambayo ni majina ya kibibilia na yamekuwa yakitumika kwa muda mrefu. Majina yanayoshika kasi kama Remy, Finn na Rowan pia yanaonekana kwenye orodha yetu.
Majina ya watoto wa kiume ya kiingereza
Umaarufu wa majina ya watoto wa kiume hubadilika mara kwa mara. Tunakutengeneza orodha ya majina ya kiume ya hivi sasa yatakayokuwa bora kwa mtoto wako unayemtarajia hivi karibuni. Tuna sasisha orodha ya majina ya kiume kila mara ili upate maarifa ya majina ya kiume yanayotamba.
- Theodore
- Arlo
- Royal
- Atticus
- Ezra
- Oscar
- Silas
- Rowan
- Felix
- Finn
- Kai
- Theo
- Finn
- Asher
- Oliver
- Caspian
- Cassius
- Jasper
- Atlas
- August
- Sabastian
- James
- Jude
- Caleb
- Noah
- Henry
- Miles
- Owen
- Callum
- Scot
- Ethan
- Leo
- Elliot
- Nico
- Ellis
- Tobias
- Arthur
- Elias
- Cyrus
- Simon
- Remy
- Thomas
- Liam
- Emmett
- Archer
- Isaac
- Gideon
- Archie
- Jack
- Louis

- Orion
- Archer
- Lucious
- Max
- Kit
- Jayden
- Kieran
- Jacob
- Dylan
- Luke
- Lucas
- Julian
- Gabriel
- Ari
- Roman
- Charlie
- Evander
- Vincent
- Zane
- Micah
- Eli
- Jonah
- Graham
- Sorren
- Max
- Henry
- John
- Tobias
- Orion
- Zane
- Alexander
- Keiran
- Elio
- Enzo
- Evander
- Mateo
- Wesley
- Daylan
- Devon
- Wesley
- Hudson
- Graham
- Sawyer
- Keiran
- Ambrose
- Aurelius
- Elias
- Philip
- Collins
- Mansa
Chanzo: The Bump
Soma Pia:Majina Ya Watoto Wavulana Na Wasichana Yenye Maana Ya Dua Njema