Ukuaji na Hatua Muhimu: Mtoto Wako wa Miaka Mitano na Miezi Miwili

Ukuaji na Hatua Muhimu: Mtoto Wako wa Miaka Mitano na Miezi Miwili

Check out the developmental milestones for children aged 5 years 2 months old!

Inaonekana tu kama jana ambapo mwanao alipokutegemea kufanya chochote alicho taka. Ila, mtoto wako wa miaka mitano na miezi miwili anaonekana yu tayari kuishi! Katika hatua hii, mtoto wako ana mtazamo chanya kuhusu anavyo tazama kujaribu mambo mapya bila ya kusita.

Kwa ujumla, mtoto wako wa miaka mitano na miezi miwili ana furaha kuyaishi maisha yanavyo onekana. Utagundua kuwa ujasiri huu wake utamfanya kuwa na uhakika wa anayo yafanya. Na jambo njema zaidi kwa haya ni kuwa mtoto wako anayafuta unayo mwambia.

Hapa ni baadhi ya hatua muhimu zaidi za kujua kuhusu mtoto wako wa miaka mitano na miezi miwili.

Ukuaji na Hatua Muhimu kwa Mtoto Wako wa Miaka Mitano : Mtoto wako anakua ipasavyo?

your child loves to play at this age

Ukuaji wa Kifizikia

Mwanao ana ujasiri mwingi kuhusu uwezo wake kwa sasa. Hategwi na kuanguka ovyo ovyo kama hapo awali na huenda akavifanya vitu vigumu zaidi kwa sasa. Ujasiri huu huenda ukawa ni kufuatia uwezo wake wa kuona ulio 20/20 kwa sasa.

Ila tu sio uwezo mzuri wa kuona unao mkubalisha mwanao kufanya mambo vyema zaidi. Mtoto wako wa miaka mitano na miezi miwili ana uwezo wa kuudhibiti mwili wake zaidi. Anaelewa uwezo wake wa kifizikia na mambo ambayo hana uwezo wa kufanya. Hili linasaidia kupunguza hatari za maumivu.

Baadhi ya matendo ya kifizikia ambayo mtoto wako anaweza kutenda katika miaka mitano na miezi miwili ni:

 • Kutembea chini na juu ya ngazi za nyumba bila msaada
 • Kutembea mbele na nyuma bila matatizo
 • Kuruka kwa urahisi
 • Kufunga na kufungua nyororo na vifungo
 • Anapendelea kuutumia mkono mmoja ikilinganishwa na mwingine
 • Amejua kuishika penseli kwa kutumia vidole viwili na kidole cha gumba
 • Anatumia vyombo kwa urahisi

Katika hatua hii, mtoto wako ana urefu na uzito* ufuatavyo:

 • Wavulana
  – Urefu: 110.3 cm (43.4 inchi)
  – Uzito: 18.9 kg (41.6lb)
 • Wasichana
  – Urefu: 109.1 cm (43.0 inchi)
  – Uzito: 18.4 kg (40.6lb)

Vidokezo kwa wazazi:

 • Mruhusu mwanao kuwa na wakati na nafasi ya kucheza nje. Mhimize acheze ili kukuza uwezo wake wa mwendo.
 • Waalike marafiki wa watotot wako kuwa na siku za kucheza. Mtoto wako anapenda kuwa na wasaa na watu wengine na kusoma kutokana na matendo yao.
 • Msajilishe mwanao kwenye shughuli za kufurahisha kama karate, ballet na kuogelea. Kusoma vitu hasa kunamsaidia mwanao kuwa na uwezo wa kufanya mambo kwa urahisi.
 • Mhimize mtoto wako kukusaidia kutayarisha kiamsha kinywa. Anaweza kunywa maziwa na nafaka kwa urahisi. Walakini, huenda akamwaga mwaga kidogo. Mwambie mwanao iwapo amechafua na umfunze jinsi ya kuosha.

