Africaparent Logo
Africaparent Logo
EnglishSwahili
  • COVID-19
  • Becoming a Mama
  • Ages & Stages
  • Parenting
  • Health
  • Feeding & Nutrition

Mapumziko Ya Kitanda Katika Mimba Na Athari Hasi Kwa Mama

2 min read
Mapumziko Ya Kitanda Katika Mimba Na Athari Hasi Kwa MamaMapumziko Ya Kitanda Katika Mimba Na Athari Hasi Kwa Mama

Bed rest katika mimba ama mapumziko ya kitandani wakati wa mimba huenda yakaonekana kama nafasi nzuri ya kupumzika.

Kwa mjamzito, bed rest katika mimba ama mapumziko ya kitandani wakati wa mimba huenda yakaonekana kama nafasi nzuri ya kulala. Hata hivyo, vikwazo katika mimba huenda vikawa na hatari ya kiafya.

Je, mapumziko ya kitandani wakati wa mimba yanashauriwa?

mapumziko ya kitandani wakati wa mimba

Hakuna ushahidi kuwa mapumziko ya kitandani katika mimba, mwanamke akiwa nyumbani ama hospitalini yana saidia kuepusha kujifungua kabla ya wakati ama kupunguza hatari ya uchungu wa mama usiokomaa.

Kupunguza kufanya kazi na mwendo husaidia?

Ikiwa mwanamke hana hatari zozote za kupata uchungu wa mama usiokomaa ama hayuko katika hatari ya kujifungua kabla ya wakati, daktari anaweza kumshauri kutofanya kazi, kupunguza kazi anazofanya ama kupunguza mwendo. Kwa wanawake wanaofanya mazoezi makali, wanahitajika kupunguza mazoezi wanayofanya kwa siku. Kutoinua uzito ama kukoma kufanya mazoezi kwa muda hadi wanapojifungua.

Kwa wajawazito wanaokwazwa kazini, kufanya kazi ngumu, kufanya kazi usiku ama kusimama kwa muda mrefu kazini, hushauriwa kubadili ratiba yake ya kazi. Mwanamke aliye na mimba ya hatari pia hushauriwa kujitenga na tendo la mapenzi pamoja na mazoezi ya aina yoyote.

Athari hasi za mapumziko ya kitandani

  • Damu kuganda kwenye mishipa kama vile ya miguu
  • Kusombwa na mawazo
  • Kutatizika kupata utunzaji wa mtoto
  • Matatizo ya kazini na fedha

Aina ya mapumziko ya kitanda

mapumziko ya kitandani wakati wa mimba

Kuna ushahidi kuwa bedrest wakati wa ujauzito huwa na athari hasi kwa mjamzito. Kwa hivyo, mapumziko ya kitandani katika mimba yanapaswa kuwa kwa kipindi kifupi. Tazama aina za mapumziko ya kitanda.

Mapumziko ya mwisho wa kitandani

Katika aina hii, mama anakubalishwa kufanya kazi kwenye dawati, kufanyia kazi nyumbani na pia kutembea lakini kwa muda mfupi.

Mapumziko mazuri ya kitandani

Katika aina hii, mjamzito anaruhusiwa kuwa kitandani na anapotoka, anaenda msalani na bafuni pekee. Mwanamke haruhusiwi kutumia ngazi.

Mapumziko ya kitandani hospitalini

Hii ni aina ya mapumziko yaliyo makali zaidi. Katika aina hii, mwanamke anabaki hospitalini hadi wauguzi wanapohisi kuwa ni salama kwake kurudi nyumbani. Hakubalishwi kufanya kazi zozote.

Daktari anaposhauri aina hii ya mapumziko katika mimba, ni vyema kuwa na mazungumzo ya kina naye. Kujua sababu za ushauri ule na iwapo kuna njia mbadala mnaweza kutumia kutatua hali hizo mbali na kutumia mapumziko.

Soma Pia: Kuinama Katika Ujauzito Kuna Athari Kwa Fetusi: Madhara Ya Kuinama Kwa Mjamzito

Got a parenting concern? Read articles or ask away and get instant answers on our app. Download theAsianparent Community on iOS or Android now!

img
Written by

Risper Nyakio

  • Home
  • /
  • Pregnancy
  • /
  • Mapumziko Ya Kitanda Katika Mimba Na Athari Hasi Kwa Mama
Share:
  • Makosa Ambayo Wanawake Wajawazito Hufanya

    Makosa Ambayo Wanawake Wajawazito Hufanya

  • Vidokezo vya Ujauzito Wenye Afya kwa Mama Mjamzito

    Vidokezo vya Ujauzito Wenye Afya kwa Mama Mjamzito

  • Chakula Bora cha Kujifungua Mtoto Mrembo

    Chakula Bora cha Kujifungua Mtoto Mrembo

  • Makosa Ambayo Wanawake Wajawazito Hufanya

    Makosa Ambayo Wanawake Wajawazito Hufanya

  • Vidokezo vya Ujauzito Wenye Afya kwa Mama Mjamzito

    Vidokezo vya Ujauzito Wenye Afya kwa Mama Mjamzito

  • Chakula Bora cha Kujifungua Mtoto Mrembo

    Chakula Bora cha Kujifungua Mtoto Mrembo

Get advice on your pregnancy and growing baby. Sign up for our newsletter
  • Becoming a Mama
    • Pregnancy
    • Delivery
    • Losing a Baby
  • Ages & Stages
    • Baby
    • Toddler
    • Kids
  • Parenting
    • News
    • Relationship & Sex
    • Parent's Guide
  • Health
    • Allergies & Conditions
    • Vaccinations
    • Diseases-Injuries
  • Feeding & Nutrition
    • Breastfeeding & Formula
    • Latching & Concerns
    • Weaning
  • More
    • TAP Community
    • Advertise With Us
    • Contact Us
    • Become a Contributor


  • Singapore flag Singapore
  • Thailand flag Thailand
  • Indonesia flag Indonesia
  • Philippines flag Philippines
  • Malaysia flag Malaysia
  • Sri-Lanka flag Sri Lanka
  • India flag India
  • Vietnam flag Vietnam
  • Australia flag Australia
  • Japan flag Japan
  • Nigeria flag Nigeria
  • Kenya flag Kenya
© Copyright Africaparent.com 2023 Tickled Media Pte Ltd. All rights reserved
About Us|Team|Privacy Policy|Terms of Use |Sitemap HTML

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it