Majina 15 Yanayo Maanisha Dua Njema

Majina 15 Yanayo Maanisha Dua Njema

Majina 15 yatakayo leta dua njema kwa maisha ya mtoto wako.

Wazazi wa kiafrika hujaribu kadri wawezavyo kuchagua jina la watoto wao kwa sababu bila shaka tuna amini kwenye nguvu za majina. Tuna amini kuwa jina la nguvu huenda likamsaidia mtoto wako anapo anza safari kwenye changamoto za dunia. Wazazi wanao tazamia kuwapatia watoto wao dua njema wanaweza angalia orodha yetu ya majina ya watoto yenye maana ya dua njema.

Majina 15 ya watoto yenye maana ya dua njema

Hapa chini kuna majina ya kike na kiume na ya kimtindo yanayo maanisha dua njema:

names that mean good luck

 

 1. Beatrice:

Jina hili ni la hapo awali ila unaweza tumia kwa mtindo wake mpya, Beatrix. Beatrice ni jina la kilatino linalo maanisha aliye barikiwa na aliye na furaha.

 1. Fayola

Hili ni jina la wazazi wanao tafuta jina lisilo maarufu na la kipekee lenye finyo la kihistoria na mtindo. Fayola ni jina la kiafrikana-yoruba linalo maanisha bahati na dua njema.

 1. Dalia:

Dalia ni jina la kipekee ambalo halijatumika sana. Lina maana ya bahati.

 1. Edward:

Wafalme wa kizungu wametumia jina hili kwa vizazi vingi. Lina maana ya mlinzi mwenye utajiri.

 1. Felicity:

Felicity ni jina la kilatino linalo maanisha dua njema na furaha. Iwapo lilianza kutumika miaka ya 1999, limekuwepo tangu 1930.

 1. Evangeline:

Jina hili la kupendeza lina mguso wa kimapenzi ambalo litakuwa la kupendeza kwa mtoto wako mdogo wa kike. Jina la kigreek linalo maanisha, anaye beba habari nzuri.

 1. Victor:

Jina hili humfanya mtoto wako kuhisi kama mshindi likitajwa. Ni jina la kilatino linalo maanisha mwenye ushindi.

these names bless your kids

 1. Felix:

Hili ni jina litakalo leta miale miema kwenye maisha ya mtoto wa mvulana wako. Ni jina la kilatino linalo maanisha furaha nyingi na dua njema.

 1. Fausto

Jina hili la kupendeza litakuletea hali ya kuwa na furaha kwa mtoto wako mdogo. Ni jina la kihispania linalo maanisha aliye na bahati nzuri.

 1. Bedissa

Bedissa ni jina maarufu ambalo limeweza kubaki kuwa la kipekee. Lina julikana kwa utamaduni tofauti duniani kote. Linatoka kwenye jina la ki Georgi la 'bedi' linalo 'maanisha hatima'.

Majina 5 Zaidi Yanayo Maanisha Bahati Nzuri

majina ya watoto yenye maana ya dua njema.

 1. Fortune

Some parents don't always like to give their child straightforward names like Fortune, but there are those who are particularly drawn to these kinds of names for their simplicity. This fine name means lucky.

Baadhi ya wazazi hawapendi kuwapatia watoto wao majina yaliyo

 1. Destiny

Hili ni jina ambalo unaweza fikiria maana yake kwani limetoka kwa jina 'kuamua'. Jina hili maarufu lina maana ya bahati ama hatima.

 1. Asher

Iwapo wewe ni mzazi unaye tafuta majina ya kidini na ya kipekee ya mtoto wako wa kiume, jina hili ni lako. Asher ni jina la kihebrania linalo maanisha aliye barikiwa na aliye na furaha.

 1. Faustina

Faustina ni jina lisilo tumika sana na hapo awali lilikuwa jina la watoto wa kiume, ila kwa nyakati za hivi awali, wasichana wameanza kuitwa jina hili. Jina hili lina maana 'bahati nzuri', italeta kicheko chema kwenye maisha ya mtoto wako.

 1. Halona

Jina hili la kupendeza lina mtindo usio wa kawaida na linaweza tumika kwa mkato wake kama Lona. Jina Halona lina maana ya "bahati nzuri" na lina jina linalo karibiana la Halona King- mwimbaji wa American Indie.

Mtoto wako mchanga anahitaji bahati na majaliwa mema kadri watakavyo weza maishani mwao. Tuna tumai utapata jina ambalo unataka katika orodha yetu ya majina ya bahati nzuri.

Soma Pia: The Best Igbo Names For Your Baby Boy

Chanzo: Baby Gaga

Makala haya yaliandikwa kwa mara ya kwanza na Lydia Ume kisha yaka tafsiriwa na Risper Nyakio.

Written by

Risper Nyakio