Wakati wa kumwona daktari

Iwapo mwanao:

 • Anatatizika kusugua meno ama kunawa mikono bila ya usaidizi
 • Hawezi kupanga mawe kwa vikundi vinane

their cognitive development is great

Ukuaji wa Kiakili

Kwa sasa, mtoto wako mchanga anaijua dunia inayo mzingira na ana wazo ya vitu ni nini, na kazi zao. Anaelewa pesa ni nini na anaweza tofautisha katika ya mashilingi na noti.

Mtoto wako anasoma kwa kawaida na kuiga tabia mpya. Huenda ikawa ni vigumu kujua hasa hatua muhimu za watoto wa miaka mitano na miezi miwili. Walakini, mwanao ana maswali mengi na ataendelea kusoma jinsi ya kufanya vitu tofauti. Ni ishara njema ya ukuaji wa mwanao.

Huenda ukagundua kuwa mwanao ana uwezo wa kucheza michezo ya kujifanya! Mwanao anaweza cheza kwa dakika 15 bila kubadili mchezaji anaye iga.

Hapa ni baadhi ya hatua muhimu za kiakili unazo faa kujua katika umri huu:

 • Jua kuwa hadithi huwa na mwanzo, katikati na mwisho
 • Uwezo wa kugundua iwapo nambari na herufi hazija tangamana ipasavyo
 • Kufanya jambo moja kwa dakika kumi na tano (15)
 • Kupanga kabla ya shughuli ifuatayo

Vidokezo kwa wazazi:

 • Cheza kama mwigizaji na mtoto wako mnapo soma. Vitabu vinaweza tabirika na kukumbuka kwa mwanao kutaimarika anapo kiri sentensi kadhaa za mwigizaji.
 • Mpeleke mwanao safari za kununua vitu ili ajue kuhusu vitu tofauti
 • Jifunze kuchora na kuandika na mwanao. Mhimize kuchora vifaa tofauti na umsifu kwa wingi.

Wakati wa kumwona daktari

If your childIwapo mwanao:

 • Anapendezwa na vitu vichache sana
 • Hapendi michezo ya kubuni ama kufikiria

miaka mitano na miezi miwili

Ukuaji wa Muingiliano na Hisia

Mtoto wako wa miaka mitano na miezi miwili anapenda kuingiliana na anapendeza kwa sana. Anakutazamia kwa mambo mengi na anataka kukufurahisha. Utagundua kuwa anakutazama kwa wakati mwingi kupata muitikio wako. Utapata kuwa mtoto wako anatumia njia tofauti kujieleza ama kuueleza upendo wako kwake ili kupata mwitikio anao utaka.

Katika hatua hii, mtoto wako ana uwezo wa kueleza upendo wake kwa watu wengine. Mtoto wako wa miaka mitano na miezi miwili anatangamana vyema na kwa urahisi na watoto wengine na kwa wakati mwingine anataka kucheza wakiwa karibu.

Kuwa makini kwa ukauji ufuatao:

 • Ana pendelea kucheza na watoto wengine (hasa wengine wawili) na anatangamana vyema na wengine, iwapo ana cheza vyema zaidi na wawili ikiinganishwa na watatu
 • Anapenda kucheza "nyumba"
 • Ana penda kucheza na mawe
 • Anapenda kuogelea, kupanda, na kuruka
 • Anapenda kuwafurahisha marafiki wake na huenda akaiga baadhi ya tabia zao
 • Anapenda kupata uangalifu kutoka kwa watu

Vidokezo kwa wazazi:

 • Mwulize mtoto wako anavyo hisi ukimhadithia. Kujua jinsi ya kujieleza ni hatua ya kwanza katika kusoma jinsi ya kudhibiti hisia zake kama vile kukasirika ama kuhuzunika.
 • Cheza michezo yenye sheria. Inakupatia nafasi ya kumfunza mwanao jinsi ya kujidhibiti anapo shindwa. Na utumie hii kama fursa ya kujaribu kucheza tena wakati mwingine badala ya kukasirika.
 • Hata kama mtotot wako anapenda kucheza na watoto wengine, mhimize acheze peke yake wakati mwingine. Mpe vitu vya kuchezea kama nguo zako, viatu ama hata sufuria ili ajishughulishe na fikira zake kuhimiza kuwa m-bunifu.

