Mambo 5 Ya Kuchekesha Ambayao Wazazi Hutamani Wangeweza Kuwafanyia Watoto Wao

Mambo 5 Ya Kuchekesha Ambayao Wazazi Hutamani Wangeweza Kuwafanyia Watoto Wao

These South African parents had a field day on Twitter, creating hilarious parenting styles. They had very creative suggestions for their kids.

Mwananchi mmoja kutoka nchi ya Afrika Kusini, kupitia mtandao wa Twita aliweza kupendekeza mbinu za ulezi anazo zitumia. Kwa msururu wa twiti za kuchekesha ambazo vimeenea kila mahali, alielezea kuwa yeye na mume wake walikuwa wamechoshwa na watoto wao. Alikuwa amepata njia zingine bunifu za kuwahusisha. Wazazi wengine walitoa maoni yao pia kwa wepesi na wakapata majibu ya ajabu na busara.

Matumizi ya mtandao wa Twita @dramadelinquent ni mkufunzi wa maisha na practitioner kataika NLP.  Twiti ya kwanza ilisoma, “Mimi na mume wangu tumeamua kuwa hatutaki kuwa na watoto. Tutakuwa tunawaambia hivyo leo jioni. “

Ona twiti za kushangaza kutoka kwa waliotoa maoni yao kuhusu mbinu za ulezi

Mambo 5 Ya Kuchekesha Ambayao Wazazi Hutamani Wangeweza Kuwafanyia Watoto Wao Mambo 5 Ya Kuchekesha Ambayao Wazazi Hutamani Wangeweza Kuwafanyia Watoto Wao parenting styles parenting styles mbinu za ulezi

Tizama twiti hizi za kushangaza kutoka kwa waliotoa maoni yao kuhusu mbinu za ulezi

Twiti hizi za kuchekesha zilitupa mawazo ya kuwasaidia wazazi waliochoka. Watoto bila shaka wanaweza kujaribu hata uvumilivu wa Papa! Kwa hivyo kama unahisi umelemewa hamna shida.  Pumzisha miguu yako ukinywa glasi yako ya mvinyo na upumue kidogo. Kile ambacho hufai kufanya ni kuchukua ushauri wetu  kwani lengo lake ni kufurahisha tu.  Tuna uhakika tosha kuwa mbinu za ulezi unazo zitumia ni sawa kabisa.

Huu ni ushauri wetu kuhusu cha kuwafanyia watoto wako

mbinu za ulezi

  1. Watume mexico …..ama mahali mbali

Wanapochafua chumba chao, rembesha ukuta wao na rangimaji  zao ama mafuta ya chakula chao, watakwangalia huku waki jiuliza kilicho kibaya na wewe. Safari ya Mexico ikiwezekana, itasaidia kupumzisha neva zako na labda uwaonyeshe jinsi walivyo wa dhamana kwako.

 

  1. Kula mgawo wa mwisho wa mtama

Haya, ulisahau kununua mtama na tumbo lako likakupa dokezo la kwenda kwenye kabati usiku na kula mtama, mgawo wa mwisho. Shida tu ni moja, mdogo wako anaamka wakati ule ule na analitaka bakuli lile la mtama. Ooh, ushajua nani atakuwa mshindi!

mbinu za ulezi

3. Chelewa kuamka siku ya kwenda shule

Sasa unaelewa kuwa wakati mtoto wako anajiunga na shule nyinyi wote mnaenda shuleni. Kwani unastahili,  kuamka mapema kuwatayarisha, kuwatengenezea kiamsha kinywa, kuhakikisha wako tayari ata baada yako kutoka kazini umechelewa na kuweka usafi nyumbani. Kila mfupa ndani ya mwili wako unapiga nduru ulale kitandani hadi saa nne mchana, lakini hii ni sehemu ya furaha na mhanga kama mzazi, amka!

 

4. Wafanye wafue nguo zao kutoka mwanzo.

Haya, tunaweza kuwa thibiti? Iweje kinyesi cha mtoto ndicho hunuka zaidi? Kumbabdilisha diaper mara sita kwa siku na hicho kinyesi kikinuka hivyo chabariki aje pua lako? Kusema ukweli, kama watoto wangefua nguo zao wazazi wangekuwa wenye furaha mno. Kwa bahati nzuri,tuliwaleta hawa wachanga duniani na wao ni wajibu wetu, uzuri,utamu, diaper zenye harufu mbaya yote kwa pamoja.

 

5. Watume kazini kwako badala yako

Ni nini cha furaha kama siku ya mapumziko? Siku ya mapumziko na kazi yako ingali inafanyika. Ingekuwa furaha kama watoto wange enda kazini  badala yako  na kuhangaisha kila mtu ofisini kwa ajili yako. Hivyo utakuwa unatumia vizuri maarifa yao ya kuzungumza na kukaa na watu. Na bado utapata kupumzika.

 

Mwishowe, kumbuka hawa wadogo ni wajibu wako, kuwapa mwelekeo maishani. Mbinu za kulea ni maelekezo tu sio sheria. Kwa hivyo acha tuamke na tufanye wajibu wetu, tuwafurahie ushirikiano wao, maisha marefu!

Psychology Today

Also read: Billionaire Richard Branson Says Parenting Is Like Running A Startup

 

Written by

Risper Nyakio