Africaparent Logo
Africaparent Logo
EnglishSwahili
  • COVID-19
  • Becoming a Mama
  • Ages & Stages
  • Parenting
  • Health
  • Feeding & Nutrition

Je, Ni Maziwa Gani Bora Kwa Mtoto Mchanga?

2masomo ya dakika
Je, Ni Maziwa Gani Bora Kwa Mtoto Mchanga?Je, Ni Maziwa Gani Bora Kwa Mtoto Mchanga?

Maziwa ya mama ni muhimu sana kwa mtoto ili awe na maisha yenye afya njema.

Kumekuwa na mijadala mingi iwapo ni sawa kumpa mtoto mchanga maziwa ya mama ama formula anapokuwa angali miezi kama mitatu ama minne. Ni maziwa gani bora kwa mtoto mchanga? Wataalum wa afya ya watoto na madaktari wanashauri wamama kuwa nyonyesha maziwa ya mama pekee hadi pale wanapo timiza miezi sita. Hii ni kwa sababu maziwa ya mama yanasaidia mtoto kuwa na afya bora. Mtoto anapo nyonyeshwa hasa katika lisaa limoja baada ya kuzaliwa, na kuendelea hadi anapo kuwa miezi sita ya uhai, itamsaidia kukua vyema na kuwa na afya anapo endelea kukua.

maziwa bora kwa mtoto mchanga

Maziwa Gani Bora Kwa Mtoto Mchanga? Faida Za Maziwa Ya Mama Kwa Mtoto

Kulingana na Shirika la Afya Duniani (WHO), lina shauri kuwa mama anapaswa kumnyonyesha mtoto hadi anapo fika miezi sita. WHO pia inaeleza faida za kunyonyesha mtoto kama vile. Kwa sababu mtoto anapata virutubisho anavyo hitaji mwilini. Yana kinga inayo mlinda mtoto kuto pata magonjwa angali mdogo kama vile kuharisha. Pia maisha ya usoni ya mtoto yanakuwa yenye afya njema. Watoto wanao nyonya maziwa ya mama pekee hadi umri wa miezi sita ni nadra sana kwao kupata ugonjwa wa kisukari ama hata kuwa na uzito mwingi wa mwili.

Swali letu kwa sasa ni je, ni sawa kumpa mtoto maziwa ya formula ama ya kopo?

Iwapo mama anataka kurudi kazini na angependa kumwanzishia mtoto wake maziwa ya formula, anapaswa kuhakikisha kuwa ana yatayarisha vizuri. Iwapo hayana kingamwili zifaazo ikilinganishwa na maziwa ya mama, wakati mwingine huenda mama akawa hana hiari nyingine. Mtoto ana hatari kubwa iwapo atakunywa formula iliyo tengenezwa kwa kutumia maji yasiyo safi. Kwani bakteria zinazo kuwa kwenye maji, huenda zikamwathiri. Nyuma ya kontena ya formula kuna maagizo ya kutayarisha formula ile kulingana na umri wa mtoto. Hakikisha kuwa unafuata vyema kwani ukitumia maji ama unga zaidi, huenda mtoto akapata utapia mlo.

maziwa bora kwa mtoto mchanga

Ikiwa mama ako na uwezo wa kumnyonyesha mtoto maziwa ya mama bila chakula kingine hadi miezi sita, ni vyema kufanya hivyo. Lakini ikiwa angependa kumwanzishia mtoto wake formula, anapaswa kuwasiliana na daktari wa mtoto wake ama mtaalum wa afya ya mtoto ili apate ushauri bora. Lakini bila shaka, maziwa bora zaidi kwa mtoto mchanga ni ya mama hadi anapo fika miezi sita. Kutoka hapo anaweza mwanzishia chakula kigumu. Ila anapaswa kukumbuka kuwa anahitaji kuendelea kumnyonyesha mtoto kama ilivyo kawaida.

Kumbukumbu: nursing moms

Soma pia: Jinsi Ya Kuboresha Utoaji Wa Maziwa Ya Mama Kwa Njia Asili

img
Yaliandikwa na

Risper Nyakio

  • Nyumbani
  • /
  • Breastfeeding & Formula
  • /
  • Je, Ni Maziwa Gani Bora Kwa Mtoto Mchanga?
Gawa:
  • Vitu Muhimu Vya Kujua Unapo Nunua Maziwa Ya Formula Ya Mtoto

    Vitu Muhimu Vya Kujua Unapo Nunua Maziwa Ya Formula Ya Mtoto

  • Jinsi Ya Kuboresha Utoaji Wa Maziwa Ya Mama Kwa Njia Asili

    Jinsi Ya Kuboresha Utoaji Wa Maziwa Ya Mama Kwa Njia Asili

  • Sababu Kwa Nini Mtoto Wako Huenda Akanyongwa Anapo Nyonya

    Sababu Kwa Nini Mtoto Wako Huenda Akanyongwa Anapo Nyonya

  • Njia 9 Dhabiti Za Kuongeza Utoaji Wa Maziwa Ya Mama

    Njia 9 Dhabiti Za Kuongeza Utoaji Wa Maziwa Ya Mama

  • Vitu Muhimu Vya Kujua Unapo Nunua Maziwa Ya Formula Ya Mtoto

    Vitu Muhimu Vya Kujua Unapo Nunua Maziwa Ya Formula Ya Mtoto

  • Jinsi Ya Kuboresha Utoaji Wa Maziwa Ya Mama Kwa Njia Asili

    Jinsi Ya Kuboresha Utoaji Wa Maziwa Ya Mama Kwa Njia Asili

  • Sababu Kwa Nini Mtoto Wako Huenda Akanyongwa Anapo Nyonya

    Sababu Kwa Nini Mtoto Wako Huenda Akanyongwa Anapo Nyonya

  • Njia 9 Dhabiti Za Kuongeza Utoaji Wa Maziwa Ya Mama

    Njia 9 Dhabiti Za Kuongeza Utoaji Wa Maziwa Ya Mama

Pata ushauri wa mara kwa mara kuhusu ujauzito wako na mtoto wako anayekua!
  • Becoming a Mama
    • Pregnancy
    • Delivery
    • Losing a Baby
  • Ages & Stages
    • Baby
    • Toddler
    • Kids
  • Parenting
    • News
    • Relationship & Sex
    • Parent's Guide
  • Health
    • Allergies & Conditions
    • Vaccinations
    • Diseases-Injuries
  • Feeding & Nutrition
    • Breastfeeding & Formula
    • Latching & Concerns
    • Weaning
  • Zaidi
    • TAP Jamii
    • Tangaza Nasi
    • Wasiliana Nasi
    • Become a Contributor


  • Singapore flag Singapore
  • Thailand flag Thailand
  • Indonesia flag Indonesia
  • Philippines flag Philippines
  • Malaysia flag Malaysia
  • Sri-Lanka flag Sri Lanka
  • India flag India
  • Vietnam flag Vietnam
  • Australia flag Australia
  • Japan flag Japan
  • Nigeria flag Nigeria
  • Kenya flag Kenya
© Copyright Africaparent.com 2022 Tickled Media Pte Ltd. All rights reserved
Kutuhusu|Timu|Sera ya Faragha|Masharti ya kutumia |Sitemap HTML

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it