Matamanio Ya Kingono Ambayo Wanawake Katika Ndoa Huwa Nayo

Matamanio Ya Kingono Ambayo Wanawake Katika Ndoa Huwa Nayo

Wanawake, unafahamu kuwa kuwa katika ndoa sio sababu tosha kufanya mtindo mmoja wa ngono kila wakati. Kuna fursa na nafasi ya kufanya mitindo tofauti na mchumba wako, miaka baada ya kufunga pingu za maisha. Hii ndiyo sababu kwa nini, ni sawa kuwa na mawazo ya kufanya mapenzi ya kusisimua na kuhakikisha kuwa yana fanyika. Huenda mawazo haya yakawa mepesi na mengine mazito ambayo hungependa kumjulisha mtu yeyote. Hatupendi kukubali kuwa tuna matamanio ya kingono hasa baada ya kufunga pingu za maisha. Tuna angazia baadhi ya mawazo ya kingono ambayo wanawake wengi katika ndoa huwa nayo.

Matamanio ya kingono? Ndiyo!

Kuibuka kwa dominatrix

Matamanio Ya Kingono Ambayo Wanawake Katika Ndoa Huwa Nayo

Wanao uza mishipi ya kitandani huenda wakawa wana uza sana kwa sababu wanawake wengi wana matamanio ya kuwa ndiyo wanaongoza kitandani. Karibu asilimia 47 ya wanawake huwa na matamanio ya kuwa ndiyo wanao ongoza kingono. BDSM imekuwa ikifanyika sana na watu zaidi wamekuwa wakijaribu mtindo huu kitandani. Shukrani kwa sinema na kitabu cha 'Fifty Shades of Grey'. Wanandoa wanaweza jaribu mambo tofauti kitandani bila uwoga.

Kufanya mapenzi na wanaume wengi

Matamanio Ya Kingono Ambayo Wanawake Katika Ndoa Huwa Nayo

Ni mwanamke yupi ambaye hana ndoto kuhusu wanaume wawili ama watatu kuabudu mwili wake? Waza macho ya wanaume wanao kutamani wakitaka kuwa nawe kwa mara moja. Baadhi ya wanawake huenda wakapenda mambo ya kusisimua zaidi wanapokuwa katika kipindi hiki.

Ili kuwa na kipindi cha kusisimua zaidi, mnaweza tumia vidoli vya mapenzi ili kuwa na furaha zaidi.

Kufanya mapenzi mahali tofauti

matamanio ya kingono

Karibu asilimia 85 ya wanawake huwa na matamanio mengi ya kufanya mapenzi ya kusisimua kama kufanya mapenzi mahali panapo sifika kimapenzi kama pwani. Shukrani kwa vitabu vingi vya kimapenzi tunavyo uziwa kila mara. Mahali pa kimapenzi panaweza mfanya mwanamke kuwa katika mhemko wa kufanya mapenzi usiku wote. Huenda akapata furaha ambayo imekuwa ikikosekana katika maisha yao ya kimapenzi. Hii huwa mojawapo ya matamanio makubwa zaidi ambayo wanawake wengi huwa nayo.

Mara ya mwisho mlienda kuzuru mahali ilikuwa lini? Tafuta mahali palipo tulia kisha mwende mtembee na mchumba wako na mjaribu mambo yote ambayo mmeishi kutamani.

Kuwa na mwanamke mwingine

"Nili busu msichana mwingine na nilipendelea," alisema Katy Perry. Wanawake wengi hushangaa jinsi ulaini wa mapaja ya mwanamke mwingine huhisi chini ya vidole vingine. Kuna jambo linalo sisimua kuhusu mwili tofauti hata kama ni sawa.

Uzuri ni kuwa mwanamke mwingine huenda akawa anajua jinsi ya kujifurahisha. Huku kuna maana kuwa anajua mahali pa kugusa ili kuji sisimua.

Voyeurism

Kuona watu wakiwa katika kitendo huenda kuka pendeza sana. Huenda ukawa na fikira kuwa kuona wanandoa wakiwa katika kitendo kile wanapo kuwa chumbani ama kwa hoteli, ama kuwatizama kwa kutumia kamera wakifanya matendo yao. Kuna njia nyingi sana.

Kufanya mapenzi na mtu mashuhuri

Karibu asilimia 52 ya wanawake wali ripoti kuwa na matamanio haya ya kingono, na sababu bayana. Watu mashuhuri mara nyingi huwa na mili ya kuvutia. Ni rahisi kuwa na matamanio na mawazo ya kingono na mwigizaji unayempenda, mwimbaji unaye penda kumsikiza na anaye kufurahisha mkifanya mitindo tofauti ya kingono ikilinganishwa na mtu mnaye juana. Kuna jambo linalo kusisimua unapo kuwa na mawazo ya mtu mashuhuri kukuchagua na kuwacha wanawake wengine.

Kufanya mapenzi na mtu mgeni

matamanio ya kingono

Huenda ikawa ni kumvuta mwanamme aliye kaa kando yako kwenye gari aliye mbali nawe kidogo. Ama hata kujipa nafasi ya kwenda nje usiku mmoja na kujua zaidi kuhusu mwili wa mwenzi wako bila kujuana majina.

Matamanio haya ya kingono ni kuhusu kuvunja masharti -  kuto fuata masharti sana, kufanya mapenzi na mtu msiye juana na ambaye huenda hamtawahi onana tena. Kumpa bwanako jukumu la kuwa mgeni wa kupendeza huenda kukasaidia kuwa na wakati mwema.

Kumbukumbu: Glamour,

Soma pia: Sex After Kids: How To Keep Up The Tempo With Your Partner

Written by

Risper Nyakio