When to Talk to Your Doctor

If your child:

 • Does not make eye contact with or responds to other people
 • Often seems sad and unhappy
 • Does not express a wide range of emotions

Ukuaji wa Mazungumzo na Lugha

Mtoto wako mdogo wa miaka mitano na miezi miwili na ongea kwa ufasaha. Ana uwezo wa kuitunga sentensi yenye maneno matano ama zaidi. Mtoto wako anaelewa mengi ya uyasemayo na anaweza piga ngumzo nawe kwa wakati mrefu.

Ni kawaida kwa watoto katika hatua hii kutatizika na kugugumaa. Iwapo mwanao ana gugumaa kimaneno kwa sana, usiwe na shaka. Yote haya ni kawaida kwa mchakato wa ukuaji wa mazungumzo na lugha ya mwanao.

Kwa sasa matamshi ya mtoto wako yana zaidi ya maneno 2000 yanayo endelea kuongezeka na kila sekunde inayo pita. Huenda akajaribu kuyatumia maneno haya mapya anapo ongea na kushindwa ama kuyatamka isivopaswa.

Iwapo ana tatizikia, epuka kumrekebisha mbio. Ila, tumia jina hilo ipasavyo unapokuwa wakati wako wa kuongea. "Naam, ningependa kupata bakuli la chakula!" ni bora zaidi kuliko kumsimamisha kati ya sentensi na kumrekebisha.

Hapa ni baadhi ya hatua muhimu za mazungumzo na lugha muhimu ambazo mtoto wako amefikisha kwa sasa:

 • Anapeana hadithi kwa kutumia sentensi zilizo kamilika.
 • Anatumia ngeli za wakati ujao ipasavyo.
 • Anazitambua herufi nyingi
 • Anapeana hadithi ndefu na kuchekesha watu
 • Anafuata maagizo mengi yaliyo rahisi

Vidokezo kwa wazazi:

 • Chukua wakati umsomee mtoto wako hadithi ya wakati wa kulala. Mhimize mwanao achague kitabu tofauti kila usiku. Na usisahau kumwuliza maswali kadha wa kadha kuhusu hadithi hiyo. Soma vitabu vipya na mwanao. Kutamsaidia kuyapanusha matamshi yake.
 • Ongea kuhusu yaliyo tendeka kwa siku yako. Tumia majina ya kuashiria kama vile, "kabla" na "hapo awali"
 • Iwapo unagundua kuwa mtoto wako anakasirishwa na kigugumizi, kuwa mpole. Chukua muda wako umsikize na umhimize mwanao kufikiria kwanza anachotaka kusema kabla ya kuongea. Huenda kukamsaidia na kigugumizi chake.

Wakati wa kumwona daktari

Iwapo mwanao:

 • Hafurahikii kukwambia jinsi siku yake ilivyo kuwa
 • Anatatizika kusema jina lake
 • Anashindwa kutamka sentensi moja

5 Years 2 Months Old child writing on paper

Afya na Lishe

Mtoto wako wa miaka mitano na miezi miwili atakuwa na uzito wa kilo 17 hadi 20.3 na urefu wa sentimita 106 hadi 112.2. Atahitaji angalau kalori 1,200 hadi 1,600 kwa siku, kulingana na kucheza kwake kila siku.

Katika umri huu, mtoto wako atajipata akishiba kwa urahisi kwa kukula vitamu tamu. Kwa ujumla, unafaa kulenga kumpa lishe tatu kwa siku (kiamsha kinywa, cha mchana, chajio) na lishe mbili za afya kila siku.

Lishe ya mtoto wako mchanga inapaswa kuwa na virutubisho vyote vinavyo hitajika.

