Haijalishi muda ambao mmekuwa pamoja na mchumba wako wa kiume. Kuna baadhi ya mambo ambayo mchumba wako wa kiume kamwe hata sema.
- Una onekana kuwa na uzani mwingi kidogo
Wanawake wanapenda kuwauliza wachumba wao wanavyo fikiria kuhusu miili yao. Kwa hivyo sio jambo la kushangaza kuwa ungependa wazo lake kama una inchi nyingi kidogo kwenye kiuno chako. Lakini ikiwa una tarajia akwambie ndiyo, huenda ukahitajika kufikiria tena.
2. Marafiki wake hawakupendi
Hawezi penda kukwambia hivi kwa sababu anakupenda na hicho ndicho cha maana.
3. Nywele hizo za kuongeza za bei ghali hazimfurahishi
Lakini kamwe hatakwambia hivi kwani hataki kuumiza hisia zako na juhudi zako za kupendeza ili kumfurahisha.
4. Hafikirii sana kuhusu rinda lako
Unafahamu rinda hilo unalo lipenda zaidi unalo furahia kuvalia wakati wote? Na unalivalia pale tu unapo taka kupendeza zaidi. Mchumba wako kamwe halipendi. Lakini kamwe hata kueleza hivyo kwa sababu hataki kuumiza hisia zako.
Maendelezo ya mambo ambayo mchumba wako wa kiume hata sema

5. Mapishi yako haya pendezi
Hasa kama yeye sio mpishi mzuri pia ama anazembea kupika na mara nyingi anategemea mapishi yako. Hata kueleza kuwa mapishi yako haya pendezi na kuwa anakula chakula hicho kwa sababu hana suluhu nyingine.
6. Ngono yenu sio ya kusisimua
Hataki kuumiza hisia zako kwa kukwambia kuwa hautii juhudi katika vipindi vyenu vya kufanya mapenzi. Lakini mnapaswa kuwa na mazungumzo kuhusu mapenzi yenu. Kwa sababu msipo, mapenzi yenu yataendelea kudidimia zaidi. Kwa hivyo, mara kwa mara, ni vyema kuwa na mazungumzo kuhusu maisha yenu ya kimapenzi.
7. Unaongea sana
Angependa kuweka hili mbali nawe kwa sababu hataki udhani kuwa anakutusi.
8. Hapendi mamako
Ikiwa kwa sababu zozote zile hapendi mamako ama babako, usi tarajie akueleze haya. Anaku heshimu na hataki kamwe uone kama hana heshima kwako. Kwa hivyo atajaribu kuficha habari hizi kadri awezavyo.
9. Anafikiria kuwa rafiki yako ni mkonde kukuliko
Ikiwa mchumba wako anakupenda, hawezi kwambia kuwa rafiki yako ni mkonde kukuliko. Hataki uone kama anamtamani rafiki yako. Kwa hivyo hata unapo mwuliza, huenda akaepuka kujibu swali hili ama akujibu unavyo taka kusikia kwa kukudanganya.
10. Hana uhakika kuhusu ndoa
Hii ni kweli kama mmekuwa pamoja kwa muda mrefu. Atashindwa atakavyo anza kukuvunja moyo kwa kukwambia kuwa haoni maisha ya ndoa nawe.
Kwa hivyo atabaki akifanya mambo yawe magumu kwa sababu akilini mwako, mshafunga ndoa na una ona siku za usoni mkiwa na watoto warembo pamoja.
Soma Pia: Je, Mwanao Ana Mchumba? Vidokezo Hivi Vitakusaidia Kumwongoza Katika Uhusiano Wake