Majina Ya Watoto Wavulana Na Wasichana Yenye Maana Ya Dua Njema

Majina Ya Watoto Wavulana Na Wasichana Yenye Maana Ya Dua Njema

Wana Afrika wengi wana imani zisizo za kweli nyingi, na zinaonekana katika kila pande ya maisha yao, hata wanavyo waita majina. Historia na vitabu vya hadithi vimejazwa na watu wanao kimbiza dua njema maishani mwao. Kuna njia nyingi za kupata baadhi ya dua hizi. Kwa hivyo sio jambo mpya kuwa wazazi wengi wana angalia jinsi ya kuwapatia watoto wao dua njema kwa kupitia kuwapatia majina mazuri. Hakuna jambo nzuri zaidi ya kuwapatia watoto majina mazuri na yenye bahati nzuri. Tume angazia baadhi ya majina yenye dua njema. Angalia majina haya na huenda ukapata jina litakalo mfaa mwanao zaidi.

Nigerian baby girl

Angalia Majina Haya Ya Watoto Wenye Maana Ya Dua Njema

M/F Jina Maana Kabila
M/F Anah Chanzo cha mazuri Igbo
M Debare Aliye zaliwa wakati wa mazuri Yoruba
M/F Edidiong Baraka Efik/Ibibio
M Enofe Aliye tajiri Benin
M/F Ebunoluwa Zawadi ya Mungu Yoruba
M/F Esosa Zawadi kutoka kwa Mungu Benin
F Ezinwa Mtoto mzuri Igbo
F Fehintola Kutegemea utajiri Yoruba
F Fola Wa kuheshimika Yoruba
M Oganiru Bahati nzuri Igbo
M Abioye Aliye zaliwa wakati wa kutawazwa Yoruba
M/F Abolanle Aliyepata utajiri nyumbani Yoruba
M/F Abomeli Abo alikuwa mshindi Igbo
F Adaoma Binti mzuri Ibo
F Adaora Binti wa wote Igbo
M/F Adebambo Taji ilikuja na mimi Yoruba
M Adebamgbe Ufalme uko ndani yangu Yoruba
M/F Adebisi Tuliongezea taji Yoruba
M Adebiyi Mwenye ufalme Yoruba
M Adebowale Taji imekuja nyumbani Yoruba
M/F Adeboye Taji limekuja na andiko Yoruba
M Adedayo Taji limegeuka furaha Yoruba
M Adedeji Taji imekuwa mbili Yoruba
F Adedoyin Taji limekua tamu Yoruba
F Adefolake Utajiri wako unatuegemeza Yoruba
M/F Agu Chui; nguvu Igbo
M Ajala Ushindi mwishowe Yoruba
M Ajibola Amkia utajiri Yoruba
M Akarachi Takdiri njema Igbo
F Ijeoma Safari njema maishani Igbo
F Iretomiwa Baraka zimekuja kwangu Yoruba
F Juba Heshima Yoruba
M/F Maka Mema Igbo
M Mfoniso Dua njema Efik/Ibibio
M Mobo Uhuru Yoruba
M/F Modupeore Asanti Mungu kwa zawadi hii Yoruba
F Mofoluwakemi Imepatianwa kwa baraka za Mungu Yoruba
F Mojisola Amkia mali Yoruba
M Mongo kufahamika Yoruba
M/F Monjolaoluwa Kufurahia mali ya Mungu Yoruba
M Odiche Aliye spesheli Ibo
M Odogwu Mshindi, kiongozi Igbo
M/F Olayemi Nastahiki mali Yoruba
M/F Onyinyechi Zawadi ya Mungu Igbo
M/F Oreoluwa Zawadi toka kwa Mungu Yoruba
M/F Osayuwamen Mungu amenipa mali BENIN
M Osinachi Kutoka kwa Mungu Igbo
M Zaki Simba Hausa
F Zauna Kuwa hai Hausa
M Zikorachukwudi Kuonyesha Mungu kwa Dunia Igbo
F Zoputa Mlinzi Yoruba
M Ugoulo Fahari ya nyumba Igbo
F Uloaku Benki ama nyumba ya utajiri Igbo

majina yenye dua njema

Haya ni majina ya watoto yenye maana ya dua njema. Hakuna mojawapo ya majina haya ambayo yata fanya mtoto yeyote awe mshindi wa lotto ama kupata mshahara mkubwa kutoka benki kuu. Walakini, ni majina yenye maana nzuri kama vile "kubarikiwa" ama "kufuzu". Kila mtu anahitaji dua njema upande wake mara kwa mara na majina haya ya kuvutia hata timiza lengo hilo na pia kumsaidia kupata bahati nzuri.

Chanzo: Legit NG

Soma pia: Majina Maarufu Ya Watoto Ya Swahili Ambayo Unaweza Muita Mtoto Wako

Any views or opinions expressed in this article are personal and belong solely to the author; and do not represent those of theAsianparent or its clients.

Written by

Risper Nyakio