Africaparent Logo
Africaparent Logo
EnglishSwahili
  • COVID-19
  • Becoming a Mama
  • Ages & Stages
  • Parenting
  • Health
  • Feeding & Nutrition

Majina 87 Ya Kizungu Ya Watoto Wavulana na Maana Yake

3 min read
Majina 87 Ya Kizungu Ya Watoto Wavulana na Maana YakeMajina 87 Ya Kizungu Ya Watoto Wavulana na Maana Yake

These names are gorgeous, strong and meaningful.

Ni muhimu kuchukua muda una chagua majina ya wavulana. Labda sio hivyo katika sehemu zingine za ulimwengu lakini nchini Nigeria, wazazi huchagua majina  ya watoto wao kulingana na umuhimu wa maana yake. Jina lafaa kumaanisha kitu na wakati mwingine huwa zaidi ya hivyo. Majina ya biblia huchaguliwa kwa vile ni ya kiuungu ama wazazi wanataka tabia za yule mtu katika maisha ya mtoto wao. Yakiangazia kati ya ushujaa, utakatifu ama jambo la Kimsingi lilo umbika katika maisha ya yule mtu. Isitoshe,wazazi pia huchagua majina ya vijana wao kulingana na mambo yaliyozingira kuwasili kwa mtoto, jina la kitofauti kama vile uvumilivu ama kumshukuru Mungu. Kwa hivyo, kukurahisishia kufanya uchaguzi, tumeorodhesha majina ya kiingereza ya vijana na maana yake.

Majina 87 ya wavulana ya kiingereza

majina ya watoto wavulana

Haya ni baadhi ya majina ya watoto wavulana na maana yao.

A

Anthony : humaanisha “aliyesifika”

Ambrose: humaanisha “asiyeweza kufa”

Alfred: humaanisha “ mwenye ushauri wa elf”

Albert: humaanisha “ muungwana”

Abner: humaanisha “ Mungu ni mwanga”

Aaron: humaanisha “aliyeinuka juu”

Adam: humaanisha “aliyetoka kwa mchanga”

Austin: humaanisha “anayesaidia”

B

Brian: humaanisha” aliye juu, muungwana na mwenye nguvu”

Benedict : humaanisha “aliyebarikiwa”

Benjamin:  humaanisha “mwana wa mkono wa kulia”

Basil: humaanisha “wa kifalme”

C

Caleb: humaanisha “ utawa kwa Mungu”

Chris: humaanisha” anayemleta Mungu”

Cyril: humaanisha” bwana”

Clarence: humaanisha “maarufu”

D

Dylan: humaanisha “aliye wa bahari”

Daniel: humaanisha “Mungu ni jaji wangu”

Dominic: humaanisha “ni wa Bwana”

David: humaanisha “anayependwa kwa dhati”

Drake: humaanisha “dragoni”

Derek: humaanisha “kiongozi wa watu”

Drew:  humaanisha “fahali, shujaa”

Dexter: humaanisha “sahihi”

majina ya wavulana

E

Eric: humaanisha “vijana milele”

Evan: humaanisha “kijana shupavu”

Edward: humaanisha” mlezi aliyefanikiwa”

Eugene: humaanisha “muungwana na wadinasi”

Everett: humaanisha “jivi shupavu”

Ebenezer: humaanisha “jiwe la msaada”

F

Felix: humaanisha “furaha”

Frank: humaanisha “mwungwana”

Frederick: humaanisha” kiongozi mwenye amani”

G

Gabriel: humaanisha “Mungu ni nguvu yangu”

Grant: humaanisha “Baraka kubwa”

H

Henry:  humaanisha “mtawala wa estate”

Harrison: humaanisha “mtoto wa Harry”

Hector: humaanisha  “thabiti”

Harvey: humaanisha “mwenye hamu ya vita”

Hank: humaanisha “mtawala wa nyumba”

I

Irvine: humaanisha “nadhifu”

Ignatius: humaanisha “moto”

J

Jonathan: humaanisha  “zawadi ya Mungu”

Jason: humaanisha “ kuponya”

Justin: humaanisha” haki, halali”

Jesse: humaanisha “mwenye mali, Mungu anaishi”

Jeffrey: humaanisha “mpenda amani”

Jsaper: humaanisha “mweka hazina”

K

Kelvin: humaanisha” enye sura nzuri”

Kenneth: humaanisha “nadhifu”

L

Leo:  humaanisha “ simba”

Lucius: humaanisha “mwangaza”

Louis: humaanisha “ shujaa mtajika”

M

Milo: humaanisha “askari mkarimu”

Michael: humaanisha “anayefanana na Mungu”

Morris: humaanisha “mwenye ngozi nyeusi”

Maverick:  humaanisha “huru”

majina ya wavulana

N

Nicholas: humaanisha “ushindi wa watu”

Nathan:  humaanisha “zawadi kutoka kwa Mungu”

