Baadhi ya Majina Yanayo Tambulika Zaidi Ya Kike Nigeria na Maana Yake

Baadhi ya Majina Yanayo Tambulika Zaidi Ya Kike Nigeria na Maana Yake

Most times people choose the popular Nigerian girl names because of their popularity. Other times, the parents of the baby love the meaning of the name.

Kumpa mtoto wako jina inaweza kuwa kazi ngumu. Orodha hii ya majina yanayotambulika ya kike Nigeria inaweza kufanya kumpa jina mtoto wako kuwa rahisi.

majina yanayotambulika ya kike nigeria

Huu ni mkusanyiko wa majina yanayotambulika ya kike Nigeria kukusaidia kufanya uamuzi bora.

majina yanayotambulika ya kike nigeria

Majina ya kike ya Igbo

Adaeze – msichana wa kwanza wa mfalme

Adamma – msichana mrembo wa kwanza

Adaego – msichana wa kwanza anayeleta mali ama utajiri

Chioma – bahati njema ama Mungu mwema

Chika – Mungu ni mkuu

Chinyere – Mungu alipatiana

Ifeoma – mrembo ama mzuri

Ifeyinwa – hakuna kinachoweza kulinganishwa na mtoto

Majina ya kike ya Yoruba

Aarin – katikati

Abebi – tunamsihi ambembeleze

Abeke – naleta furaha

Abike – jifungue mtoto na umtunze

Abiose – aliyezaliwa siku ya kwanza ya wiki(jumapili)

Bolade – heshima itawasili

Omolara – watoto ni familia

Omosalewa – mtoto huchagua nyumba ipi atakoyozaliwa

Omosunsola – mtoto husogea mali

Aderonke – taji lina kitu cha kudekeza

Adewonuola – taji limeingia katika  mali

Adetutu – taji ni shwari/tulizo

Adesewa – taji laleta urembo

Adenike – taji linatunza

Adejumoke – taji huleta pamoja kudekeza

Adejoke – taji litatudekeza kwa pamoja

Adefoluke – taji hudekeza na Mungu

Adefolake – taji hudekeza na mali

Adebukola – ufalme ulioongezeka kwa mali

Adebimpe – taji lilinizaa kwa kikamilifu

Abosede – aliyezaliwa katika wiki mpya

Damilola – barikiwa na mali iliyotambulika

Olabisi – furaha yangu imezaana

Tifeoluwa – ni mapenzi ya Mungu

Yetunde – mama amerudi tena (reincarnated)

Titilayo – furaha ya milele

Modupe – nashukuru

Folashade – fanya mali kuwa taji

Damilola -  barikiwa na mali iliyotambulika

Bimpe – maridadi na mrembo

Abimbola – kazaliwa kwenye mali

Abiodun – kazaliwa siku ya sherehe

Adelola – taji laleta heshima

Eniola – aliye na mali

Ekundayo – huzuni wangu umegeuka kuwa furaha

Enitan – ambaye kuzaliwa kwake kuliongoza hadithi

Fehintola – egemea kwa mali

Majina ya kike ya ki-Hausa

Fara – mwenye ngozi laini

Gimbiya – binti mfalme

Sarauniya – malkia

Aisha  - ishi katika mafanikio

Latifah – pole, tulivu na murua

Halimah – salama, zima,afya

Habibah – mpendwa

Zahrah – ua, chanua, adhima

Majina Ya Kike Ya Ki-Efik/Ibibio

Baadhi ya Majina Yanayo Tambulika Zaidi Ya Kike Nigeria na Maana Yake

Ekaete – baba wa mama

Uyai – urembo

Obongoawan – malkia

Ediye – mrembo

Affiong – mwezi

Eno-obong – zawadi kutoka kwa Mungu

Aniekan – nani anaweza shinda Mungu

Itoro – sifa

Imaobong – upendo wa Mungu

Iniobong – zawadi ya Mungu

Sifon – wema

Ifiok – hekima

Ime – subira

Dara – shangilia

Idara – furaha

Mfon – wema

Mbom – huruma

Edidiong – Baraka

Iniobong – wakati wa Mungu

Inemesit – raha

Unyime – agano na Mungu

Abasifreke – Mungu hatawahi nisahau

Majina ya Kike Yanayo Tambulika Ya Ki- Idoma

majina yanayotambulika ya kike nigeria

Ekoche – wangu

Ekondu – mali ya Mungu

Ekowo – wakati wa Mungu

Elakeche – maajabu ya dunia

Ema – amani

Emiene – mpango wa Mungu

Enajemete – hawa pia ni wasichana

Enayi – mama ya watoto

Ene – mama

Eneh – mama

Enekole – mama wa familia

Enewa – mama wa halaiki

Enoche – mama wa mfalme

Igbe – mgao wangu ama change

Igweye – watu walifurahia  kitu

Ihotu – upendo

Ihotukum – mpenzi wangu

Ijewoda – pesa huleta fahari

Ikwulonu – kifo huuma

Iyowoichofe – Mungu ana mpango mkuu

Nmakani – ajabu ya kupindukia

Obiabo – karimu ama wakupeana

Obiye – mfariji

Ochanya – malkia

Ochejife – mtu ni wa dhamana kuliko mali

Ochoyama – tenzi za Mungu

Odachi – miujiza

Odaleko – kuna majira ya kila kitu

Oganya – kiongozi wa wanawake

Ogodo – mama wa kina mama wote

Ogwa – tele ama wingi

Ojonya – urembo

Oka – ushanga wa kifalme

Okah – binti mfalme

Oloha – aliyebeba Baraka

Olohi – mtakatifu ama mtu mwema

Olotuche – mwaminifu

Oloture – vumilia

Onyabahi – mwanamke taanisi

Onyaechi – bibi ya miungu ya nchi

Onyaomale – hekima

Onyeche – hakuna anayependa kuachwa

Onyechi – bibi mrembo ama bibi mwenye hirizi

Onyeje- nani anayejua kesho?

Onyejeche – anayejua ulimwengu

Onyeyibo – mtoto maridadi

Onyikpechi – binti ya harmattan

Onyiloko – wanamke mwenye maadili

Onyocho – mke wa Mungu

Oofuni – wema wa Mungu haupatikani kwa kifua

Owagoyi – mungu pekee anaweza kupa mtoto

 Majina yanayotambulika ya kike Nigeria tuliyo orodhesha yanatumika kwa sana nchini kote. Chagua jina mwafaka zaidi ya mtoto wako wa kike.

Pulse

Also read: 6 Top Online and Physical Baby Stores In Lagos For All Your Baby Needs

Written by

Risper Nyakio