Africaparent Logo
Africaparent Logo
EnglishSwahili
  • COVID-19
  • Becoming a Mama
  • Ages & Stages
  • Parenting
  • Health
  • Feeding & Nutrition

Mazungumzo 5 Muhimu Sana Katika Uhusiano Yasiyo Paswa Kupuuzwa

2 min read
Mazungumzo 5 Muhimu Sana Katika Uhusiano Yasiyo Paswa KupuuzwaMazungumzo 5 Muhimu Sana Katika Uhusiano Yasiyo Paswa Kupuuzwa

Kufanya uamuzi wa kuto zungumza kuhusu mambo haya huenda kukawa mwanzo wa mwisho wa uhusiano wako. Haya ni mazungumzo muhimu katika uhusiano yasiyo paswa kupuuzwa.

Kuna wakati ambapo ni rahisi kupuuza na kuamua kuto zungumza kuhusu masuala fulani katika uhusiano wako, badala ya kuya jadili na kutafuta mbinu za  kutatua.

Ikiwa wewe ni mojawapo ya mchumba anaye ona aibu kuulizwa maswali katika uhusiano ikiwa kuna suala lisilo sawa, hausaidii uhusiano wenu kwa kuto jadili mambo tofauti.

Ikiwa umegundua kuwa mchumba wako ameanza kuonyesha tabia na hisia hasi ama zenye hatari ya kuharibu uhusiano wenu, ni vyema kuwa na mjadala kuhusu mambo haya badala ya kuyapuuza na kutumai kuwa yataisha hivyo tu. Huwezi ngoja matatizo yaji suluhishe.

Hasa ikiwa una hisi mojawapo ya mambo tunayo dokeza hapa chini, una hitaji kutafuta majibu kutoka kwa mchumba wako ama ungoje mapenzi yenu ya didimie na uhusiano wenu uishe.

Mazungumzo muhimu katika uhusiano

mazungumzo muhimu katika uhusiano

  1. Mchumba wako anapo anza kujitenga

Ikiwa mnajipata kuwa mnaanza kujitenga, hamko karibu mlivyo kuwa hapo awali, na hamfanyi mambo kwa pamoja tena, utangamano wenu una didimia. Mnapaswa kuzungumza kuhusu tatizo hili.

Kuamua kuto zungumza kuhusu suala hiyo kutakuwa na athari hasi kwa uhusiano wenu. Na mtazidi kujitenga zaidi mkiendelea hivi.

2. Wana anza kushuku

Mwendani wako anapo anza kuonyesha ishara za kuto kuamini, ama kuwa na tuhumu ama tabia zisizo na uwazi, usipuuze kana kwamba hakuna jambo linalo tendeka.

Hakikisha kuwa mna lizungumzia na mtafute suluhu.

3. Hakuna anaye ona uzuri wowote

Ikiwa kila mwanafamilia yenu ama marafiki hawaoni uzuri wowote wa mchumba wako, usipuuze jambo hilo. Hawa watu wote hawawezi kuwa wakimchukia. Huenda ikawa kuna jambo wanalo ona usilo ona. Ni vyema kuwa uliza maswali. Kuna na mawazo wazi unapo elezewa ili usifikirie kuwa hawataki kuwaona pamoja.

4. Hatambui mahitaji yako

mazungumzo muhimu katika uhusiano

Mchumba wako anapo kosa kamwe kuweka mahitaji yako kabla ya yake, lakini wakati wote anatafuta utakavyo msamehea anapo kosa kufanya jambo fulani, usipuuze hili. Ni vyema kujaribu kuongea kuhusu hili, badala ya kuwa na chuki kwao.

5. Mazungumzo muhimu katika uhusiano: Kupigana sana mara kwa mara

Unapo gundua kuwa kamwe hawaoni unacho kifanya vizuri, kila wakati ni ugomvi, kubishana na vita, unapaswa kujaribu kujua kinacho stahili kubadilishwa. Unahitajika kuelewa kinacho wasumbua na mambo mnayo stahili kubadilisha ili kuwa na uhusiano mwema tena wenye afya.

Soma Pia: Kinacho Fanya Uhusiano Kufuzu

Got a parenting concern? Read articles or ask away and get instant answers on our app. Download theAsianparent Community on iOS or Android now!

img
Written by

Risper Nyakio

  • Home
  • /
  • Relationship & Sex
  • /
  • Mazungumzo 5 Muhimu Sana Katika Uhusiano Yasiyo Paswa Kupuuzwa
Share:
  • Mazungumzo Muhimu Kabla Ya Kuingia Katika Uhusiano!

    Mazungumzo Muhimu Kabla Ya Kuingia Katika Uhusiano!

  • Kemia Na Utangamano Katika Uhusiano: Nini Muhimu Zaidi?

    Kemia Na Utangamano Katika Uhusiano: Nini Muhimu Zaidi?

  • Jinsi Ya Kukuza Imani Katika Uhusiano: Njia Za Kujenga Uaminifu

    Jinsi Ya Kukuza Imani Katika Uhusiano: Njia Za Kujenga Uaminifu

  • Maswali 5 Katika Uhusiano Unayo Ogopa Kumwuliza Bwana Yako Lakini Unastahili

    Maswali 5 Katika Uhusiano Unayo Ogopa Kumwuliza Bwana Yako Lakini Unastahili

  • Mazungumzo Muhimu Kabla Ya Kuingia Katika Uhusiano!

    Mazungumzo Muhimu Kabla Ya Kuingia Katika Uhusiano!

  • Kemia Na Utangamano Katika Uhusiano: Nini Muhimu Zaidi?

    Kemia Na Utangamano Katika Uhusiano: Nini Muhimu Zaidi?

  • Jinsi Ya Kukuza Imani Katika Uhusiano: Njia Za Kujenga Uaminifu

    Jinsi Ya Kukuza Imani Katika Uhusiano: Njia Za Kujenga Uaminifu

  • Maswali 5 Katika Uhusiano Unayo Ogopa Kumwuliza Bwana Yako Lakini Unastahili

    Maswali 5 Katika Uhusiano Unayo Ogopa Kumwuliza Bwana Yako Lakini Unastahili

Get advice on your pregnancy and growing baby. Sign up for our newsletter
  • Becoming a Mama
    • Pregnancy
    • Delivery
    • Losing a Baby
  • Ages & Stages
    • Baby
    • Toddler
    • Kids
  • Parenting
    • News
    • Relationship & Sex
    • Parent's Guide
  • Health
    • Allergies & Conditions
    • Vaccinations
    • Diseases-Injuries
  • Feeding & Nutrition
    • Breastfeeding & Formula
    • Latching & Concerns
    • Weaning
  • More
    • TAP Community
    • Advertise With Us
    • Contact Us
    • Become a Contributor


  • Singapore flag Singapore
  • Thailand flag Thailand
  • Indonesia flag Indonesia
  • Philippines flag Philippines
  • Malaysia flag Malaysia
  • Sri-Lanka flag Sri Lanka
  • India flag India
  • Vietnam flag Vietnam
  • Australia flag Australia
  • Japan flag Japan
  • Nigeria flag Nigeria
  • Kenya flag Kenya
© Copyright Africaparent.com 2022 Tickled Media Pte Ltd. All rights reserved
About Us|Team|Privacy Policy|Terms of Use |Sitemap HTML

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it