Majina Ya Kipekee Ya Vijana Yenye Maana Ya Mungu

Majina Ya Kipekee Ya Vijana Yenye Maana Ya Mungu

Muite mtoto wako majina kutoka kwa bibilia, tazama maana yake hapa.

Kwa wazazi wa kikristu, majina ya wavulana ya kipekee yaliyo na maana ya Mungu, huenda yakatatiza kupata; kwani Bibilia pia ni kubwa na ina maneno mengi. Tunaweza kusaidia kufahamu baadhi ya maneno yatakayo mfaa mwanao zaidi.

boy names with God meaning

Maneno ya kipekee ya watoto wavulana yaliyo na maana ya Mungu (A-F)

Aaron - mwalimu, mlima wa nguvu
Abijah - Yesu ndiye babangu
Abner - bwana wa mwangaza
Adonijah - Mungu ndiye kiongozi wangu
Amariah - Mungu anasema

Amaziah -  Nguvu za Mungu
Amoz - Mwenye nguvu, mkubwa
Aquila - Tai
Asa - kuponya, mponyaji, daktari
Asher - furaha

Benjamin - kijana wa mkono wa kulia
Barak - ngurumo, bila kufuzu
Benaiah - mtoto wa Mungu

Camon - Kufufuka kwake
Christian - mfuasi wa Yesu

Dan - hukumu, anaye hukumu
Daniel - hukumu ya Mungu, Mungu ndiye hakimu wangu
David - aliye karibu nawe

Ebenezer - Jiwe, jiwe la usaidizi
Elisha - Wokovu wa Mungu
Elnathan - Mungu amepeana, zawadi ya Mungu
Ethan -  mwenye nguvu, zawadi ya kisiwa

Felix - aliye barikiwa, mwenye bahati, wa kupendeza, furaha
Festus - sherehe, wa sherehe

Majina ya watoto wavulana yenye maana ya Mungu (G-L)

majina ya wavulana

Gideon - Anaye umiza ama kuharibu, mharibifu
Gabriel - Mungu ni nguvu zangu

Immanuel - Mungu ako nasi
Issachar - Zawadi, kuzawadi

Justus -  Aliye sawa, mhaki
Jesse - Zawadi, mmoja aliye
Jeremy - Kusifiwa kwa Mungu
Jair-  Mwangaza wangu, anaye ng'aa

Jordan - Mto wa hukumu
Josiah - Mungu anachoma, moto wa Mungu
Jotham - Kukosa doa kwa Mungu
Joses - Aliye lewa, anaye samehe

Kemuel - Mungu ameinuka
Kenaz - Ununuzi huu
Kenan - Mnunuzi, mwenyewe
Kamon - Kufufuka kwake

Lemuel - Mungu ako naye ama ako nao
Levi - Kuhusishwa naye
Lazarus - Usaidizi wa Mungu
Lot - Kufunikwa, kufichwa, kufungamanishwa

Majina ya kipekee ya vijana yenye maana ya Mungu

majina ya wavulana

Micaiah - Nani kama Mungu
Malachi - Mjumbe, malaika wangu
Manasseh - Kusahau, aliye sahaulika

Mishael - Anaye itishwa kitu
Marcus - Heshima, yenye kung'aa
Melchizedek - Mfalme wa haki, mfalme wa kukosa doa
Michael - masikini, anaye nyenyekea

Naphtali - Mapambano ama vita
Nadab - Zawadi ya bure na ya kipekee, mtoto wa kijana wa mfalme
Nathanael - Zawadi ya Mungu
Nathan - kupatiwa, kupatiana, kutunzwa
Nahum - mfariji
Nekoda - kupakwa rangi
Nicodemus - Ushindi wa watu

Omar - Anaye ongea, mwenye ukali
Onesimus - Yenye faida, yenye maana
Onesimus - Inayo leta faida

Phineas - Jasiri, uso wa imani ama kulinda
Philemon - Wa kupenda, anaye busu
Paul - Ndogo, kidogo
Peter - Jiwe, ama la kuegemeza

Raamah - Ukuu, ngurumo
Rufus - Nyekundu

Shem - Jina, maarufu
Seth - Weka, anaye weka, kutengeneza
Simeon - Anaye sikia ama kutia, linalo sikilizwa
Simon - La kusikia, la kutii

Tobiah - Mungu ni mwema
Tobias - Mungu ni mzuri
Titus - Wa kupendeza
Thomas - mojawapo wa mapacha
Theophilus - rafiki wa Mungu

Uriah - Mungu ndiye mwanga wangu ama moto
Uriel - Mungu ndiye mwanga wangu
Uzziah - Nguvu, ama mtoto wa Mungu

Zephaniah - Mungu ndiye siri yangu
Zechariah - Makumbusho ya Mungu
Zebulun -  mahali pa kuishi
Zebadiah - Urithi wa Mungu, Mungu ni urithi wangu
Zacchaeus - Safi, isiyo na doa
Zebedee -  wingi, urithi
Zerubbabel - Mgeni huko Babylon, kukwaza kimawazo

Haya ni mojawapo ya majina ya kipekee ya watoto wavulana yenye maana ya bibilia. Uko huru kuchagua mojawapo a majina yanayo ashiria imani yako.

Kumbukumbu: Slate.com

Soma pia: Majina Ya Watoto Wavulana Kutoka Jamii Tofauti Nchini Kenya Na Maana Yake

Any views or opinions expressed in this article are personal and belong solely to the author; and do not represent those of theAsianparent or its clients.

Written by

Risper Nyakio