Africaparent Logo
Africaparent Logo
EnglishSwahili
  • COVID-19
  • Becoming a Mama
  • Ages & Stages
  • Parenting
  • Health
  • Feeding & Nutrition

Matokeo 7 Mwanamke Anayoshuhudia Baada Ya Kutoa Mimba

2 min read
Matokeo 7 Mwanamke Anayoshuhudia Baada Ya Kutoa MimbaMatokeo 7 Mwanamke Anayoshuhudia Baada Ya Kutoa Mimba

Matokeo baada ya kutoa mimba hutofautiana kati ya wanawake. Hata hivyo, ishara kama kuvuja damu nyingi hushuhudiwa kati ya wanawake wote.

Baada ya mwanamke kufanyiwa utaratibu wa kutoa mimba kutumia mbinu tofauti za kutoa mimba. Anashuhudia matokeo tofauti baada ya kutoa mimba. Baadhi ya matokeo haya ni kama vile kutokwa na damu.

Matokeo baada ya kutoa mimba

Mwanamke hushuhudia haya baada ya kutoa ujauzito:

  1. Kuvuja damu nyingi na yenye rangi ya hudhurungi

matokeo baada ya kutoa mimba

Damu hii ni tofauti na ya hedhi. Husababishwa na kuporomoka kwa mji wa mimba ulokuwa na fetusi. Katika siku za kwanza mbili, mama anatarajia kujaza pedi zaidi ya sita, kwani anavuja kiwango kingi cha damu. Rangi na kiwango hubadilika baada ya siku mbili.

2. Kutokwa na damu kwa kipindi ndani na wiki mbili

Kuna baadhi ya wanawake wanaovuja damu kwa kipindi cha wiki moja. Kuendelea kuvuja damu zaidi ya wiki mbili ni ishara ya mambo kutokuwa sawa. Mwanamke anapaswa kuwasiliana na daktari wake.

3. Kupunguka kwa ishara za mimba

Ndani ya kipindi cha wiki moja baada ya kutoa mimba, ishara za ujauzito kama vile kuhisi kichefuchefu na kuumwa na chuchu huisha ndani ya wiki moja. Kuhisi uchovu na maumivu ya tumbo huendelea kwa siku chache.

4. Kuumwa na nyonga ya kiuno

5. Kutapika mara kwa mara

6. Maumivu ya kichwa

7. Uchovu mwingi

Kujitunza baada ya kutoa mimba

matokeo baada ya kutoa mimba

  • Tumia dawa za antibacterial ili kulinda dhidi ya kupata maambukizi. Baada ya kutoa mimba, kinga ya mwili huwa chini, kwa hivyo mwanamke ako katika hatari ya kupata maambukizi kirahisi.
  • Epuka kuingiza chochote kwenye uke hadi utakapopona, tumia pedi badala ya tampoons.
  • Jitenge na tendo la kindoa hadi utakapopona.
  • Kunywa vinywaji kwa wingi, vinaharakisha uponaji kwa kasi.
  • Tumia chupa yenye maji ya vuguvugu kukanda tumbo kupunguza maumivu.

Wakati wa kumwona daktari

  • Kutumia pedi zaidi ya mbili kwa lisaa limoja
  • Maumivu makali ya mgongo
  • Uchafu ukeni ulio na harufu kali
  • Kuvuja damu ya matone makubwa kiasi cha limau
  • Kuwa na homa kali

Matokeo baada ya kutoa mimba hutofautiana kati ya wanawake. Hata hivyo, ishara kama kuvuja damu nyingi hushuhudiwa kati ya wanawake wote. Ni vyema kwa mama kuwa makini na afya yake baada ya kufanyiwa utaratibu wa kutoa mimba. Kinga yake ni duni na kutozingatia afya bora kunamweka katika hatari ya kupata maambukizi.

Chanzo: WebMD

Soma Pia: Jinsi Ya Kutumia Vidonge Kutoa Mimba Na Athari Kwa Mwanamke

Got a parenting concern? Read articles or ask away and get instant answers on our app. Download theAsianparent Community on iOS or Android now!

img
Written by

Risper Nyakio

  • Home
  • /
  • Abortion
  • /
  • Matokeo 7 Mwanamke Anayoshuhudia Baada Ya Kutoa Mimba
Share:
  • Njia 3 Salama Za Kuavya Mimba: Sindano Ya Kutoa Mimba Inatumika Vipi?

    Njia 3 Salama Za Kuavya Mimba: Sindano Ya Kutoa Mimba Inatumika Vipi?

  • Jinsi Ya Kutumia Vidonge Kutoa Mimba Na Athari Kwa Mwanamke

    Jinsi Ya Kutumia Vidonge Kutoa Mimba Na Athari Kwa Mwanamke

  • What Does It Mean To Have An Abortion?

    What Does It Mean To Have An Abortion?

  • Njia 3 Salama Za Kuavya Mimba: Sindano Ya Kutoa Mimba Inatumika Vipi?

    Njia 3 Salama Za Kuavya Mimba: Sindano Ya Kutoa Mimba Inatumika Vipi?

  • Jinsi Ya Kutumia Vidonge Kutoa Mimba Na Athari Kwa Mwanamke

    Jinsi Ya Kutumia Vidonge Kutoa Mimba Na Athari Kwa Mwanamke

  • What Does It Mean To Have An Abortion?

    What Does It Mean To Have An Abortion?

Get advice on your pregnancy and growing baby. Sign up for our newsletter
  • Becoming a Mama
    • Pregnancy
    • Delivery
    • Losing a Baby
  • Ages & Stages
    • Baby
    • Toddler
    • Kids
  • Parenting
    • News
    • Relationship & Sex
    • Parent's Guide
  • Health
    • Allergies & Conditions
    • Vaccinations
    • Diseases-Injuries
  • Feeding & Nutrition
    • Breastfeeding & Formula
    • Latching & Concerns
    • Weaning
  • More
    • TAP Community
    • Advertise With Us
    • Contact Us
    • Become a Contributor


  • Singapore flag Singapore
  • Thailand flag Thailand
  • Indonesia flag Indonesia
  • Philippines flag Philippines
  • Malaysia flag Malaysia
  • Sri-Lanka flag Sri Lanka
  • India flag India
  • Vietnam flag Vietnam
  • Australia flag Australia
  • Japan flag Japan
  • Nigeria flag Nigeria
  • Kenya flag Kenya
© Copyright Africaparent.com 2022 Tickled Media Pte Ltd. All rights reserved
About Us|Team|Privacy Policy|Terms of Use |Sitemap HTML

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it