Nolan: humaanisha “muungwana na mtajiki”

O

Oliver: humaanisha  “mpenda amani”

Oscar: humaanisha “mkuki wa kiungu”

Orion: humaanisha “anayepaa angani”

P

Patrick: humaanisha “muungwana”

Phoenix:humaanisha “ aliyezaliwa tena kutoka kwa majivu”

Pascal: humaanisha “ aliyezaliwa wakati wa pasaka”

R

Robert: humaanisha “umaarufu wenye mwanga”

Ryan: humaanisha  “kiongozi mchanga”

S

Samuel: humaamanisha “kusikika na Mungu”

Silas: humaanisha “mtu wa msitu”

Sean: humaanisha  “Mungu ni mwenye neema”

Sebastian: humaanisha  “kuheshimika”

Spencer:  humaanisha “ mweka masurufu”

Stefan: humaamisha “taji”

T

Theodore: humaanisha “utakatifu”

Tate: humaanisha “mwenye furaha”

Troy: humaanaisha “anayekua”

U

Ulric: humaanisha “mwenye kushikilia”

Ulfred: humaanisha “johari la bahari”

V

Victor: humaanisha  “mshindi”

Vincent: humaanisha “anayeshinda”

W

William: humaanisha “imara”

Wesley: humaanisha “jeshi linalolinda”

Walter: humaanisha “ kiongozi wa jeshi”

Z

Zenith: humaanisha  “mahali palipo juu zaidi”

Zane: humaanisha  “zawadi kutoka kwa Mungu”

Zayne: humaanisha “ waridi”

Majina Ya Wavulana: Hitimisho

Majina mengine yana  utofauti , mengine ni mafupi na mengine ni marefu lakini maana yake ni ile ile.

 

Read also: 180 South African Baby Name Ideas For Boys And Girls

Source: Baby Names

Got a parenting concern? Read articles or ask away and get instant answers on our app. Download theAsianparent Community on iOS or Android now!

img
Written by

Risper Nyakio

  • Home
  • /
  • Baby Names
  • /
  • Majina 87 Ya Kizungu Ya Watoto Wavulana na Maana Yake
Share:
  • Majina Ya Watoto Wavulana Kutoka Jamii Tofauti Nchini Kenya Na Maana Yake

    Majina Ya Watoto Wavulana Kutoka Jamii Tofauti Nchini Kenya Na Maana Yake

  • Majina Ya Kipekee Ya Vijana Yenye Maana Ya Mungu

    Majina Ya Kipekee Ya Vijana Yenye Maana Ya Mungu

  • Majina 68 ya Kiume ya Kijerumani na Maana Yake

    Majina 68 ya Kiume ya Kijerumani na Maana Yake

  • Majina Ya Watoto Wavulana Na Wasichana Yenye Maana Ya Dua Njema

    Majina Ya Watoto Wavulana Na Wasichana Yenye Maana Ya Dua Njema

  • Majina Ya Watoto Wavulana Kutoka Jamii Tofauti Nchini Kenya Na Maana Yake

    Majina Ya Watoto Wavulana Kutoka Jamii Tofauti Nchini Kenya Na Maana Yake

  • Majina Ya Kipekee Ya Vijana Yenye Maana Ya Mungu

    Majina Ya Kipekee Ya Vijana Yenye Maana Ya Mungu

  • Majina 68 ya Kiume ya Kijerumani na Maana Yake

    Majina 68 ya Kiume ya Kijerumani na Maana Yake

  • Majina Ya Watoto Wavulana Na Wasichana Yenye Maana Ya Dua Njema

    Majina Ya Watoto Wavulana Na Wasichana Yenye Maana Ya Dua Njema

Get advice on your pregnancy and growing baby. Sign up for our newsletter
  • Becoming a Mama
    • Pregnancy
    • Delivery
    • Losing a Baby
  • Ages & Stages
    • Baby
    • Toddler
    • Kids
  • Parenting
    • News
    • Relationship & Sex
    • Parent's Guide
  • Health
    • Allergies & Conditions
    • Vaccinations
    • Diseases-Injuries
  • Feeding & Nutrition
    • Breastfeeding & Formula
    • Latching & Concerns
    • Weaning
  • More
    • TAP Community
    • Advertise With Us
    • Contact Us
    • Become a Contributor


  • Singapore flag Singapore
  • Thailand flag Thailand
  • Indonesia flag Indonesia
  • Philippines flag Philippines
  • Malaysia flag Malaysia
  • Sri-Lanka flag Sri Lanka
  • India flag India
  • Vietnam flag Vietnam
  • Australia flag Australia
  • Japan flag Japan
  • Nigeria flag Nigeria
  • Kenya flag Kenya
© Copyright Africaparent.com 2023 Tickled Media Pte Ltd. All rights reserved
About Us|Team|Privacy Policy|Terms of Use |Sitemap HTML

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it