Covid-19: Istilahi 11 Na Misemo Unayo Paswa Kujua

Covid-19: Istilahi 11 Na Misemo Unayo Paswa Kujua

Hapa ni baadhi ya misemo na itikadi unazopaswa kuelewa kuhusu virusi hivi na jinsi ya kuepuka kuugua na kuvisambaza.

Homa ya korona ime athiri dunia kwa njia zaidi ya moja, kuanzisha orodha ya majina ya kipekee kwa matamshi yetu. Kusambaa kwa kasi kwa homa hii kuna fanya COVID-19 kuibua kamsa ya kidunia. Shirika la Afya Duniani maarufu kama WHO limetangaza homa hii inayosambaa kwa kasi kama kuzuka kwa janga. Na nchi nyingi zinaendelea kutangaza kuongezeka kwa idadi ya watu walio athirika.

Kadri homa hii inavyo endelea kusambaa duniani kote, ndivyo tunavyo endelea kuyajua na kuyatumia majina mapya. Na tu- tayari kusaidia. Tuna angazia orodha ya majina ya kipekee ya maneno na istilahi unazo paswa kujua ili kuwa na ufahamu wa maendeleo ya hivi karibuni.

Orodha Ya Istilahi na Misemo Inayo Husika Na Homa ya COVID-19

homa ya COVID-19

Tunapo zidi kupata ushauri zaidi wa kitaalum, istilahi na misemo ya kisayansi itazidi kuwa kawaida kwenye maisha yetu ya kila siku. Ila, misemo hii yote ina maana gani? Tuna angazia kwa kila ili kukufanya uelewe na upate maarifa zaidi:

Janga ni kusambaa kwa kidunia kwa ugonjwa mpya unao athiri idadi kubwa ya watu. Shirika la Afya Duniani lime epuka kutumia jina hili kabla ya siku ya Jumatano wiki iliyo pita. Na nia ya kutofanya ionekane kana kwamba ugonjwa huu hauwezi dhitika.

Ugonjwa wa mlipuko ni ugonjwa unao zuka eneo fulani kisha kusambaa kwa kasi isivyo kusudiwa ama kutarajiwa, kulingana na Shirika la Afya Duniani - W.H.O. Vituo vya Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa - CDC vinaeleza mlipuko wa ugonjwa kama ongezeko la ugonjwa mara nyingi kama ongezeko la idadi ya visa vya ugonjwa zaidi ya inavyo tarajiwa kwa idadi fulani ya watu.

Jina la kiufundi la homa ya korona ni SARS-CoV-2, inayo sababisha "coronavirus disease 2019," ama Covid-19. Homa ya korona inapata jina lake kutokana na taji lenye mishale inayotaokea kwenye uso wake, na kufanana na korona ya jua. Virusi hivi vipya vilivyo onekana kwa mara ya kwanza Uchina vinaaminika kutokana na popo.

Istilahi na Tamthilia Zinazo Tumika Kueleza Covid-19 Zinaendelea Hapa Chini

homa ya COVID-19

Mamlaka yanaweza tangaza hali ya dharura wakati wa maafa ya kiasili, milipuko na dharura zingine za afya ya umma. Kutangaza hali ya dharura kunawapatia maafisa wa serikali mamlaka ya kuchukua vipimo zaidi kulinda umma; kama vile kusimamisha na kuahirisha matukio tofauti ama kutenga fedha ili kukabiliana na kusambaa kwa ugonjwa ule.

Ni muda unaochukua dalili za ugonjwa kuonekana baada ya mtu kuambukizwa. Wakati huu ni muhimu kuzuia na kudhiti, na pia kunawasaidia maafisa ya afya kuwachunga na kukarantini watu ambao huenda wakawa walikuwa kwenye hatari ya kupata viini hivi.

Homa hii mpya ya korona ina muda wa kuhifadhi/ kuingiza wa siku mbili hadi 14 kulingana na C.D.C.; na dalili zikaanza kuonekana angalau siku 5 baada ya kuambukizwa kwa visa vingi. Wakati huu wa kuhifadhi, watu huenda wakapoteza ama kuangusha viini hivi vya kusambaa kabla ya kudhihirisha dalili; na kuifanya kuwa vigumu kutambua ama kutenga watu walio na virusi hivi.

Virusi hivi vinasambaa kwa urahisi mahali palipo na watu wengi -  kwa gari iliyo na watu wengi, kwa mfano, kwenye umati wa watu. Kujitenga kijamii kuna maana ya hatua tunazo chukua kuongeza nafasi ya kifizikia kati yetu na watu ili kupunguza kusambaa kwa virusi. Na baadhi ya mifano ikiwa kufanya kazi kutoka nyumbani, kufunga mashule na kuahirisha ama kughairi matukio ya umati wa watu. Kwa kuzingatia umbali wa angali fiti 6 mbali na wengine tunapoweza, tunaweza punguza kusambaa kwa virusi.

homa ya COVID-19

Istilahi hii ni muhimu kuepusha virusi kuto sambaa; na hatua kama kujitenga kijamii, kunawa mikono mara kwa mara na kuvalia maski.

Wakati ambapo kujitenga kuna maana ya kuweka watu walio wagonjwa mbali na walio wagonjwa na kupunguza mwendo wa watu walio katika hatari ya virusi hivi. Wataalum wanataka kuona iwapo watakuwa wagonjwa.

 Nani anapaswa kuji karantini peke yake?

Iwapo ulitembelea mahali ambapo viini hivi vinasambaa kama vile Uchina, Iran, Italy na South Korea unapaswa kuji karantini ukiwa nyumbani. Fanya hivi kwa muda wa siku 14 kutoka wakati ambapo ulitoka, kulingana na C.D.C, hupaswi kupokea wageni wowote na uzingatie umbali wa fiti 3 ama 4 na watu wengine wakati wote. Kulingana na C.D.C, unapo jikarantini kwa siku 14 na hujakuwa mgonjwa, hauna hatari yoyote kwa watu.

Kiwango cha kufa ni idadi ya watu ikigawanywa na idadi ya visa vilivyo semekana. Mwishowe, wanasayansi wana matumaini ya kuwa na kiwango cha kufa cha Covid-19 kilicho dhahiri zaidi ikiwemo watu walio pata virusi hivi.

W.H.O. inasema kuwa kiwango cha kufa cha homa ya Corona ni angalau asilimia 3 kulingana na ujumbe ulioko. Ila, wataalum wanasema kuwa asilimi moja ina ukweli zaidi.

Orodha ya majina ya kipekee inaendelezwa.

homa ya COVID-19

Kusambazwa kwa virusi kwa kiasi cha juu kuna kufanya kuwe kugumu kuthibiti mlipuko huu. Kuthibiti ni kutumia vifaa vilivyoko kupunguza kusambazwa kwa ugonjwa.

Msafiri aina ya 1

Watu wanao paswa kujikarantini, haijalishi iwapo wanadhihirisha dalili zozote, iwapo wametembea mkoa wa Hubei huko Uchina, Iran, Italy, Daegu na Cheongdo huko South Korea.

Msafiri aina ya 2

Wasafiri wanaorudi nyumbani kutoka nchi zingine zikiwemo Japan, Cambodia, Thailand, Vietnam, Malysia na Singapore. Watu hawa wanapaswa kujitenga kwa kipekee na kupigia NHS 111 iwapo wanapata dalili zozote.

NY Times Harvard Health

Pia soma: What Do Coronavirus And Face Masks Have In Common?

Written by

Risper Nyakio