Kwa ujumla, kalori ya wavulana na wasichana katika hatua hii inapaswa kuwa ifuatavyo:

 • Wavulana: 1,678 Kcal/kwa siku
 • Wasichana: 1,572 Kcal/kwa siku

Lishe yao inapaswa kuwa na vifuatavyo:

Protini

Katika miaka mitano na mwezi mmoja, mtoto wako anahitaji vijiko viwili vya protini (kwa ujumla karibia gramu 32.4) kila siku. Jaribu kumpa vijiko angalau vitatu vya kuku, nyama ama samaki, vijiko vinne ama vitano vya maharagwe ama yai la kuchemsha.

Matunda

Pia anahitaji vikombe vitatu (gramu 100) vya matunda kila siku. Kikombe kimoja cha matunda ni sawa na yaliyo toka shambani, yaliyo gandishwa ma kukaushwa. Nusu (1/2) tofaha moja kubwa, 1/8 ya ndizi, na zabibu.

Iwapo mtoto wako anataka kunywa maji ya sharubati, hakikisha kuwa ni asilimia 100 ya maji matamu bila sukari za kuongezwa. Pia, jaribu kumlisha matunda kutoka shambani iwezekanavyo, hasa na ngozi yake ya nje.

Mboga

Katika hatua hii, mtoto wako anahitaji vikombe visivyo pungua viwili vya (gramu 100 kila moja) vya mboga kila siku. Jaribu kumpa fiber na mboga zilizo na iron nyingi kama vile spinachi, karoti zinginezo.

Pia, unaweza kumpa kikombe kimoja cha mboga kinacho toshana na kikombe kimoja cha mboga zilizo pikwa, mboga za majani, nyanya moja kubwa na karoti mbili.

Mpe mwanao mboga tofauti za rangi nyingi kutoka kijani, nyekundu, rangi ya machungwa, maharagwe kila wiki. Unapo chagua mboga zilizo hifadhiwa, chagua zilizo na kiwango cha chini cha sodium.

Nafaka

Mwanzishie mwanao ounsi nne za nafaka katika lishe zake. Ounsi moja ya nafaka ni sawa na kipande kimoja cha mkate,kikombe kimoja cha nafaka zilizo tayari ama nusu kikombe cha wali uliopikwa.

Unaweza chagua kutoka kwa nafaka nzima kama vile, mkate usio wa mtama mweupe, mchele wa hudhurungi. Ila, usisahau kupunguza kiwango cha nafaka zilizo tayarishwa kama vil mkate mweupe ama mchele.

Maziwa

Katika umri huu, mtoto wako anapaswa kunywa maziwa angalau ounsi 17 hadi 20 za maziwa kila siku. Huenda ukampa maziwa yaliyo hifadhiwa ama yogurt badala ya maziwa, na ounsi mbili za cheese iliyo tengenezwa.

Kwa kifupi, hakikisha unamlisha 3-5 ounsi za protini (2 vipande vya nyama vinavyo toshana kibiriti ama 1 yai), 1-1.5 vikombe vya matunda (1 ndizi ndogo, 2 strawberries robo), 1.5-2.5 vikombe vya mboga, 4-6 ounsi za nafaka (2 vijiko vya wali AMA 1 kipande cha mkate AMA 2 vijiko vya pasta), and 2.5 vikombe vya maziwa kila siku.

Kwa ufupi, haya ni baadhi ya mahitaji ya mtoto wako ya kila siku (tazama viwango tulivyo angazia hapo juu)

 • Mboga: vikombe viwili kwa wavulana; na kikombe viwili kwa wasichana
 • Nafaka: ounsi nne kwa wavulana; ounsi nne kwa wasichana
 • Protini: gramu 32.4 kwa wavulana; gramu 32.4 kwa wasichana
 • Maziwa: 17-20 ounsi kwa wavulana; 17-20 ounsi kwa wasichana
 • Maji: 1500 ml kwa wavulana; 1500 ml kwa wasichana (karibu vikombe sita)

Vidokezo kwa wazazi:

 • Limit sugary snacks to a minimum. Your little one will easily go through a bag of them if you allow it. With no nutritional benefits, sugary snacks only have negative health effects.
 • Keep food simple. You don't need to cook a fancy meal each time. Although your little one is smart and can use a fork, finger food is always fun and easy to eat, as well as prepare.
 • Ensure your child drinks at least 1.5 ltrs of water each day.

Chanjo na maradhi ya kawaida

Mtoto wako hana chanjo yoyote inayo karibia kwa wakati huu. Soma makala haya kuhakikisha kuwa ratiba ya mtoto wako wa miaka mitano imefuatiliwa. Shauriwa na mtaalum wa watoto hukusu kumpa mtoto wako dawa ya mafua.

Maradhi ya kawaida ya watoto katika umri huu ni kama vile ugonjwa wa Hand, Foot and Mouth, na kikohozi na mafua.

Wakati ambapo huwezi epuka maradhi haya, unaweza imarisha uwezo wa mwanao wa kupigana na maradhi kwa kumpa lishe bora na vinywaji vingi, matunda na mboga. Zingatia hali ya juu ya usafi kama vile kunawa mikono ambayo huenda ikasaidia sana katika kumlinda mwanao kutokana na magonjwa.

Kutibu magonjwa ya kawaida

Kati ya magonjwa haya ya kawaida ambayo huenda yakamshika mwanao, ya kawaida kabisa huenda yakawa ni kukohoa, homa na joto jingi. Tuangazie jinsi ya kuyatibu nyumbani.

 • Kutibu homa: Kwa ujumla, unashauri kuepukana na madawa ya kununua bila ya kuidhinishwa na daktari. Homa husababishwa na viini kwa hivyo dawa nyingi hazisaidii kuponyesha. Walakini, iwapo homa hii inazidi na kuwa joto jingi na maumivu na kuumwa, ni vyema upate ushauri wa daktari.
 • Kutibu joto jingi: Mpatie mwanao vinywaji vingi, iwapo ana joto inayo zidi 38°C (100.4°F)hakikisha kuwa anapata mapumziko ya kutosha. Pia, huenda ukampangusa na maji vuguvugu kwenye utosi wake, chini ya makwapa na sehemu nyeti kupunguza joto ile. Walakini, iwapo joto yake inaongezeka zaidi ya 38°C (100.4°F),unapaswa kumpeleka kwa daktari akupe mawaidha jinsi ya kudhibiti afya ya mtoto wako.
 • Kutibu kikohozi:Kukohoa ni kawaida kwa watoto. Huenda kukawa kwa kusinya na kufuatiwa na homa kali. Ni bora kuwa ujaribu kutibu maradhi haya kinyumbani kwa kutumia kitunguu saumu, asali, maji ya vuguvugu na ginger. Pia unaweza mwuliza mtoto wako anywe maji glasi nane za maji kutuliza kutokuwa na starehe. Iwapo kikohozi hakipungui kwa siku tatu ama tano, pata ushauri wa daktari.

Ni muhimu kujua kuwa baadhi ya dawa huenda zikanunuliwa bila ushauri wa daktari. Ni vyema zaidi kwa mwanao kuwa matibabu anayo pata ya kwanza kwa shida zake za kiafya ni matibabu rahisi ya kinyumbani.

Mpe vinywaji vingi vilivyo pashwa joto iwapo ana kikohozi ama homa. Unaweza msaidia kuweka maji ya chumvi kwenye mdomo wake kisha kutema kabla ya kumeza.

Wakati wa kumwona daktari:

 • Iwapo mtoto wako anaongeza uzito mwingi ama ana kilo za chini zaidi, pata ushauri wa daktari kuhusu lishe bora
 • Iwapo ana upele usio wa kawaida
 • Ana joto ya zaidi ya 38 degrees Celcius

References: Mayoclinic, WebMD, Kidshealth

Mwezi uliopita: 5 years 1 month

Mwezi ujao: 5 years 3 months

Republished with permission from The Asian Parent

(*Disclaimer: This is the median height and weight according to WHO standards)

Written by

Risper Nyakio